tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. W

    Kamishna Mkuu TRA: Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda ameshiriki zoezi la kupiga kura leo tarehe 29.10.2025 jijini Dar es Salaam. Baada ya kumaliza zoezi hilo amesema "Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania katika...
  2. Idugunde

    GE2025 Message sent: Ipo siku nguvu ya umma italeta mabadiliko Tanzania

    Haba na haba ujaza kibaba. Ndondondo si chururuu Ni wazi kuwa sasa Watanzania wanataka mabadiliko na demokrasia ya kweli. Wamechoka na kunyanyaswa na kuibiwa mali zao za umma. Matukio ya kuogofya na kuumizwa yamewachosha. Huu ni mwanzo tu. Katika historia ya Taifa hili hatujawahi kushuhudia haya
  3. Mr Devil

    Vyombo vya dola vinasikitika kupoteza muda na nguvu kujiandaa kudhibiti Tanzania ya watu waoga huku wanasiasa wakigonga glass kwa ushindi huu mkubwa

    Ova and out
  4. B

    GE2025 Samia vs Suluhu: Gazeti la The Standard Kenya laonyesha jinsi uchaguzi wa 2025 Samia anavyoshindana mwenyenye bila mpinzani wa maana

    SAMIA vs SULUHU: The Standard’s front page reports how opposition parties have been effectively sidelined in Tanzania’s 2025 general elections, leaving President Samia Suluhu Hassan and the ruling CCM party with a largely uncontested path to victory. With leading opposition parties such as...
  5. Doctor Mama Amon

    GE2025 Tamko la Tume ya Haki za Binadamu Kenya: Hakuna Uchaguzi Unaofanyika Tanzania Leo 29 Oktoba 2025

    Ndugu Raia wa Afrika Mashariki, Tunasimama hapa tukiwa na wasifu wa utambulisho halali kama Raia wa Afrika Mashariki, tukiwa tunasukumwa na ukweli kwamba Jumuiya ni yetu sote. Tunaendelea kushuhudia ukiukwaji wa haki za binadamu na uharibifu wa demokrasia katika eneo lote, na kama raia wa...
  6. P

    Idadi ya polisi Tanzania.

    Wadau naomba niulize jambo. Idadi ya watanzania kwa makisio ya sensa, kwa mwaka 2025 ni millioni 67.5. wanaume ni zaidi ya millioni 30, vijana wakiwa wengi zaidi. Idadi ya polisi kwa makadirio ya umoja wa mataifa ni karibu elfu 40 tu. Yani 40,000. Sasa jumlisha ata na vyombo vingine mfano jeshi...
  7. Think2

    GE2025 Mashirika ya haki za binadamu yatilia shaka uchaguzi mkuu Tanzania

    Chazo cha mitandao kuzimwa nchi ni kuwa mashirika ya kutetea haki yameikandamiza serikali kuhusu uchaguzi usiohaki. Kufika kesho mitandao yote iliobaki itazimwaaa kbs. Vituo vya kupigia kura vitafunguliwa saa 12 asubuhi !! Hahaha aya huon muda mimi nitakuwa nimelala
  8. Fascinating

    Tanzania Silences Social Media Ahead of October 29 Elections to Curb Youth Protests

    The Tanzanian government has imposed sweeping internet restrictions on major social media platforms, effectively blocking access to TikTok, Instagram Live, X (formerly Twitter), and local forums in a calculated move to disrupt online youth mobilization on the eve of tomorrow’s general elections...
  9. B

    Tanzania Twiga Stars yafanikiwa kupata ushiriki wa Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake la TotalEnergies, Morocco 2026

    28 October 2025 Addis Ababa Ethiopia 0 - 1 Tanzania Tanzania yafaulu mtihani wa kushiriki Kombe la Mataifa ya Afrika kwa Wanawake la TotalEnergies, Morocco 2026. Twiga Stars imeweza kuingia katika hatua ya michezo ya fainali kwa bara la Afrika baada kuwatoa Ethiopia (2-0) katika mkondo wa...
  10. 6By6 Miguno

    Mtazamo wangu juu ya yanayoendelea nchini Tanzania kwa sasa

    Ikiwa kesho ni siku ambayo kila mmoja wetu anategemea inaenda kuwa siku ndefu isiyotabirika… Huku wengine wakiwa na wasiwasi, Wengine wakiwa very excited pia kuishuhudia maana ni siku yenye utata kuwahi kutokea nchini mwetu kutokana na siasa zetu. Mtazamo wangu wa kwanza ni kwamba Tanzania...
  11. M

    Ewe MUNGU ijaze Tanzania mvua kesho ubao usome 0_0 si kwa wakutoka Wala wakutiki

    Mara nyingine mungu hututendea kwa njia zisizo elezeka,tunapoingia katika siku ya maamuzi. Iwe ni uchaguzi au maandamano tunasahau kuwa nguvu kuu ya mbinguni inaweza kutuliza vishindo vyote vya binadamu. mvua ni baraka...
  12. Kitimoto

    Sala ya Kuwaombea Viongozi na Waathirika wa Hali ya Kisiasa Tanzania

    Baba Yetu wa Mbinguni, tunakushukuru kwa upendo wako mkuu na rehema zisizo na mwisho. Tunakutolea sala hii, tukiwa na majonzi ya mioyo yetu, tukiwaombea viongozi na wananchi waliokumbwa na maumivu na mateso katika taifa letu. Tunakuomba, Baba yetu, uingilie kati kwa huruma yako isiyokwisha. 1...
  13. R

    GE2025 Angalia Citizen TV kuna hot debate about "Tanzania and its Samia"

    Mambo ya aibu we are being portrayed. Uchaguzi wote uko kwetu. Just tune in! https://m.youtube.com/watch? v=NSG0IRfLsHk https://m.youtube.com/watch?v=2XATW3VLL2E
  14. K

    Ili Tanzania ipone, ni Lazima CCM ife

    Hii kazi inayo endelea ya kuikomboa Tanzania kutoka katika mikono ya waovu; Samia na Genge lake ni muhimu; lakini haitatosha kuleta mabadiliko chanya endapo CCM kama chama itaendelea kuwepo. Kutokana na muundo wake na mfumo wa uendeshaji wa shughuli zake CCM daima itaendelea kuwa ni adui mkubwa...
  15. figganigga

    Kenya na Uganda watakiwa kwenda Tanzania kujifunza Mpira wa miguu. Hongera Azam TV kwa Udhamini

    Wadau wa Mpira wa Afrika Mashariki, wamewataka Kenya na Uganda kwenda Tanzania kujifunza Mpira wa miguu. Wajifinze mbinu za Tanzania wameweza Timu zao zote Nne zikafaulu? Hongera TFF kwa ubora wa Mpira wa Tanzania. Hongera Azam na Ving'amzi vyennu. Azam uwekezaji wao kwenye mpira wa Tanzania...
  16. TheSeer

    Tanzania tusirudi nyuma, ushindi ni wetu na imekuwa tayari 29 October.. Tanzania huru imekuja

    Watanzania tusirudi nyuma. Ushindi upo upande wetu. Nipo sehemu jamaa wameisha kubali mziki, ila mambo wanayo fanya wanatapa tapa. Chawa wa mama pro hapa kakataa tamaaa sikuamini kama huyu mbwaaa ata surrender... Damu ya Mafwele mniachie mie niinywe live
  17. comrade_kipepe

    Hivi nchi ya Tanzania ina Jeshi?

    Nauliza tuu sio kwa ubaya. Na kama lipo linalinda nini??
  18. Matovu Godfrey

    Maandamano Bila kikomo - Oktoba Tunatoka

    Kitendo kinatokana na neno GO 🔥 buti ardhini 💪🏿 Na 👇🏿 ujasiri, uthabiti, Uamuzi, kujitolea, kuzingatia, Itikadi, Ustahimilivu, Mwendelezo, Chanya, Umoja, Umoja, Mtazamo wa kawaida Dikteta #Samia_Suluhu hastahili muda wa kujiandaa wala kupata kasi,,,kwa sababu tu alikataa kusikiliza...
  19. S.M.P2503

    Tanzania Inahitaji Ujasiri Mpya: Kwa Nini Wakati Umefika wa CCM Kuachia Madaraka kwa Amani. Je ni baada au kabla ya uchaguzi?

    Kuna wakati katika historia ya taifa ambapo wananchi hawana budi kuamka, kujiuliza, na kusema kwa sauti moja: “Inatosha!” Tanzania iko katika kipindi hicho sasa: Kwa zaidi ya nusu karne, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa dira, mzigo, na wakati mwingine kizuizi cha maendeleo ya kweli ya taifa...
  20. TheSeer

    Tanzania huru 29 Oktoba

    Tanzania huru ( Tanzani ambayo inarudi mikononi mwa wanchi kwa kuitoa mikononi mwa waovu wasiotakia mema nchi hii ). Ndugu! Rocket 🚀 haina reverse, tumefikia 98% ya kukamilisha mission ya ukombozi wa taifa, kwa wasio na ufahamu wataona mizaha, ila set up za jambo hili limekamilika. 29...
Back
Top Bottom