Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Tanzania tuna vyama vya upinzani ambavyo viongozi wake wanaweza kuhamia CCM wakati wowote kama "mazingira " yataruhusu wao kuhamia. Mfano ya viongozi waliohamia CCM ni mingi sana tukianzia na Prof. Kitila. Wananchi wamekosa imani na vyama
Tanzania tuna vyama vya upinzani ambavyo viongozi wake...
Chini ya sheria na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais aliyeko madarakani hawezi kulazimishwa au kuitwa mahakamani kutoa ushahidi au kushtakiwa kwa sababu anapewa kinga kamili ya kikatiba kulinda hadhi na utendaji wa kiti cha urais.
Kinga ya KikatibaKifungu cha Sheria:
Ibara ya...
Mara nyingi tunasikia taarifa kuhusu ukuaji wa uchumi, ongezeko la uwekezaji na maendeleo ya miundombinu nchini. Hata hivyo, baadhi ya wananchi bado wanaendelea kulalamikia gharama za maisha, bei za bidhaa na changamoto za kipato.
Je, ukuaji wa uchumi unaonekana moja kwa moja katika maisha ya...
Asasi za Kiraia (CSOs) zipatazo Hamsini (50) zimesaini tamko la kuomba SADC Pannel of Elders kuja nchini Tanzania kukutana na kufanya mazungumzo na wadau mbalimbali waKIwemo Serikali ,Vyama vya Siasa,viongozi wakuu wastaafu,viongozi wa dini,Asasi za Kiraia kama sehemu ya juhudi za kutatua...
Tanzania inasimama tena kwenye kilele cha mafanikio makubwa ya kiuchumi na kiufundi barani Afrika huku taifa likijiandaa kwa ajili ya uzinduzi rasmi wa mradi mkubwa wa kimkakati wa kuzalisha umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP) huko Rufiji Jumamosi hii.
Kila Mtanzania mwenye uzalendo...
Tanzania inaingia hatua mpya katika uchimbaji na uongezaji thamani wa Madini Tembo kupitia Mradi wa Fungoni–Kigamboni na Tajiri, huku ujenzi wa kiwanda cha uchakataji ukiendelea Tanga.
Mradi huo tayari umeajiri wakazi 278 wa Kigamboni, zaidi ya asilimia 90 wakiwa Watanzania, na Serikali...
Katika mazungumzo yao, Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimesisitiza umuhimu wa kuimarisha biashara na uwekezaji kwa kuondoa vikwazo visivyo vya lazima, kuboresha huduma na taratibu katika mipaka, pamoja na kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika...
TANZANIA NA DRC ZAZIDI KUIMARISHA BIASHARA KUPITIA USHOROBA WA KATI
Takwimu zinaonesha kuwa Tanzania imefanya biashara yenye thamani ya Shilingi bilioni 794 na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Aidha, Bandari ya Dar es Salaam imeendelea kuwa lango muhimu la biashara kwa DRC, huku nchi...
Ndugu zangu Watanzania,
Sitaki kuwa na Maneno mengi sana
Embu Soma hapa 👉
Waziri wa zamani wa Uchukuzi wa Zambia na aliyewahi kuwa Mbunge wa Lunte, Mutotwe Kafwaya amefariki dunia baada ya kupigwa risasi wakati wa operesheni ya pamoja ya Vyombo vya Usalama iliyofanyika katika Makazi ya...
Hamna maana yoyote ile.
Nyie waandishi wa habari, hivi kwa nini habari za yule shehe Mwaipopo hamjazikomalia?
Sijaona popote pale mkiwabana kwa maswali magumu wale wote ambao wanahusika na usalama nchini.
Watu wanafunguliwa kesi feki za ugaidi halafu yupo mtu ambaye anajulikana wazi kabisa...
Yuko wapi mh. Brian Muntayala Mundubile kiongozi wa upinzani Zambia alieisingizia Tanzania kufuata kukataliwa kwake na wananchi wapiga kura wa Zambia?
Halafu,
hivi kwanini viongozi wa wa upinzani Africa wakisense kukataliwa na wananchi kupitia sanduku la kura lazima watoe visingizio visivyo na...
Kuna jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza kuhusu safari yetu ya digital transformation Tanzania. Serikali ina mifumo mingi yenye taarifa muhimu, na tayari ina miundombinu ya data sharing na interoperability kupitia GovESB. Miongozo ya e-GA yenyewe inaeleza kuhusu application integration, data...
Mr Mapanga amesema Tanzania si nchi masikini, bali Watanzania ndio wanaoishi katika hali ya umasikini, akidai kuwa rasilimali na vitega uchumi vya nchi viko mikononi mwa Serikali huku wananchi wakikosa manufaa yanayolingana na utajiri wa nchi.
Amesema Tanzania ina vyanzo mbalimbali vya mapato...
Balozi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Geneva, Dkt. Abdallah Possi, ameeleza kuwa taswira ya Tanzania kimataifa bado ni nzuri, licha ya matukio yaliyojitokeza nchini tarehe 29 Oktoba kutajwa kuwa ni ya kusikitisha na ya bahati mbaya.
Akizungumza katika kipindi cha Jana na Leo cha...
Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili kuongeza zaidi faida yake katika soko la dunia.
Akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Mhe. Mobhare Matinyi, wakati wa ziara yake kwenye...
Algerian firm to invest in cashew nut factories in Tanzania
Algerian cashew nut processor, Sarl Anacard’Or cashew, is looking to expand its investment by establishing three factories in Tanzania in an endeavour to enhance profitability on the global market.
Speaking to the Tanzanian...
Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania
Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili kuongeza zaidi faida yake katika soko la dunia.
Akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini...
Kampuni ya Algeria kuwekeza viwanda vya korosho Tanzania
Kampuni ya ubanguaji wa korosho ya Sarl Anacard’Or ya Algeria inatarajia kutanua uwekezaji wake kwa kujenga viwanda vitatu nchini Tanzania ili kuongeza zaidi faida yake katika soko la dunia.
Akizungumza na Balozi wa Tanzania nchini...
Kwa nini mikoa ya kusini mwa Tanzania imeonekana kusahaulika kimaendeleo?
Serikali imekuwa haitoi fursa za kutosha za uwekezaji, licha ya kuwepo kwa rasilimali nyingi. Miundombinu bado ni dhaifu; kwa mfano, barabara za Kilwa–Liwale, Liwale–Nachingwea na Dar es Salaam–Lindi zina hali...
Hii ni taarifa ambayo imekuwepo kwa muda kupitia Asasi zisizo za kiserikali. Ukiwa na elimu unashindwa kuamini haraka kwamba kweli tunaongozwa na watu wadhaifu kichwani kiasi hiki? Yaani huu ndo mwisho wa kufikiri wa wana CCM na serikali wanayaosema ni yao?
Soma hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.