tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. The introvert

    JamiiForums Tanzania Je, bado haujafika muda wa Tanzania kuwa na mfumo mmoja wa kidigitali utakaohifadhi nyaraka muhimu?

    Habari za muda huu wanajamvi, Kuna jambo huwa linanifikirisha mara kwa mara,hivi katika kipindi hiki ambacho teknolojia imeendelea kukua kwa kiwango kikubwa, je, haiwezekani serikali pamoj na sekta binafsi kuweka mfumo mmoja wa kidigitali utakaohifadhi taarifa na nyaraka muhimu za mwananchi...
  2. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli, Dar es Salaam ndio center ya mafanikio hapa Tanzania? Unamshauri nini kijana?

    Vijana wengi wanakimbia kutoka vijijini kwao wanakimbilia mjini daresalaam, cha kushangaza wapo wanaofanikiwa pia wengi wao wanafeli, unahisi kwanini watu wanakimbilia hasa daresalaam? Je ni population au ni nini? Daresalaam ukiwa na mtaji wa kawaida utafanyaje? Frame za biashara mfano gongo la...
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Hivi Kuna Taifa Lingine Duniani Linalojua Sana Maisha ya Mastaa Kama Tanzania?

    Hivi kuna nchi yoyote duniani ambayo ni rahisi kuwa maarufu kama Tanzania maana kwa uchunguzi wangu nadhani tanzania inaweza kuwa Top ya nchi ambazo wananchi wake wana feed taarifa nyingi sana kuhusu maisha binafsi ya watu maarufu. Mtu hajaamka bado yupo kitandani alfajiri tayari anajua...
  4. E

    JamiiForums Tanzania The Changing Values of Success in Tanzania: Skills, Deal-Making, and the Rise of Middlemanship

    We are living in a new country with relatively new fundamental values, but often disguised in the language of old values and norms. Nowadays, the ability to make deals and act as a middleman can make almost everything possible. If you have persuasive skills and the ability to attract multiple...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kampuni za Algeria zatafuta wabia wa biashara na uwekezaji Tanzania

    Kampuni za Algeria zatafuta wabia wa biashara na uwekezaji Tanzania Kampuni za Algeria zinazojishughulisha na uzalishaji wa bidhaa mbalimbali zikiwemo za viwandani na kilimo zinatafuta wabia wa kufanya nazo biashara ya mazao na uwekezaji katika sekta ya viwanda nchini Tanzania. Kampuni hizo...
  6. Papillon 1906

    JamiiForums Tanzania Msanii wa hip hop wa Tanzania Jose Mtambo kwa sasa

    Bob Marley alisema; Life is a lord with a lot of signs when you riding through the roots don't complicate your mind,free from hate mis-chief and jealous. Don't burry your thoughts put your vision to reality.
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rasmi Bunge la Ulaya lapokea ushahidi kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania

    Kamati ya Bunge la Ulaya ya haki za binadamu imepokea ushahidi kuhusu madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini Tanzania katika kikao maalum. Soma: Mke wa Lissu abubujikwa machozi akitoa taarifa Kamati ya Haki za Binadamu EU Ushahidi huo umetolewa na mke wa mwanasiasa wa upinzani Tundu...
  8. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Maendeleo Tanzania itaishia kua ndoto tu

    Habari ya hasubuhi Ili Tanzania ipate maendeleo ya kweli kuna mambo yanatakiwa yafanyike.Mfano kipindi cha miaka tu tumekopa zaidi ya Trioni 54 lakini ukiangalia miradi ya utekelezaji unaona kama hazishabihani.Ushauri wangu ili tupate maendeleo ni ufuatao 1.Viongozi tunaowachagua tusichague...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Taifa Gani Limewahi kuendelea na Kuwa Tajiri Kwa Misaada na Fedha za Wahisani? Tanzania Hatutampigia Mtu Magoti na Kumbembeleza

    Ndugu zangu Watanzania Hakuna Taifa limewahi kuendelea ama kuwa Tajiri kwa kutegemea misaada na pesa za Wahisani. Hakuna Taifa linaweza kutoa pesa za walipa kodi wake ili likupe wewe uwe tajiri na wananchi wako wawe matajiri na kuishi Maisha ya kitajiri kupita Wananchi wake walipa kodi. Hakuna...
  10. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ukiunganisha uongozi wa Uganda wanacho kifanya ndio Tanzania wanacho kifanya

    Kuna kauli za Museveni na mwanae kama inavyoonekana Tanzania imeshakuwa mali yao bado kenya kwa mfumo wake wa utawala. Kitu kinacho nipa kufikiria zaidi embu mfatilie museveni na mfatilie samia kauli zake na matendo ya serikali .
  11. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Machafuko (Xenophobic attacks) Afrika Kusini faida kwa Utalii Tanzania

    Tutumie faida ya machafuko huko South Africa kukuza utalii Tanzania. Ikibidi itumike mbinu mbinu kuwa-support viongozi wa maandamano March to March na Dudula ili pawake kila siku kuharibika huku tunajaza watalii
  12. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Chuo cha Sokoine Katavi kuwa cha mfano Tanzania

    DKT. MWIGULU: CHUO CHA SOKOINE KATAVI KUWA CHA MFANO TANZANIA Ujenzi wa Jengo la Taaluma la chuo cha SUA Kampasi ya Mizengo Pinda Katavi wafikia zaidi ya Asilimia 90 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba alifanya ziara ya kikazi Mkoani Katavi ambapo alifanikiwa...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Umasikini Tanzania unaletwa na hawa hawa CCM

    Kuna kipindi : Kwenye Episode ya 3 ya podcast ya Let's Impact Millions, Brother Eric (maarufu kama UBEPARI PC Co LTD) amefunguka simulizi nzito inayoumiza kichwa kuhusu mazungumzo aliyowahi kuwa nayo na mtoto wa waziri mmoja kuhusu mtazamo wa utajiri na mafanikio kwa wananchi wa kawaida. Licha...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Ujerumani Wasaini Mkataba wa Bilioni 60.7 Kuboresha Huduma za Maji Tunduma na Vwawa-Mlowo

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imesaini mkataba wa msaada wa Euro milioni 20 sawa na shilingi za Tanzania bilioni 60.7 kutoka Serikali ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani kupitia Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) kwa ajili ya kufadhili mradi wa Uboreshaji wa Huduma za...
  15. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya July 07, yakimbiza watalii, wageni wengi wame cancel safari za Tanzania

    Daa hii nchi sijui kama itatulia, serikali inazidi kukaza kichwa. Nimeongea na mtu wa Tourism sector Arusha, alikuwa analia kilio Cha kusaga meno. Wageni wengi kutoka ubeberuni walikuwa wamefanya booking za kuja Tanzania, ila kutokana na hofu ya maandamano ya July 07, wame-cancel safari zao...
  16. Mwanga wa Jua

    JamiiForums Tanzania Tanzania Tunajifunza nini kutoka Uganda ya Mzee Museveni kwenye hili?

    Mzee Museni yeye ameamua kuiacha sekta binafsi ijenge uchumi wa Uganda, Mfano ni huu, Katika bajeti ya Uganda ya mwaka wa fedha 2026/27 yenye thamani ya Shs 84.4 trilioni ($22.8 bilioni), eneo la Ushirikiano wa Sekta ya Umma na Binafsi (PPP) limegusiwa kama nguzo muhimu ya kuchochea mkakati...
  17. Mwanga wa Jua

    JamiiForums Tanzania DENI LA TAIFA: Wakati Tanzania likiwa chini ya 50% ya GDP Rwanda kufikia 79% waamua kuachana kabisa na mikopo na kujikita kwenye PPP tu

    Wasalaam, Mnaohusikia na mambo ya Uchumi wa Tanzania someni hii stari kwa mstari, Sikuwa naelewa anachofanya Kafulila kupitia hii taarifa nimeanza kumwelewa. Katika bajeti ya Rwanda ya mwaka wa fedha 2026/27 yenye thamani ya Rwf 7.8 trilioni ($5.3 bilioni), sekta ya Ushirikiano wa Sekta ya...
  18. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Moshi, kati ya Manispaa Chache Chafu Zaidi Tanzania Bara!

    Manispaa ya Moshi iliyopo mkoani. kilimanjaro inayoongozwa na Mbunge wa CCM-Ibrahimu Shayo, Meya wa CCM ndugu Kidumuyo, RC naDC wa CCM ndio manispaa chafu zaidi kwa sasa. Kipindi CHADEMA wakiwa na mbunge Ndesamburo na Mayor Ray Mboya , ndio manispaa iliyokuwa safi zaidi Tanzania na Afrika...
  19. Best home tutor

    JamiiForums Tanzania Mchango wangu juu ya hali ya Tanzania hasa kipindi hiki kigumu.

    Nimejaribu kumsikiliza professor Tibaijuka ambaye anafanya constructive criticism juu ya mambo mbalimbali nchini pia kufuatia hali ya nchi sasa ilivyo nimekuja na mtazamo wangu binafsi. 1.Nchi yetu sasa hivi imeparanganyika .Hakuna ukaribu kati ya wananchi hasa tabaka la chini na watu wa tabaka...
  20. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Ni Yetu Sote- Tanzania

    Tanzania ni yetu sote, hakuna kutishana na nyie wenye mamlaka.. Mjirudi tusonge mbele....!
Back
Top Bottom