Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 585
- 1,370
Pia soma ~ Samatta arejeshwa katika kikosi cha Taifa Stars kitakachocheza mechi ya kufuzu AFCON 2025 vs DR Congo
Updates.....
Kipindi cha kwanza cha mchezo kimeanza
Dakika, 9 Mpira upo kasi sana na bado milango ni migumu kwa pande zote mbili
Dakika, 17 Ngoma bado ngumu si Mwenyeji DRC wala si Tanzania
Dakika, 30 Si Stars wa DRC ambaye amepata goli mchezo upo on fire
Dakika 45 za kipindi cha kwanza kimetamatika DRC 0-0
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika, 53 Gooooli DRC wanapata goli la kuongoza
Dakika, 58 Taifa Stars wanafanya mabadiliko anatoka Kibu anaingia Saduni
Dakika, 70 Taifa Stars wanatengeneza nafasi na kumiliki mpira
Dakika, 81 DRC wanashambulia sana dakika hizi