tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Women in Leadership Forum (WLF) yaandikwa kwenye kumbukumbu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Leo Juni 1, 2026, Taasisi ya Women in Leadership Forum (WLF) imetambulishwa rasmi Bungeni kama moja ya majukwaa ya kipekee, siyo tu nchini bali hata duniani, kutokana na msingi wake wa kuwakutanisha wanawake viongozi 12 kutoka vyama 10 tofauti vya siasa, waliovuka mipaka ya itikadi na ushindani...
  2. Dalali wa kimataifa

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa Kariakoo,bei ni billion 7.8,maongezi yapo

    GHOROFA INAUZWA IPO KARIAKOO DARESSALAAM🇹🇿 Underground, floor 1 and 2 ▶Maduka yako kama 60 ▶Inaingiza million 600 na kitu kila mwaka BEI NI BILLIONS 7.8,MAONGEZI YAPO 🇹🇿CALL/WhatsApp +255758844717 #viral #tanzaniantiktok🇹🇿 #daressalaam🇹🇿 #houseforsale #realestate
  3. snochet

    JamiiForums Tanzania Tanzania CNG-kwanini kasi ya matumizi bado ni hafifu sana?

    Nimekuwa nikiwaza na kuwazua sana kwa muda mrefu. Mungu ametujalia akiba kubwa ya gesi Songosongo na MnaziBay.Naelewa kila kitu huanza taratibu,lakini kwa unafuu wa bei ninaoushuhudia kwenye bei za CNG vs petrol/diesel kwa sasa ni mkubwa mno. Tayari 5+ years magari yameweza kuwa converted...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kanisa la Tanzania limsaidie Mch. Mbarikiwa Mwakipesile

    Bwana Yesu apewe sifa. Nalisihi Kanisa la Mungu lililopo Tanzania limkumbuke Mch. Mbarikiwa Mwakipesile. Ninaposema Kanisa la Mungu la Tanzania simaanishi dhehebu! namaanisha ni watanzania waliomwamini Yesu Kristo kama Bwana na Mwokozi wa maisha yao na wanamwishia yeye kama alivyoagiza. Hawa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la Tanzania ni Taasisi imara, badala ya kutegemea Wanasiasa

    Nadhani mabadiliko ya kweli yanaanza kwa kuwa na independent institutions. Hii inamaanisha kuwa na free judiciary ambayo inaweza kutoa haki bila kuingiliwa na wanasiasa, strong anti-corruption body inayoweza kupambana na corruption kwa yeyote bila kujali nafasi yake, na free press inayoweza...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Ponda: Tatizo lililopo ni kwamba watawala wetu hawaoni kama Tanzania kuna tatizo

    "Tatizo lililopo ni kwamba, yaani watawala wetu hawaoni kama Tanzania kuna tatizo. Yaani ukiwa ukiwaangalia, hawaoni kama kuna tatizo. Hawaoni kama kuna mapungufu makubwa katika mamlaka walizonazo na taifa letu kwa ujumla. Wao wanaona kama vile mambo yako vizuri, na vyombo vyao mbalimbali...
  7. Dalali wa kimataifa

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Tsh bilioni 1.3, ipo Bunju B

    LUXURY HOUSE FOR SALE – BUNJU B 📍 Bunju B 📐 Plot Size: 1,568 SQM 💰 Price: TZS 1.3 Billion (Negotiable) This beautiful luxury home comes with a spacious and modern design perfect for family living or investment. 🔹Brand New 🔹Good View & Fresh Air🍀 🔹 4 Bedrooms (3 Master Bedrooms) 🔹 Large Sitting...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mama tukubali kawa mzigo kwa Tanzania!

    Mama Samia kawa mzigo mkubwa utafikiri tumepata laana 1. Uchaguzi wa ajabu kuwahi kutokea 2. Utekaji wa kitoto 3. Mauaji 4. Machawa 5. Undugu 6. Unzanzibari na Ubara 7. Kudhaulika kwa vyombo vya ulinzi Kwa ujumla tumemchoka Mama mpaka basi
  9. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Utawala wa kifalme ni bora sana. Jordan vs Tanzania

    Jordan ina watu 11m. Tanzania 65m. Ukubwa wa Jordan ni kilomita za eneo 80, 000 na kidogo. Tanzania ni kilomita za eneo 950,000. Jordan inaingia kama mara 12 kwa tz. Mto pekee Jordan ni mto Jordan wanaoshare na Israel. Ni nchi kame. Maji wanategemea ya visima. Hawana ardhi ya kulima. Tanzania...
  10. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna economic plan?

    Salama? Naomba wataalamu mnijuze hivi kweli Tanzania tuna economic plan? Roboti Yunesi aliyetengenezwa na kupelekwa bungeni siku ya kuwasilisha bajeti ya sayansi na teknolojia kipindi cha mh Nape uko wapi? Alitumia sh ngapi? Zilitoka wapi?nini mwendelezo wa hiyo project? Drogba na mwezie...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Msibabaishwe na Wanaosema Mitandaoni ‘Hapakaliki’, Tanzania ni Salama

    Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa Mkoani Morogoro, Gerson Msigwa leo Mei 31, 2026 akitoa taarifa ya Serikali kwa Umma wa Watanzania amesema; "Niwahakikishie wana Morogoro na Watanzania wote kwa ujumla kwamba nchi yetu ni shwari, tena shwari sana. Nchi yetu ina amani ya kutosha na Watanzania...
  12. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi sijui Hesabu au Mabeberu Wana Hela? Apple Pekee ina Thamani Sawa na Bajeti ya Tanzania ya Miaka 200?

    Ni either mimi hesabu za Kihasibu sijui au Hawa jamaa waheshimiwe! Makala inaniambia kampuni la Marekani Apple, wenye iPhone, Mac, na iPads zao, wana net-worthy ya zaidi ya US$4.5 trillion tunavyoongea. Hapo hapo budget yetu kwa mwaka ni US$24 billion. Kwahiyo ukigawa hapo si kwamba Apple...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Shaikh Hasina ni kama historia yake hipo Tanzania sasa

    Achana na stori za vijiweni .Nenda mkasome history ya huyu mama.Yani kama ni copy and paste . tabia yake na mwanaye na magenge,utawala wake na waziri wake na kila kitu.
  14. Niwaheri

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu Kuhusu Wanyarwanda Tanzania

    Natanguliza samahani kwa nitakaye mkwaza. Labda tu niwambie Tanzania kuna kitu hamjui kuhusu mtu anayeitwa mnyarwanda wale watu hata wakae miaka mia kwenu hawatawahi kuwa watanzania hata siku moja wale siku zote nchi yao iko damuni wanakaa wa sababu hawana namna sasa hivi mmewakaribisha kila...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia hakwenda kumzika Bi. Suzan Magufuli, Mama wa aliyekuwa Rais wa Tanzania?

    Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amewasili Chato kumwakilisha Rais Samia katika Mazishi ya Marehemu Bi. Suzana Magufuli Mama wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli. Ila mnaielewa hii picha? Ni kwa wenye akili tu.
  16. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Sitaki kuhusishwa na Siasa za Tanzania WALA sitaki kuhusishwa na KAZI za Serikali ya Tanzania

  17. D

    JamiiForums Tanzania Good morning, Samia haters!!!! Tanzania plays U-17 afcon final guys!!

    Ndo hivyo enyi haters, historia inaendelea kuandikwa..........kwa kifupi, enyi haters mtayamaliza maji yenu yote makali yanayotengenezwa na maini sababu ya mafanikio ya mumchukiae!! Yatadondokea kwenye utumbo mpate vidonda vya tumbo. Samia ni level zingine.
  18. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania ITV Tanzania huo u ‘super brand’ nani aliwapa? Je, ni tuzo ya kudumu?

    Wakuu mwenye taarifa atupatie maana ni hatari sana kuishi hivyo kwa uongo miaka yote na bila aibu kabisa!
  19. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hatimaye thread yangu kuhusu Terence Crawford imemfikia waziri wa utalii na maliasili na amempa ubalozi wa utalii Tanzania

    Niliandika thread hapa kushangaa kwa nini mtu kama Terence Crawford kuonesha mapenzi yake ya dhati kwa Tanzania kuitangaza kimataifa na kupost kila hatua anayopita kuonesha ni kwa namna gani Tanzania imebarikiwa lakini viongozi wa nchi walimkalia kimya kana kwamba ni mtu wa kawaida tu. Kwa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Hakuna Siku Katika Maisha ya Rais Samia Hapa Duniani Patakosekana Chakula Mezani Pake. Ukiiombeya Mabaa Tanzania Humkomoi Hata Kidogooooo

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda Niwafungueni Akili kidogo wale Vipofu wa akili na macho na waliojaa chuki Binafsi kwa Rais wetu Mpendwa. Napenda kuwaambieni Ya Kuwa Rais wetu Mpendwa Mama Samia Suluhu Hasssan ataendelea kuhudumiwa kwa Kodi za Watanzania Mpaka Mwisho Wa Maisha yake Hapa Duniani...
Back
Top Bottom