tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Hakuna Rais wa Tanzania anayeweza kushinda Tuzo ya Mo Ibrahim

    Habari wana jamvi, Nimetafakari mambo mengi kisiasa, mwisho nimeridhika kuwa hakuna Rais wa Tanzania awezaye kushinda Tuzo ya Mo Ibrahim. Nimefikiria mambo anayo fanya Rais Samia, utadhani ameshahakikishiwa kwamba 2025 hatoboi. Anauza rasilimali za Nchi kwa bei chee, lakini za chini chini ni...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Shehe Mkuu wa Tanzania kufanya ziara ya siku tano Makka

    MUFTI KUZURU MAKKAH. Mufti kuondoka kesho kuelekea Makkah Saudi Arabia kwa Ziara ya siku ya siku tano Akiwa mji Mtukufu wa Makkah atahudhuria mkutano mkubwa wa siku Mbili wa viongozi wakuu wa taasisi kuu 150 za kitaifa za kiislamu kutoka mataifa mbalimbali Duniani. Mufti anatarjiwa kurejea...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania Ina upungufu wa umeme, lakini tunakwenda kujenga power plant ya 20 megawatts Uganda

    Hii ni kitu gani? --- I met Mr. Abdul Halim Hafidah Ameir and his delegation from Tanzania. We discussed future cooperation in the area of Energy, especially the power line from Mutukula to Mwanza, which will boost supply on that stretch, leading to the development for both Uganda and...
  4. JamiiForums Tanzania Mema kwa mkulima wa Tanzania... Bashe na Rais Samia wanafanya kweli

    Mkulima wa Tanzania sasa hivi ana kituo cha kisasa cha huduma kwa mtej (,Customer care). Bashe kwa mara ya kwanza Tanzania, anaifanya Wizara ya kilimo kuwa ni watoa huduma wa kisasa kwa wakulima. Jionee: Mengine tutaendelea kuwaletea. Hongera Bashe, Hongera Rais Samia. === Waziri Hussein...
  5. JamiiForums Tanzania Tanzania imeendelea kuwa imara licha ya uchumi wa dunia kutetereka

    Summary Licha ya wasiwasi ulimwenguni kama janga la COVID-19, kutokuwa na utulivu kifedha, na mivutano ya kijiografia, uchumi wa Tanzania uko imara. Ripoti ya Hali ya Kifedha ya Benki Kuu ya Tanzania inasisitiza ukuaji thabiti wa uchumi wa taifa, ambapo mwaka 2022 ulishuhudia ongezeko la 4.7%...
  6. JamiiForums Tanzania Suala la Viza ya Marekani na Canada Serikali ya Tanzania ivunje ukimya, foreign affairs watimize majukumu yao

    Wakuu kuna hili swala la viza ya Marekani na Canada nadhani si la kukaliwa kimya. Ni kweli hizo nchi zina haki na mamlaka ya kuamuwa wanavyotaka lakini waziri wetu wa foreign affairs linapotokea jambo linawakwaza hana budi kukaa kikao na Mabalozi wa hizo nchi mbili hili kuondowa changamoto...
  7. JamiiForums Tanzania Nembo kwenye mimbari ya Rais imebadilika?

    Wadau naomba msaada kwenye hii picha hapa. Mbona simuoni Bibi & Bwana? Pia soma > UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2025

    Huyu jamaa amewaacha mbali wanasiasa karibia wote. Nikimaanisha kwamba CCM sijaona mtu mwenye ubavu wa kupambana na Mwambukusi, kawaacha mbali wapinzani wote akina Mbowe, Lissu, Lema e.tc Ukimsikiliza Wakili Mwabukusi ni kama unamsikiliza Magufuli. Uwezo alionao Mwambukusi siyo wa kubeza...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Anayeijua App nzuri ya kukata online tickets za mabasi hapa Tanzania anijuze

    Naomba anayeijua app nzuri ya kukatia online tickets za basi hapa Tanzania anijuze tafadhali! Nimejaribu app ya e-ticket kilichonipata sina hamu kabisa!!!
  10. JamiiForums Tanzania FT: Ngao ya Jamii: Simba SC 0-0 Singida FG Penati (4-2)| Mkwakwani Stadium Tanga | Agosti 10, 2023

    === Greatest of all time Leo ni Sikukuu ya Soka. Mnyama Mkubwa Mwituni. Simba SC itakuwa ikishuka dimbani kuwakabili Singida FG FC katika dimba la Mkwakwani pale jijini Tanga. Simba ambayo imesheheni wachezaji mafundi kama vile Onana, Baleke, Kramo, Mwalimu Fabrice Ngoma na wengineo...
  11. JamiiForums Tanzania State Capture and Treason in Tanzania & Tanganyika -The Port Saga

    Habari za Wakati huu; Nimepitia hukumu ya kesi ya IGA ambayo imetolewa na mahakama kuu kanda ya Mbeya. Nimetafakari kwa uchache tu namna ambavyo hukumu hii imeandikwa. Kwanza nimejikuta najiuliza hivi Mahakimu hawa ndio walioandika hii hukumu au hii hukumu iliandikwa na DPW kisha wakatumiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Wakili Serikali Mulwambo: Mantiki sahihi ni kuingalia IGA dhidi ya katiba ya Tanzania na siyo sheria za Tanzania

    Wakili wa serikali Mulwambo ametoa somo kwa wanasheria na watu wengine kuwa kwa vile IGA ni makubaliano ya kimataifa kiitifaki inapaswa kuangaliwa dhidi ya katiba ya Tanzania na siyo kupitia sheria za Tanzania He implored the Court to place the IGA on one hand and the Constitution on the other...
  13. JamiiForums Tanzania Wakala Jasmine Razaq: Medical check up ya wenzetu walioendelea ni Masaa 8, ila hapa Tanzania ni Nusu Saa tu

    "Nilipoenda na Mchezaji wangu Fiston Mayele huko Pyramid FC aliko sasa alishangaa vitu vingi na sasa ni Upimwaji wa Afya ambao kwa Wenzetu walioendelea na hata huko Ulaya ni tofauti na hapa Tanzania" "Mayele alipofika aliambiwa kwanza akalete haja kubwa yake tayari kwa Vipimo. Kiukweli...
  14. JamiiForums Tanzania Kugawa gawa Mikoa Tanzania

    Hii Tabia ya kugawa gawa Mikoa inakera sana; nilisamehe Arusha wavoigawa kupata Manyara but now Mwanza wameigawa kupata Geita, Mbeya wameigawa kupata Songwe, Iringa wameigawa kupata Njombe, Rukwa wameigawa, Dar wameigawa kupata wilaya zingine ukiangalia Dar yenyewe ndogo. Na kuna kila dalili...
  15. JamiiForums Tanzania Nuksi imeshaanza kwa waliofanya 'Pre Seasons' zao nje ya Ardhi ya Tanzania

    Mzee wangu Kocha 'Jeans Hiyo Hiyo' usikasirike hapo ulipowekwa kwa sasa kwani umewekwa Kimtego ila muda wowote unarejea Kikosini. Mshambuliaji tunayekupenda na Kukubali kuliko wote walioko Kikosini ila hupangwi kwa Chuki ya Kocha na Kiongozi Mwandamizi Klabuni usihofu huenda kwa matokeo mabaya...
  16. JamiiForums Tanzania Wasomi wa Tanzania ndio wachumia tumbo na Wazalendo ndiyo vilaza hawaelewi kitu

    Hii ndio Tanzania yetu ukishapata kitengo, uongozi au nafasi ni muda sahihi wa kupokea rushwa, kufanya biashara magendo, ubadhirifu na uhujumu uchumi Viongozi na Watumishi hawana uchungu na hii nchi. Wazalendo ndio maskini wa kutupwa na wengi ni wajinga hawana uelewa wa kuhoji zaidi ya kujiita...
  17. JamiiForums Tanzania Abu Dhabi kuikopesha Tanzania Tsh Bilioni 70 kujenga njia ya kusafirisha umeme Benako hadi Kyaka mkoani Kagera

    Tanzania na Mfuko wa Maendeleo wa Abu Dhabi wa Umoja wa Falme za Kiarabu zimetiliana Saini mkataba wa mkopo nafuu wa dola za Marekani milioni 30 sawa na shilingi bilioni 70 za Tanzania kwa ajili ya Ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme Msongo wa kV 220 kutoka Benaco hadi Kyaka na Upanuzi wa Kituo...
  18. JamiiForums Tanzania Wakatoliki Wenzangu wa Tanzania tuchangishane upesi tupate Dola 35,000 tukamkomboe Frateri aliyetekwa nchini Nigeria

    Kwa mujibu wa Matangazo ya BBC Dira ya Dunia ya Leo Jioni walionteka Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) Melchiory Dominic (Raia) wa Tanzania na Mwenzake Raia wa Burkina Faso wanahitaji Kikombozi (Ransom ) cha Dola za Kimarekani 70,000 kwa Wote Wawili (yaani Dola 35,000) kwa kila Mmoja ili wawaachie...
  19. JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania Waziri Mkuu akijiuzulu na Baraza la Mawaziri linavunjika?

    Wakuu ni kwa nini nchini kwetu waziri mkuu akijiuzulu na Baraza la Mawaziri linavunjika na hali yeye siyo kiongozi wa baraza la mawaziri wala aliyewateua kama kwa nchi kama Uingereza?
  20. JamiiForums Tanzania Hii hapa orodha ya wanahiphop bora wa muda wote Tanzania

    Wakuu pamoja na kupenda siasa za CCM ila pia mimi ni mnazi mkubwa wa muziki wa Hiphop. Tangu utotoni nimekua nikipenda Hiphop. Nimekuwa nikisikiliza nyimbo za GWM, Mr II, Dollar Soul, JCB & Watengwa, Nako2Nako, Juakali, hadi hawa waliopo kwenye chati kina PMawenge. Nikiwa mdogo nilikuwa napenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…