tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Ombaomba wa Tanzania ni wabunifu sana

    Kuna wamama nimekutana nao barabarani wanaomba msaada ukishuka tu kwenye gari wanaanza kwa kuambia "Asalamaleko, kuna jambo zuri la baraka tungependa kukushirikisha kwa ajili ya sadaka..." kisha wanakupa kadi yenye maelezo mengi, mwisho wa siku kumbe ni msaada tu unatafutwa Kuna wakina mama wa...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi future ya Tanzania ni nzuri kweli?

    Kwa mambo yanayoendelea kuuana, kutekana, CCM, Chadema, wanaharakati, machawa, ufisadi, maendeleo ya nchi, madeni, Utanganyika, Uzanzibari, bandari, uranium, UAE, EU, Russia, changamoto za ajira, umasikini nk The way tunavyo handle hivi vitu kama taifa, mnaiona Tanzania ya miaka ijayo ikiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Wachezaji wa kigeni waliowekeza Tanzania

    Je unawafahamu wachezaji wa mpira wa miguu waliowekeza Tanzania? Mimi naanza na hawa: 1.Bernad Morrisson Kajenga nyumba Dar na Mbeya 2.Aubrey Chirwa Huyu ana mashamba Kagera,Pwani na Morogoro.Pia ana maghorofa Dar,ana nyumba Bukoba,Dar,Mbeya na Morogoro.Kama unawafahamu wengine tueleze
  4. JamiiForums Tanzania Rais wa Singapore kuanza ziara ya kiserikali Tanzania kesho Juni 9, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Singapore, Mheshimiwa Tharman Shanmugaratnam, anatarajiwa kuwasili Tanzania jioni ya leo kwa ajili ya kuanza Ziara ya Kiserikali kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Kesho, Juni 9, 2026, Rais Shanmugaratnam atapokelewa rasmi Ikulu...
  5. JamiiForums Tanzania Singapore President Tharman Visits Tanzania

    🇹🇿🇸🇬 Welcome to Tanzania H.E. Tharman Shanmugaratnam, President of the Republic of Singapore, on your State Visit from 8th - 10th June 2026. This visit symbolizes the deepening friendship and mutual commitment between our two nations to strengthen bilateral ties;
  6. JamiiForums Tanzania Urusi haijasahau ukarimu wake wa nyakati zote kwa Tanzania 🇹🇿 🇷🇺

    The Diplomat Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anaelezea mapokezi ya heshima aliyopata akiwa katika ziara rasmi ya kitaifa nchini Urusi. Mapokezi aliyopewa Rais Dkt. Samia yanaakisi udugu wa miaka mingi na Taifa la Urusi. "Urusi ni mshirika wetu mkubwa...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi ukioa binamu yako shangazi anabaki shangazi au anageuka mkwe?

    Sijawahi kukutana na ndoa ya watu ambao ni mabinamu lakini ikitokea mabinamu wameona ina maana shangazi na mjomba watabaki na titles zao au wanakuwa mama mkwe na baba mkwe? Nb: Haishauriwi kisayansi binamu kuoana ili kuepuka kurithisha watoto changamoto kubwa za kijenitiki.
  8. JamiiForums Tanzania Miaka 57 Rais Samia avunja ukimya wa Urusi na Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania alifanya Ziara ya kwanza Nchini Urusi Oktoba 1969, kipindi hicho Urusi ikijulikana kama (Shirikisho la Umoja wa Kisovieti/USSR). Kipindi dunia ikiwa imegawanyika katika kambi mbili kuu za Vita Baridi. Tanzania ilikuwa imeanza...
  9. JamiiForums Tanzania Ni ipi nafasi ya Tanzania katika Migogoro unaoendelea Mashariki ya Kati?

    Inajulikana kuwa nchi za Mashariki ya Kati zimejengewa misingi ya Ustaarabu wa kidini tangu enzi na tunapozungumzia dini tunajumuisha Ustawi na utulivu wa Mwanadamu. Migogoro ya kihistoria hususani inahusisha ardhi ya israel-Palestina imeendelea kuwa nadharia kuu ya Kutoweka kwa Amani katika...
  10. JamiiForums Tanzania Air tanzania yapingwa marufuku kuruka anga za ulaya

    Kama mnakumbuka mama samia alikuwa ziarani hapo urusi baada ya muda kidogo wakatoa taarifa kwamba air tanzani itaanza safari za moja kwa moja hadi urusi Kumbe kilichojificha ni kwamba air tanzania walipewa notes na kupigwa ban ya kuruka anga za ulaya just why wakaamua kuhamia anga za urusi Haya...
  11. JamiiForums Tanzania Tudumishe amani Tanzania video

    https://youtube.com/shorts/iz-L9D8Tvug?si=Hj5zabg1oScnBzUu
  12. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Utaratibu wa Life Insurance uangaliwe tena, nimepata ugumu kwenye maisha ila wamegoma kunipa hata hela kidogo

    Nimewekeza zaidi ya shilingi milioni 40 katika bima ya maisha (life insurance) kupitia Jubilee Insurance, kwa matumaini ya kuwa na usalama wa kifedha wa baadaye. Hata hivyo, kwa sasa sina ajira na sina uwezo wa kuendelea kulipa malipo ya mara kwa mara ya mpango huo. Nimewasiliana nao ili kupata...
  13. JamiiForums Tanzania Tathimini ya uchumi wa Tanzania 2026 - 2030

    Wakuu Za Wakati Huu Na Hongereni Na Majukumu Ya Ujenzi Wa Taifa Letu". Awali ya Yote Sijajua washauri wa Uchumi Wa Taifa kwa Madam President ni kinani?ila Binafsi naona Move Tuliochagua Kama Taifa Sio sahihi Hasa Kuegemea Zaidi Upande wa China na Urusi kwasababu 1.China Ni Wazee Wa Loans Na...
  14. JamiiForums Tanzania Sera ya Kutokuwa Upande: Nguvu ya Tanzania Kimataifa

    👉 Wapo baadhi ya wanaharakati uchwara waliokuwa wakitarajia kuona Dkt. Samia Suluhu Hassan akitumia lugha kali dhidi ya Marekani katika mahojiano yake ili kuonyesha upande anaouunga mkono. 👉 Kwa mtazamo wao, walidhani njia bora ya kuimarisha uhusiano na Urusi ni kuikosoa hadharani...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ushawishi wa Rais Samia wafanya Viongozi Duniani Kote Kupigana vikumbo na Kung'ang'ania Kufika Tanzania. Rais wa Singapore kuja Tanzania Jumatatu

    Ndugu zangu Watanzania, Tanzania ya Rais Samia inaendelea kugonga vichwa vya magazeti Dunia kote, Tanzania inaendelea Kuwa Kivutio cha Dunia, Tanzania ya Rais Samia inaendelea kuwa kama Sumaku ya Kuvuta watu mbalimbali kuanzia viongozi, wafanyabiashara, wawekezaji, Watalii, wanamichezo na watu...
  16. JamiiForums Tanzania Remote Work Tanzania: Mwenye Uzoefu Atuongoze

    Wakuu, naomba msaada wa mawazo kutoka kwa wadau wenye uzoefu wa remote work au work from home nikiwa hapa Tz. Nina hamu ya kuanza kujifunza na kuanza kufanya kazi za online kama njia ya kuongeza kipato kiasi cha pembeni ya shughuli zangu za kawaida. Niningepend kusikia uzoefu halisi kutoka kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Tharman Shanmugaratnam kuwasili Tanzania kwa Ziara ya Kitaifa

    Rais wa Jamhuri ya Singapore, Tharman Shanmugaratnam, anatarajiwa kuwasili nchini kwa Ziara ya Kitaifa (State Visit) itakayofanyika kuanzia tarehe 8 hadi 10 ya mwezi huu. Ziara hiyo itakuwa ya kwanza kufanywa na Rais wa Singapore nchini tangu Tanzania na Singapore zilipoanzisha rasmi mahusiano...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Urusi imeshidwa kutetea Syria na Venezuela hata Tanzania watashidwa

    Urusi imeshidwa kutetea Syria na Venezuela hata Tanzania watashidwa. Ni ujinga na maono yasiyo na tija kufikiria Urusi ambayo imetekeleza marafiki zake hata wale waliokuwa wana nunua silaha kutoka kwake akija USA Urusi inawatekeleza. Sasa Samia anapoteza muda kwenye kujipendeleza na nchi yenye...
  19. JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza Wa kuoa hapa Tanzania.

    Mimi ni mzee kijana wa miaka 41.Natafuta mwanamke wa kuja kuoa awe na miaka 30 mpaka 39.Dini yoyote. mengine yote ni sawa.Naishi Mkoa wa Arusha vijijini. Home town ni Kilimanjaro. Namba zangu 0679383475
  20. D

    JamiiForums Tanzania Ni chuo gani hapa Tanzania naweza kusoma course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH)?

    Wadau natafuta taasisi ambayo inatoa course ya National Examination Board in Occupational Safety and Health (NEBOSH) kwa hapa Tanzania. Ningependelea zaidi kusoma darasani sio online. Ila ikishindikana nitafanya hata online.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…