tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Kama katika Mazoezi ya Kawaida Ndege za Jeshi zinaanguka hivi Ziwani je, zikiwa Vitani si zitaanguka zote na Tanzania Kushambuliwa vilivyo na Adui?

    NDEGE ya Jeshi imeanguka Ziwa Victoria mapema leo Julai 20,2023 karibu na Uwanja wa Ndege wa Bukoba.  Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Blasia Chatanda amesema ndege hiyo ya jeshi yenye namba JW 9127, imeanguka wakati marubani wake wawili walipokuwa kwenye mazoezi ya...
  2. JamiiForums Tanzania Pasipoti ya Tanzania yawa ya 69 kwa Ubora duniani na Watanzania sasa wanaweza Kusafiri nchi 73 bila Viza

    Kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati inazidiwa na Kenya tu ambayo sasa Pasipoti yao imepanda Ubora na kuwa ya 66. Nchi ya Singapore ndiyo inaongoza kwa kuwa na Pasipoti Bora na Wananchi wake kuweza Kusafiri bila Viza katika nchi 192 kati ya nchi zote 227 zilizoko duniani. Katika Ripoti ya...
  3. X

    JamiiForums Tanzania Ajira jeshi la polisi Tanzania

    Nawasogezea hii vijana , Mpya kabisa . kila la kheri
  4. JamiiForums Tanzania Ya Djibouti kama ya Tanzania

    Serikali ya nchi ya Djibout imevunja Mkataba wa uendeshaji wa Bandari ya Doraleh nchini Djibouti kati ya Serikali hiyo na Kampuni ya DP World ya Falme za Kiarabu (UAE), Na kuishtaki kampuni hiyo. Serikali ya Djibout imechukua maamuzi hayo magumu baada ya kugundua vipengele vya Mkataba huo...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ugumu wa maisha Kenya, Mama ajirusha baharini na mtoto

    Ugumu wa maisha Kenya, mwanamke ajirusha kutoka kwenye ferry baharini akiwa na mtoto!!
  6. JamiiForums Tanzania Tanzania, Zanzibar zasaini Hati ya Makubaliano Sekta ya Madini

    Waziri wa Madini Dkt. Doto Biteko ameshuhudia utiaji saini wa Hati ya Makubaliano kati ya Wizara ya Madini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Wizara ya Maji, Nishati na Madini ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Makubaliano hayo ni mwendelezo wa ushirikiano uliopo baina ya wizara...
  7. JamiiForums Tanzania Indiana waitaka Tanzania ilipe Tsh. Bilioni 277 kabla ya Agost 17, 2023

    Wataalamu wa sheria wanaowakilisha kamuni ya Indiana wametuma barua kwa Wakili Mkuu wa Tanzania, ikidai malipo hayo ifikapo tarehe 17 Agosti 2023. Barua hiyo imetumwa tarehe 20 Julai 2023, Wito wa kulipia kiasi cha Dola za Kimarekani milioni 113.6 umetolewa kwa Serikali ya Tanzania Barua hii...
  8. JamiiForums Tanzania Prof. Sarungi mmojawapo wa wanufaika wa mahusiano ya Tanzania na Hungary

    Mikol Philemon Sarungi Doctor educator government official physician Mikol Philemon Sarungi is a Tanzanian government official, physician, surgeon, medical educator. Background Mikol Philemon Sarungi was born on the 23rd of March 1936 in Tarime, Tanzania; the son of Sarungi Igogo Yusufu and...
  9. JamiiForums Tanzania "Tanzania: A Tapestry of Wonders and Dreams"

    In Tanzania, where beauty knows no end, A land of wonders, history does transcend, From sunlit plains to mountains tall, Opportunities arise, a beckoning call. In Serengeti's embrace, wildlife roams free, Great herds traverse the savannah, a sight to see, Graceful giraffes, lions' majestic...
  10. JamiiForums Tanzania Timu za Tanzania hazimuoni Tumisang Orebonye?

    Nilidhani kuna timu moja ya Kariakoo itambeba Tumisang Orebonye, lakini nashangaa sana wanakuja kina Skudu. Ina maana timu zetu hazimuoni huyu jamaa?
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya amewakaribisha na kuwaahidi kuwapa wafanyakazi million moja Saudi Arabia, kinyume kabisa na Tanzania

    Licha ya maandamano yanayoendelea Kenya, Rais Ruto amewakaribisha Saudi Arabia wawekeze wapendavyo na amewataka waitumie fursa ya kufunguwa viwanda kwani Kenya ina mikataba ya misamaha ya kodi ya bidhaa zake nchi za Ulaya. Pia amewaahidi atawapa wafanyakazi million moja ndani ya muda mfupi...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania kusoma imekuwa nongwa sana sijui tufanyeje

    Elimu Tanzania imegeuka kichekesho maana hakuna anae jali sana kuhusu umuhimu wa elimu. Watu hawataki tena kujifunza na kutatua changomoto za jamii ila wanatafuta vitu ili kujitoa kwenye midomo ya wacheshi. Ajabu hii wasomi wanadharauliana wao kwa wao kila mmoja anamuona mwenzie kilaza...
  13. H

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mfumo wa elimu ya Tanzania una cha kujifunza kutoka mitaala ya kimataifa?

    Kutoka katika fukwe za Bahari ya Hindi hadi katika kilele cha mlima Kilimanjaro, Tanzania imejawa na utajiri wa asili, tamaduni mbalimbali, na watu wenye upeo mkubwa. Lakini katikati ya haya yote, kuna hazina isiyoweza kulinganishwa na chochote: elimu ya Tanzania. Elimu, kama msingi wa maendeleo...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Dharau ilianza pale Hayati Magufuli alipokejeliwa ni Uchwara na Mshamba na CCM kukaa kimya

    Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia. Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna awamu aliitwa Dhaifu tena bungeni na watu wakakaa kimya. Shujaa Magufuli aliitwa Dikteta Uchwara na huyu huyu ni yeye CCM...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Suluhisho juu ya bandari na mitaala ya elimu kwa Tanzania na jinsi ambavyo tutapata unufaikaji

    NAWAZA MENGI SANA NGOJA NISEME KITU ILI KILETE MABADILIKO KIDOGO Bandari zote hapa nchini zinaingiza Sh. Bil.795.226 kwa mwaka lakini TPA wanatumia asilimia 99% kwa upigaji tu (Kwa mujibu wa Majukwaa Mengi kwa sasa Yanavyoinasibu kuwa Bandari inawekezwa kwa sababu kuna upigaji Sina Takwimu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kikeke anarudi Tanzania mazima

    Mtangazaji mahiri Salim Kikeke ambaye mwezi April 2023 alitangaza rasmi kuacha kazi kwenye Shirika la Utangazaji la BBC, ameamua kurejea nyumbani Nchini Tanzania baada ya kuishi Uingereza kwa miaka 20. Kwenye mahojiano mafupi na Millard Ayo, Kikeke baada ya kuulizwa kama anarudi Tanzania...
  17. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania na watanzania

    Kichwa: Umuhimu wa Katiba Mpya kwa Maendeleo ya Tanzania na watanzania Katiba ni waraka muhimu unaounda msingi wa mfumo wa kisiasa na kijamii katika nchi yoyote. Tanzania, kama nchi nyingine, inahitaji kuwa na katiba mpya ili kuleta maendeleo endelevu na kuhakikisha ustawi wa raia wake. Hapa...
  18. JamiiForums Tanzania Ripoti TCRA: Dar yaongoza kwa idadi kubwa ya Watumiaji wa huduma za Simu Tanzania

    Katika kipindi cha miaka 5 kumekuwa na ongezeko la Watumiaji 16,327,131 wa Huduma za Simu Nchini kutoka 47,685,232 mwaka 2019, sawa na 88% ya Idadi ya Watu hadi 64,088,651, sawa na 101.5% ya Idadi Watu Mikoa yenye Idadi kubwa ya Watumiaji wa Huduma za Simu Tanzania Bara ni Dar es Salaam...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Suala la mkataba wa bandari kati ya serikali ya Tanzania na DP World katika jicho la ujasusi

    Habarini wana JF Ebwana Mkataba wa bandari kati ya serikali ya Tanzania na DP WORLD unaendelea kubamba kila siku kwenye vyombo vya habari, mitaani na kwenye mitandao ya kijamii. Mkataba huu umetengeneza makundi mawili: wanaokubaliana nao kwa madai kuwa unafaida kedekede na wale wanaoupinga...
  20. JamiiForums Tanzania Tanzania kutengeneza magari, bajaji zisizohitaji dereva

    Katika mkakati wa kukuza TEHAMA na Ubunifu nchini, Tanzania imealika kampuni 15 za Misri, huku lengo likiwa kuhakikisha katika miaka michache ijayo, Tanzania itengeneze magari na bajaji za umeme na zisizohitaji dereva. Akizungumza katika maonyesho ya biashara baina ya wafanyabiashara wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…