Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Jeshi la Tanzania haliwezi kuasi kwa sababu limejengwa juu ya msingi wa historia, umoja na falsafa ya kitaifa iliyopandikizwa tangu enzi za ukombozi.
Wakati mataifa mengi ya Afrika yalirithi majeshi ya kikoloni yaliyokuwa vyombo vya ukandamizaji, Tanzania ilijenga Jeshi la Ulinzi la Wananchi...
GT
Haya wale wazee wa miwani myeusi ni CDF yupi alifanya jeshi liheshimike zaidi tuanzie enzi za mwalimu.
Mimi naanza na huyu jamaa Davis hakuwa mwanasiasa uwepo wa mkapa ulimfanya Kikwete asikohoe
Je, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya biashara zinaaminika haraka na kupata wateja wakubwa, mikopo, au hata zabuni za serikali wakati zingine zinabaki mitaani zikihangaika? Siri kubwa ipo kwenye: kusajili jina la biashara kupitia BRELA.
Bila jina lililosajiliwa, biashara yako ni sawa na...
Tanzania Yathibitisha Ugunduzi Mpya wa Gesi Asilia Mkoani Mtwara
na Mwandishi wa Times
Oktoba 18, 2025
Wizara ya Nishati ya tanzania imethibitisha kugunduliwa kwa mashapo makubwa ya gesi asilia katika vijiji vya Mnyundo na Mpapura, vilivyopo mkoani Mtwara, takriban kilomita 500 kusini mwa...
Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) – Ripoti ya 2025 Mtazamo wa Kiuchumi wa Kanda: Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara limeiweka Tanzania kwenye orodha ya Nchi Masikini Zaidi Duniani (LDC).
Serikali ya CCM na chawa wenu mnajinasibu uchumi unakua kwa kasi wakati Watanzania tunashuhudia uwekezaji...
Heloo jf
Nimeamka leo hii nikajikuta nikiwa katika hali ya tafakari sana!🤔🤔🤔🧐
Nimejikuta natafakari matokeo ya vita vya Kongo!🤔
Nikitafakari pia vita vya Rwanda!😤
Nikitafakari vita vya urusi na ukrein!🤯
Nikitafakari vita vya israeli na palestini!🥵
Mwisho nimejikuta nazama zaidi kuitafakari nchi...
Nchi vijana wanakusanyika kuangalia tamthiliya kwenye cinema
Vijana wanakubali haki yao kuporwa kwa sh elfu 5 tu
Vijana ambao hawako committed wanatupa mpira kwa wengine kuwafanyia maendeleo
Katika Afrika Mashariki Nchi itakayochelewa kukombolewa ni Tanzania , wananchi wamelala sana hasa...
Wanabodi
Rwanda na Uganda ndizo nchi mbili pekee kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC katika orodha ya nchi ambazo uchumi wake unakua kwa kasi katika nchi za Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara huku Tanzania ikisukumwa chini na kutupwa tena kwenye kundi la nchi masikini za kipato cha chini...
Chawa drama 🤣.
Supposedly nchi ni tajiri wa rasilimali.
Rais asiye na mipango yoyote ya kuitoa nchi kwenye kundi la nchi za ulimwengu wa tatu.
Ila siwalaumu sana CCM.
Kuna msemo usemao hivi ‘see a fool, use a fool’.
CCM see Tanzanians as fools hence they’re using them to enrich themselves...
Kwa mujibu wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zimebakia takribani wiki mbili kabla ya Watanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Oktoba 29, 2025.
Hali ya uadilifu wa Vyombo vya Habari
Katika jamii ya kidemokrasia, Vyombo vya Habari hutazamwa kama daraja kati ya...
Sijajua mchakato wa kumfanya Nyerere kuwa mtakatifu umefikia wapi ila nakumbuka moja ya kitu ambacho Kanisa Katoliki inafanya na kuchunguza kabla haijamtangaza mtu kuwa Mtakatifu ni uchunguzi wa matendo yake alipokuwa hai pamoja na miujiza iliyotokea wakati wa uhai wake na baada ya kifo.
Wengi...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Iramba Magharibi ambaye pia ni Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Taasisi zinazopima Maendeleo Bora ya kiuchumi na huduma Bora za Jamii zimeielezea Tanzania kama moja ya nchi kinara Kwa Nchi zote za Bara la Afrika kwenye kutekeleza miradi ya maji...
Naona watu wa Mara wanapewa sifa ambazo ni feki kama ikitokea ikapigwa risasi juu huwezi kumuona mkurya hata mmoja barabarani tunajuana watanzania ila watu walionishangaza ni wamakonde wale watu Hadi polisi waliushindwa mziki wao ilikua mtu akiuliwa basi na polisi lazima auwawe aisee big up...
Wananchi wa Tarime wamemchukua Makamu Mwenyekiti CHADEMA John Heche na sasa wanaondoka naye baada ya kuwepo watu ambao walitaka kumkamata baada ya kuzuiwa kusafiri kwenda Kenya kwenye Msiba wa Raila Odinga (BABA) akiwa Sirari One-Stop Border Post (OSBP). Hii sasa ndiyo nguvu ya umma watu wa...
Embu ona kichekesho kama hiki
Padri anatoa maoni kuhusu mstaafu...gafla anapotea katika mazingira ya kutatanisha...ni mtu mzima na umri umeenda, ghafla wanampata porini vichakani, wakisema "amejiteka", kwamba ana madeni...
Umri wote Hadi utu uzima kuelekea uzeeni hajawah kupata stress ya...
Miezi ya hivi karibuni kuna mtanzania anaishi marekani anaitwa mange kimambi na ameitisha maandamano na mpaka sahivi anayapigia debe kwa njia mbalimbali kupitia mtandao wa instagram
Wako watakaopiga kura
Wako wanaosupport maandamano
Wako wanaopinga
Wako ambao hawajajua wako upande upi...
https://youtu.be/zrupDG6XOqw?si=Fm1UfLmdpaNqo-7c
Anasema:
1. Watanzania mwombeeni Rais wenu Samia Suluhu Hassan na serikali yake kwa ajili ya usalama wa nchi..
2. Kitendo cha Rais Samia Suluhu Hassan kufungia kanisa ili lisiabudu Mungu aliye hai ni jambo la hatari sawa na kucheza na waya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.