Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Copper inachimbwa kwa wingi sana DRC tokea mda sana ila cha ajabu kama nchi tumeshindwa kutumia hii nafasi ya kuitumia copper kwa manufaa ya nchi
Ni wakati wa nchi kuvutia waekezaji waje wajenge smelter za copper Tanzania na uzuri wa smelter za copper unaweza tumia blast furnance kwenye...
Nimesikitishwa niliposikia kumbe Tanzania ni ya mwisho kiteknolojia nyuma ya
Kenya
Uganda
Rwanda
Nataka kujua hii taarifa inaukweli wowote, na kama ni kweli imekuaje tukabaki nyuma wakati Tunaambia Tech ndio Kila KITU?
Je ni matokeo ya ujamaa?
Je ni hofu za wanasiasa?
Je sisi ni vilaza na...
Utangulizi
Uongozi unachukua nafasi muhimu katika maendeleo ya taifa. Nchini Tanzania, changamoto kama ufisadi, utawala dhaifu, na maamuzi mabaya vimezuia ukuaji wa uchumi na maendeleo ya kijamii. Ili kukabiliana na matatizo haya, mfumo wa kuchagua viongozi unahitajika. Kielelezo cha Sifa Jumla...
TLS tuliitisha Mdahalo wa Kitaifa kuzungumzia Utekaji Baadhi ya sababu kuu zinazochangia utekaji kulingana na mjadala ule ni pamoja na
Udhaifu wa mifumo ya utendaji wa Jeshi la Polisi ( Colonial Mentality ) na kutotenganishwa kwa shughuli za Upelelezi na Uchunguzi kutoka Jeshi la Polisi na...
A man to watch, Godbless Lema!!
Kwa muda mrefu sana siasa za mikakati nchini Tanzania zimekuwa zikiratibiwa na kuongozwa na Abdulrhman Kinana.
Askari huyu kwa miaka mingi sana ndiye amekuwa nguzo kuu ya siasa za mikakati zilizofanikiwa kukiweka Chama cha Mapinduzi katika anga ya siasa nchini...
Mpaka sasa 90% ya Online Tv za Watu Maarufu Tanzania zinaelekea Kufa huku wakiwa na Madeni na Wafanyakazi wao Kulia kwa kutokulipwa Mishahara. Na kuna Mmoja nae kaanzisha yake, ila Kutwa ni Kujiposti Yeye tu na Mkewe kwa Events zao, ila nina uhakika Mdhamini wake (Tajiri Mkubwa) akimchoka tu...
Usiku wa leo saa 6:30 timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars itashuka dimbani kuwakabili wenyeji wao Morocco.
Ni mchezo wa aina yake kwani Morocco anaongoza kundi E akiwa na alama 12 huku Taifa Stars ikiwa nafasi ya 3 ikiwa na alama 6.
Je Taifa Stars itaondoka na alama 3 au ni Morocco?
Mchezo...
Ni juzi tu Jeshi la polisi walitangaza nafasi za kazi kwa wananchi wenye sifa lakini Cha kushangaza ni kuwa mfumo wa kuwasilisha maombi una changamoto kila ukijaribu kujaza taarifa zako unakuandikia hv na muda unazidi kwenda sasa sijuhi wenye mamlaka wanawaza Nini kuhusu kadhia hii ya mfumo wao?
Kuna hii trend inaota mizizi. Uhuni wa idara za ardhi kutangaza maeneo ya mashamba ya watu kama planned areas in the preparation for future dhuluma, na hivyo in the long run kuyakaya viwanja.
Sisi ni nchi ambayo watu wengi by 80% and above wanategemea kilimo. Hakua ajira za viwandani and the...
Wafanyabiashara wengi Tanzania kukuta wamebandika bei ili kuondoa usumbufu hawapendi.
Na kitendo cha kuuliza tu bei hapo unatengenezewa bei nyingine kwa vile na wewe mnunuzi unapenda punguzo.
Akigusia siasa nchini Tanzania, Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka anasema mfumo wetu kwa sasa unatambua wagombea kutokana na vyama vyao ni wakati sasa mfumo uruhusu wagombea binafsi
Kuhusu sakata la machafuko nchini Congo Profesa, Anna Kajumulo Tibaijuka anasema Tatizo ni serikali ya nchini...
Tunajenga Tanzania bora kwa pamoja! Jiandikishe kwenye Daftari la Kudumu la Kupiga kura ili kushiriki kikamilifu katika Demokrasia.
Dkt. Kuduishe Kisowile
Influencer wa Mtandaoni (Kudu_ze_Kudu)
wadau wanapendekeza na kusisitiza vijana kujengewa uwezo zaidi ili washiriki kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi wa kisiasa kwa kujitokeza zaidi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi na pia, kushiriki katika mikutano ya kampeni na hata siku ya uchaguzi wajitokeze kupiga kura.
Tafiti...
Maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuona Tanzania inazalisha zaidi mazao ya Chakula na kuweza kuuzia majirani na ikiwezekana Afrika na mataifa mengine.
Kwa sasa Tanzania inajitosheleza kwa chakula kwa aslimia 128.
chakula
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
jamhuri
jamhuri ya muungano
kuona
maono
mazao
muungano
rais
rais wa jamhuri
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
Ukiwa shabiki wa soka bila kujali timu unaweza kuliona tatizo kubwa pale TFF ambalo linaweza kuwaingiza kwenye mtego viongozi wakubwa serikalini.
Karia ndiyo chanzo cha tatizo.
Karia ndiyo chanzo cha tatizo sababu amelewa sifa na kiburi.
Hataki kusikiliza au kukosolewa akikosea pale anapokosea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.