Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Tanzania imeendelea kujiweka katika ramani ya dunia baada ya kutajwa kuwa miongoni mwa nchi 10 zilizokuwa na ukuaji mkubwa zaidi wa uchumi duniani katika kipindi cha robo karne iliyopita.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Tanzania imeorodheshwa pamoja na mataifa kama China, India, Vietnam, Ethiopia...
Kwa miaka ya hivi karibuni, maisha ya wananchi wa kawaida yameendelea kuwa magumu kutokana na kupanda kwa gharama za maisha. Bei za mafuta zimepanda, na matokeo yake yameonekana moja kwa moja kwenye usafiri, chakula, vifaa vya ujenzi, kodi za nyumba pamoja na huduma muhimu za kila siku...
HARAKATI siku zote huwa zina lengo la kupambania yale ambayo tunadhani hayako sawa kwenye jamii na yale ambayo tunadhani yalitakiwa kufanywa kwa mtazamo mwingine kabisa na huwa zinakuwa na lengo la kuikumbusha serikali au watawala juu ya mambo fulani fulani.
HARAKATI haiwezi kugeuzwa kuwa ni...
Salaam Wakuu,
Kabla ya Yote naomba niwakumbushe, asilimia 98 ya Watu wanaopotezwa, Kutekwa na kuuawa Nchi Tanzania ni Wakristo.
Hivyo nakubaliana na hatua zozote Marekani itachukua dhidi ya Tanzania.
Hizi takwimu ni mbali na mauaji Ya makusudi ya Watoto wetu ya 29.10.2025. Watu wenye bunduki...
Kwa mujibu wa Mfuko wa Fedha Duniani, IMF, DENI laTanzania limelipiku like LA Kenya na kushika nafasi ya TATU barani Afrika, baada ya Nigeria na Ethiopia.
Tanzania SASA inadaiwa dola bilioni 14.4 wakati la Kenya limerudi nyuma na kufikia dola dilioni 13.2
Hii ni baada ya Kenya kufululiza...
Tanzania y Zanzíbar representan una de las combinaciones de viaje más completas y espectaculares de África. Cada año, miles de viajeros internacionales visitan Tanzania para descubrir la increíble vida salvaje de sus parques nacionales y después relajarse en las playas paradisíacas de Zanzíbar...
Katika Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, hususan katika kata zinazopakana na nchi jirani ya Uganda, yaani kata za Mrongo na Bugomora, wananchi ni wazalishaji wakubwa wa zao la kahawa aina ya Robusta kwa wingi.
Lakini kumekuwa na unyanyasaji mkubwa ambapo mamlaka husika wilayani humo zimekuwa...
Kampuni ya Amsons Group yenye makao makuu yake nchini Tanzania, inaripotiwa kuwa katika mazungumzo ya hatua ya juu ya kuinunua kampuni ya Oryx Energies katika dili linalokadiriwa kuwa na thamani ya dola milioni 250 (Zaidi ya shilingi bilioni 650 za Kitanzania), kwa mujibu wa taarifa kutoka...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuwa tumaini na nguzo imara ya Taifa letu kupitia sera, falsafa na dira inayoweka mbele maslahi ya Watanzania.
Kwa miaka mingi, CCM imebeba dhamana ya kulinda amani, kuimarisha umoja na kusukuma gurudumu la maendeleo ya Tanzania mbele.
Ni dhahiri kuwa...
Virus vya Ebola hii ni hatari zaidi ya ile Ebola iliyozoeleka. Je Serikali inajiandaa kukabiliana nayo! Je mwananchi wa kawaida katika family level tunajiandaa na hii new reality? Kuelekea 2029 tutegemee matukio ya kushangaza sana na ku disrupt mwenendo wa kawaida wa maisha ya mwanadamu. Hivyo...
Salama.
Wawekezaji wengi hasa kutoka bala la Asia hawa wachina ,wakorea ,Mahindi ni watu ambao wanawanyanyasa sana wazawa kwenye maeneo waliyowaajili.
Hawa watu ni hawazingatii kabisa sheria za kazi na wanakuaga na kauli Tata za matusi ,malipo kidogo ,hawana huruma wala utu kwao wanaamini...
Ni takribani miezi saba sasa tangu Taifa liingie katika ukurasa mpya wa huzuni, majonzi na maumivu ya kijamii na kisiasa kufuatia yaliyotokea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29. Tangu wakati huo, Tanzania imeonekana kutembea kwa kusitasita kama taifa lililopoteza dira, huku sintofahamu ikitanda...
Leo Lucas kaanzisha Thread anasema Mama amebadilisha maisha ya Watanzania
Mimi nikamjibu kwa picha kumuonesha maisha ya Watanzania
Sasa hizi ni picha za Mbeya, nimemwonesha akauona umasikini hadi akashangaa akaanza kusema ni picha za mitandaoni na sio picha halisi za Tanzania
The fact...
Hivi kwa nini licha ya kuwa jirani na Rwanda bado hatujapata motivation ya kufanya majiji yetu yawe masafi?
Tuna majiji sita tu
1. Dar es Salaam
2. Mwanza
3. Arusha
4. Dodoma
5. Tanga
6. Mbeya
Hivi hatuwezi kuanzisha kampeni kali ya "KEEP OUR CITIES CLEAN" watu walipishwe faini za kutosha...
Je huu uhuni una Baraka kutoka kwa Mkuu juu? Kwa sababu vyombo vyote vya usalama vinareport kwa mkuu kwa hiyo anajua kila kitu.
Je vyombo vya usalama havina uwezo wa kuthibiti haya...
Habari za Sabato!
Nimeshangazwa Sana na mawazo ya vijana.
Mnawaza nini vijana?
Mnataka nini Vijana?
Mkoje ninyi vijana?
Katika hali ya kustaajabisha GenZ wanasema wao tatizo lao sio Soka, tatizo lao sio ajira, ajira hawana tatizo nalo.
Nikajiuliza kivipi tena wakati vijana ninyi ni jobless...
Hii chupa ya dripu ina nusu lita ya kimiminika aina ya ‘maji’. Lebo hapo inasema "0.9% w/v" Sodium Chloride (chumvi). Kwa kifupi, maana yake ni kwamba 99.1% ya hii chupa ni maji. Kwenye hii dripu ya 500 ml, kuna gram 4.5 ya chumvi. Kilichobaki 495ml ni maji.
Haya maji yamekuja kutoka India kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.