Shehe Mkuu wa Tanzania kufanya ziara ya siku tano Makka

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,209
4,706
MUFTI KUZURU MAKKAH.

Mufti kuondoka kesho kuelekea Makkah Saudi Arabia kwa Ziara ya siku ya siku tano

Akiwa mji Mtukufu wa Makkah atahudhuria mkutano mkubwa wa siku Mbili wa viongozi wakuu wa taasisi kuu 150 za kitaifa za kiislamu kutoka mataifa mbalimbali Duniani.

Mufti anatarjiwa kurejea nchini tarehe 17.8. 2023

Viongozi hao watajadili umuhimu na njia bora za mawasiliano na haja ya ushirikiano na kusaidiana baina ya taasisi hizo kwa lengo la kujijengea uwezo ili kuwezesha kufikia malengo ya kuwatumikia vyema waislamu.

FB_IMG_16919047946756049.jpg

.......

Dr. Harith Nkussa
Mwandishi Maalum wa Mufti
Ijumaa 11.8.2023
Dar es salaam.
 
Kuwafikia waislamu kuwaporonyoa hela kisha waendelee kufanya kufuru maana pesa sio ya kitoto wanayopata
Hapa duniani kuna watu wana akili sana
 
Mji mtukufu ni kijijini kwenu, acha kusifu miji ya watu. Kwanza mmeniboa natamani niinunue na Dar ili mtafute pakwenda.
 
Back
Top Bottom