Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Nitaandika kifupi sana:ili nawe nikupe muda wa kutafakari.
Kama kuna wakati sahihi wa kujikwamua toka kwa watawala dhalimu waliojitwalia madaraka kwa mabavu, wakati huo ni sasa dunia ikiwa katika hatihati ya matatizo yatokanayo na vita; kama vile changamoto za kiuchumi.
Baadhi ya mataifa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, amesema wingi wa taasisi za udhibiti nchini unachangia usumbufu mkubwa katika biashara na kuathiri ukuaji wa sekta hiyo.
Prof. Mkumbo alisema hayo Machi 27, 2026, wakati wa mkutano wa uhakiki wa rasimu ya mpango wa...
🎯CHIMBO LA VIFAA VYA UMEME KARIAKOO Rafiki Electrical Solutions 🤝 ⚡ VIFAA VYA UMEME ORIGINAL NA BEI POA! Kwa Mahitaji ya Vifaa Vya Umeme Bora na Vya Ukakika (Original) Rafiki Electrical & Tech Solutions Tupo Kwa Ajili Yako💡✅ TUNAUZA NA KUTENGENEZA VIFAA BORA NA IMARA VYA UMEME WA MINARA...
Wakuu,
Kuna makala nimeisoma leo kwenye gazeti la The New York Times (NYT) imenifanya nitafakari sana kuhusu hatima ya nchi yetu na uwezo wa viongozi wetu kuona mbali (vision). Makala inahusu mtikisiko mkubwa wa mafuta unaoendelea kuikumba China na dunia kwa ujumla kufuatia kushtadi kwa vita...
Ni wazi uelekeo wa Taifa letu kwa sasa, ni kwenye matumizi ya nishati ya gesi asilia majumbani, viwandani na katika sekta ya usafirishaji.
Hii itasaidia kuondokana na taharuki zisizo za lazima kama hii ya chanagamoto ya uhaba wa nishati ya mafuta kama ambavyo imeiathiri na kuihangaisha dunia...
1. Gereza la Ngwalla, Chunya
Hili ni namba 1 lipo msituni na wala hakuna ulinzi mkali wala ukuta ila hukuna mfungwa anaweza kutoroka.
Gereza hili limezungukwa na wanyama wakali kama Simba, Chui, Fisi n. K
Hutumika kuhufadhi mateka wa Kijeshi
2 Gereza la Kitai, Songea
Hili ni namba mbili
Kazi...
Need Someone in Dar es Salaam to Handle Tasks for You? (On-Ground Support in Tanzania)
Hello,
If you are outside Dar es Salaam—or even outside Tanzania—and need someone reliable to handle tasks on your behalf, this service may help you save time, travel costs, and unnecessary stress.
I run RMK...
Need Someone in Dar es Salaam to Handle Tasks for You? (On-Ground Support in Tanzania)
Hello,
If you are outside Dar es Salaam—or even outside Tanzania—and need someone reliable to handle tasks on your behalf, this service may help you save time, travel costs, and unnecessary stress.
I run RMK...
Poleni sana Chadomo Kwa hili pigo na kuendelea kujaza maji kwenye neti.
======
The World Bank has approved $550 million in financing for Tanzania to boost jobs and support vulnerable households.
The funding will benefit more than three million people through skills training and social...
Shida ni kwamba hizi Telecom Companies na pia other companies ambazo zinajihusisha na services za home internet hazisema ukweli interms of amount ya data unayopata, kwa mfano unaweza kulipa unlimited kwa speed kiasi flani lakini unakuta kumbe limit ni 1tb, so wana-advertise huongo na hawajulishi...
Ni wizi huu wa sehemu nyeti kwa njia za kishirikina uliokuwa maarufu Congo na sasa umeingia Tanzania,
Wizi huu unaripotiwa na wahanga pale mtu mnapokutana akikushika mkono au kukupiga begani huku akizuga kuomba njia apite, kukusalimia, kukusifia, n.k.
Utahisi mwili unavibrate na kudhani ni...
Benki ya Dunia imeidhinisha fedha za dola milioni 550 kwa ajili ya Tanzania ili kuimarisha ajira na kusaidia kaya zilizo hatarini.
Fedha hizi zitawanufaisha zaidi ya watu milioni tatu kupitia mafunzo ya ujuzi na programu za ulinzi wa kijamii.
Zaidi ya wahitimu 650,000 wanatarajiwa kupata fursa...
Zanzibar kwa kutumia mamlaka yao ya ndani imekuwa ikisajili meli za walanguzi wa madawa ya kulevya na kuwaruhusu kutumia bendera ya Tanzania. Hali hii imeiweka Tanzania katika hali mbaya sana kimataifa kuwa nchi inayosambaza dawa za kulevya duniani na hivyo kushusha hadhi kama moja ya nchi...
Benki ya Dunia imejitolea kutoa kiasi cha dola milioni 550 kusaidia jitihada za upatikanaji wa ajira na usaidizi wa kijamii nchini Tanzania.
Benki ya Dunia imemidhinisha ufadhili mpya wa dola milioni 550 kwa ajili ya Tanzania, ukilenga kutengeneza fursa za ajira na kusaidia kaya zenye uhitaji...
Bado mtatudanganya Muungano Una faida? Bado mtatudanganya faida za Muungano ni pamoja na usawa wa kiuchumi?
Tanganyika mafuta 4000 Kwa lita Zanzibar 2900?
Kwamba kodi za mafuta Tanganyika zinafidia Kodi za mafuta Zanzibar ili wao bei iendelee kuwa nafuu?
AL JAZEERA WALIPOKUJA KUNIHOJI TANGA NA DAR ES SALAAM
Mahojiano na Al Jazeera nyumbani kwangu Masaki, Dar es Salaam 2007
Mohamed Val Mtangazaji wa Al Jazeera akinihoji nyumbani kwangu Bombo, Tanga (2008)
Huyu kijana kutoka Al Jazeera sikumbuki jina lake alinifahamisha kuwa alipata kuishi...
Hadi Leo Marekani Wana jicho la tai la kuona mataifa hatari Kwa Dunia miaka kadhaa Ijayo .
Iran ni majawapo ya mataifa hatari ambayo Us ametusaidia kulipungizia nguvu zake zenye Nia mbaya.
Kitendo Cha kuanza kushambulia majirani zake wote ambao walikuwa hawajamrushia hata jiwe inaonyesha...
Vita Iran: Tanzania yatangaza kupanda kwa bei ya mafuta
Serikali nchini Tanzania imetangaza bei mpya ya juu ya mafuta inayoanza kutekelezwa hii leo Jumatano tarehe mosi Aprili 2026.
Kulingana na Mamlaka ya udhibiti ya huduma za Nishati na Maji nchini Tanzania EWURA ,kupanda kwa bei hizo...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema uchumi wa Tanzania unaendelea kukua akibainisha kuwa kasi ya ukuaji wa kitaifa imepaa hadi kufikia 6.0% licha ya mtikisiko uliosababishwa na janga la Uviko-19.
Mwigulu ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.