tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. K

    JamiiForums Tanzania Uchawa wa wanahabari: Mbona hakuna anayeuliza kuna Meli ngapi zilizopewa bendera ya Tanzania?

    Uchawa wa wanahabari: Mbona hakuna anayeuliza kuna Meli ngapi zilizopewa bendera ya Tanzania? Soma Kwanini kusiwe na Shirika la Meli la Muungano ili kuepuka usajili wa kiholela? Meli zinaandikishwa huko Zanzibar halafu zinaenda kutumika kwa kubeba magendo na madawa. Tuwaulize ni meli ngapi...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo Apokea rasmi nakala ya Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Kenya nchini Tanzania

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amepokea rasmi nakala ya Hati za Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Jamhuri ya Kenya nchini Tanzania, Mhe. Catherine Karemu, Machi 3, 2026. Mhe. Kombo amempongeza Balozi Karemu kwa uteuzi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mikoa inayoongoza kwa kutoa wasomi wengi Tanzania

    1. Arusha - Ni mkoa wenye historia kubwa ya kutoa shule nyingi zinazoongoza kitaifa, watalii wengi wakifika Tanzania wamezoea kutoa misaada mingi Arusha ikiwemo ya kielimu, pia kuna shule nyingi International ambazo wanafunzi huenda kusoma vyuo vikubwa vya ulaya na Marekani. 2. Kilimanjaro -...
  4. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Huko Umoja wa Mataifa Tanzania ni Wasindikizaji tu

    Nimefuatilia kura nyingi za Umoja wa mataifa, kwa asilimia kama 80 ya kura zote, Tanzania huwa ni "abstention" tu, yaani hawapingi wala hawakubali; wapo wapo tu! Hata kura ya busara ya kuunga mkono amani huko Ukraine wao wanasema, hatuna la kusema.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Madaktari bingwa wa upasuaji wa China waokoa mkono uliovunjika wa kondakta wa Tanzania, na kurejesha matumaini kwa familia

    Wiki tatu zilizopita, Ali Hamad Kombo mwenye umri wa miaka 31 aliamini maisha yake ya kazi na kujitafutia riziki kwa ajili ya familia yake yalikuwa ndio basi tena ghafla tu yamefikia mwisho. Kombo ambaye ni kondakta wa daladala katika wilaya ya Chake Chake Kisiwani Pemba, Zanzibar, anategemea...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Marekani Yaipiga Rwanda Vikwazo Vizito: Maafisa wa RDF Matatani kwa Kuchochea Vita DRC

    Serikali ya Marekani, kupitia Idara ya Hazina (OFAC), imetangaza vikwazo vikali dhidi ya Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) pamoja na maafisa wake wakuu wanne. Hatua hii imekuja baada ya Rwanda kudaiwa kukiuka Makubaliano ya Amani ya Washington (Washington Peace Accords) kwa kuendelea kuliunga...
  7. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Wa Iran wa Tanzania kufanya dua leo ya kumuombea kiongozi wa iran aliyeuwawa na marekani.

    Kwa maana hiyo, mtag muiran unayemjua hapa jf kua asogee sehemu tajwa hapo juu akaomboleze na wenzake asiishie tuu kubishana huku jf.
  8. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Rais Donald Trump karibu sana Tanzania. Tunataka JamiiForums ifunguliwe bila masharti

    Mzee wetu Donald Trump karibu utusaidie kuifungua JamiiForums kwa kumteka aliyeamuru ifunguliwe. Mchukue uende naye hatumtaki. Turudishie waliotekwa ukifanya hivyo bandari zote za tanganyika nilizopewa bure nakupa wewe uziendeshe kwa sharti la kulegeza masharti ya kupata VISA ya marekani kwa...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Natumai Tanzania imejifunza kwa Iran, hakuna serikali iliyo na haki ya kuua wananchi wake

    Hata kama ni Sovereignty state. Ayatollah Khamenei na serikali yake ya Islamic Republic of Iran walionywa kwa muda mrefu kama tunavyoonya sisi, he ordered 'shoot to kill' thousands of Iranian people, leo wamekula kichwa ndani ya masaa 2 tu baada ya vita kuanza. Serikali ya Tanzania imeonywa...
  10. Megalodon

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki ndio Nguzo ya Kiimani Tanzania

    Nimekuwa siku zote nikisema SOMENI ndugu zangu. Mtu mwenye elimu kamwe hawezi kuendeshwa na failure. Kanisa katoliki ndio baba wa imani na ni merits kwa nchi ya TZ . Tujivunie…. Dini zote ni janja janja but Catholic Church means a lot to our country Kanisa katoliki linasimamia haki bila...
  11. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Watoto 10,000 huzaliwa na matatizo ya moyo Tanzania, gharama ya matibabu hadi Sh16 milioni

    Takribani watoto 10,000 huzaliw ana matatizo ya moyo Tanzania na kati yao watoto 4,000 huhitaji upasuaji wa haraka ili waweze kuishi na gharama a matibabu ya moyo ni kati ya Sh8 milioni hadi Sh16 milioni. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Meritech Ltd, Esther Christopher katika...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Puma Energy Tanzania Yaongeza Nguvu ya Ushirikiano Kupitia Futari ya Ramadhani

    Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam, Februari 27, 2026: Kampuni ya Puma Energy Tanzania imeandaa futari maalum kwa wateja na washirika wake ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuimarisha mahusiano na kuonesha shukrani katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. Mkusanyiko huo uliwakutanisha wateja, wadau pamoja...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Kwimba: Taasisi ya Alicia Keys yawasili nchini kushiriki uzinduzi wa jengo la watoto njiti

    Timu ya Wawakilishi kutoka Taasisi ya Keep A Child Alive ya Msanii maarufu wa Marekani, Alicia Keys, imewasili nchini Tanzania kupitia uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl.Julius K. Nyerere tayari kwa ajili ya kwenda Wilayani Kwimba Mkoani kwenye uzinduzi wa jengo la kisasa la kuhudumia Watoto...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Je Tanzania tunatatizo la kujidanganya-Tuko fake?

    Sasa tujiulize Raisi mwenyewe kapatikana kwa kudanganya hata kura hazikuhesabiwa kabisa! Lakini kuna watu tena wengi tu wanajidanganya pamoja na kujua ukweli kwamba tulikuwa na chaguzi. Kila mtu anajua kesi ya Lissu ni fake lakini bado kuanzia mahakama mpaka watu fulani wana fake kama vile ni...
  15. Kijukuu cha Tanzania

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Uchaguzi Mkuu wa 2025 ulivyoonesha vazi la Demokrasi la Tanzania linavyochakaa kupitia INEC, Vyama vya Upinzani

    Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyamavingi Mwaka 1992, Tanzania imejengwajuu ya msingi wa kikatiba unaotambuademokrasia, utawala wa sheria na heshimakwa haki za binadamu. Katiba ya Jamhuri ya Muungano inawekawazi haki za msingi, ikiwemo uhuru wakukusanyika na kujiunga na vyama vyasiasa, uhuru wa...
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wakimbizi 4,200 kutoka Burundi waliokuwa wakiishi nchini Tanzania wamerejeshwa nchini kwao kwa hiyari

    Maelfu ya wakimbizi waliokuwa wakiishi nchini Tanzania wamerejeshwa nchini kwao chini ya mpango wa hiyari. Wengi wanasema wanasubiri kukutana na wapendwa wao nchini Burundi na baadhi wamelalamika maisha yalikuwa magumu nchini Tanzania. Pia soma: ~ Hofu yatanda, wakimbizi wa Burundi wadaiwa...
  17. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Baraza la Haki za Binadamu UN laipongeza Tanzania kuchunguza matukio ya vurugu Oktoba 29

    Kamishina Mkuu wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa (HRC) Volker Turk ameeleza masikitiko yake kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu duniani, huku akipongeza hatua ya Tanzania kuanzisha Tume ya Uchunguzi wa vurugu zilizotokea katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Akitoa mwelekeo...
  18. Prof Phraoh AI

    JamiiForums Tanzania Tanzania inatarajia kuanza kutumia kinga ya HIV

    ‎Katika kipindi ambacho mapambano dhidi ya maambukizi ya UKIMWI yamekuwa yakitegemea nidhamu ya matumizi ya kila siku ya dawa za (PrEP), au wengi wanavyo ziita kama ARV, ‎Sasa Tanzania inaanza kuingia katika hatua mpya ya kinga ya muda mrefu kwa kuanza matumizi ya Lenacapavir, dawa inayodungwa...
  19. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Bungea La Tanzania kuandaa mkutano IPU 153

    SPIKA wa Bunge Mussa Azzan Zungu na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Martin Chungong, leo Februari 27, 2026, wamesaini mkataba unaowezesha Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano wa 153 wa IPU utakaofanyika Oktoba 2026 jijini Arusha. Spika Zungu...
  20. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Video: Je, Hayati Magufuli Alistukia Mchezo na Uchochoro wa Kusajili Meli Tanzania Ambazo Zinakamatwa na Matukio Tata?

    My Take Hakuna kumung'unya maneno Inawezekana kabisa kwamba magenge ya wahalifu wa Kimataifa wamepata Uchochoro wa Kusajili Meli zao hapa Bongo Kwa rushwa Ili zikatumike kwenye Uhuni. Mwaka 2018 hayati Magufuli aliliona hili na kuzuia usajili wa hizi meli lakini naona ule mchezo umejirudia...
Back
Top Bottom