Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Kupunguzwa kwa misaada rasmi ya maendeleo, hususan kutoka kwa nchi kama Marekani, kumeathiri pakubwa shughuli za Shirika la Afya Duniani (WHO) na miradi yake, ikiwemo ile inayohusiana na afya ya uzazi.
Hali hii inasababisha changamoto kubwa katika utekelezaji wa mipango ya afya, hasa katika...
Imefika wakati kila mtu anajua tatizo lakini ni hao hao wana lalamikia utaratibu wetu cha ajabu ndiyo hao hao wanatakiwa kubadilisha utaratibu! Huwezi kulalamikia mifumo kila siku
.. Ukweli Ni Kwamba Deni La Taifa,ni deni la kinachoitw Tanzania,kwa Muktadha wa deni la Taifa la Tanzania,
Ikumbukwe Zanzibar wana Deni lao kama Zanzibar mwaka jana lilikuwa Trillion moja tu
Hivi karibun CAG wa Zanzibar watasoma report ya Zanzibar na Wazanzibar kuhusu deni lao la Taifa La nchi...
Heri ya sikukuu wakuu,naona kimya kila mtu kimyaaa.ila hata kama maisha magumu jamani pilau sio kitu cha kumnyima mtu
Tuende kwenye mada
Jamani hii nchi Uhuru umezidi.yaani watu wanavuta sigara barabarani ,kwenye misongamano tena mbele ya polisi.
Watanzania sisi sijui ni upole au nini yaani...
==
Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC), David Kafulila amesema serikali inavuta mitaji kutoka sekta binafsi kwasababu kodi na mikopo hayatoshi kufikia matarajio ya wananchi.
Katika mazungumzo maalum na The Chanzo Machi 29,2025, Kafulila amesema deni la...
Afrika yetu sijui ni Tanzania yetu..
Watu wanaweza. Wakupe mchango wa
Harusi
Birthday party
Rambi Rambi
Lakini hawezi akakupatia Mtaji. Na hata ukianzisha biashara Anaweza Asije kukusapoti. Ndio kwanza anaweza aanze kukusema vibaya na asubirie anguko lako.... Sijui sisi Tukoje🤣
Habari zenu,
Kuna suala linanitatiza kuhusu hazina zilizofichwa na mjerumani kwenye mikoa tofauti tofauti Tanzania hususan dhahabu.
Kuna wanaoamini hizo hazina zilifichwa kwa nguvu za giza, lakini inarepotiwa kuwa wageni wazungu kwa nyakati tofauti wamekuwa wakija na kuchukua hizo hazina na...
Eee! Mola wetu mlezi! Muumba wa mbingu na aridhi, umetuonyesha kwa macho yetu tumeona na sasa twakuomba, Uirehemu nchi yetu, sisi na viongozi wetu na kwamba Ee Mungu wetu, isijirudie tena ya kutwaa wa kwanza ambaye tokea akiutafuta uongozi, hubeba machungu, shida, dhiki za Watanzania na kwamba...
Serikali imezindua Mpango wa Kitaifa wa Nishati wa Tanzania (National Energy Compact 2025-2030) ambao unalenga kuongeza kiwango cha upatikanaji wa umeme kutoka cha sasa cha asilimia 78.4 hadi kufikia asilimia 100 ifikapo mwaka 2030.
MUIMBAJI Qaswida Afrika Mashariki na Kati, Abdulhamid Fannan amealikwa kushiriki tamasha kubwa la nyimbo linalotarajia kufanyika Idd Mosi kwenye ukumbi wa Markaz uliopo Bujumbura, Burundi.
Akizungumza na mwandishi wa Habari hizi, Fannan alisema amealikwa kushiriki tamasha hilo ambalo ni la aina...
Jamani povu sitaki ila naomba msaada wenu wachumi hivi ni kweli awamo ya sita serikali imelamba mkopo wa 30 Trilioni while other awamu walikopa 60 Trilioni wastan wa 12 Trilioni kwa kila awamu yaani kila awamu ilikopa 12 Trilioni
Sasa inakuwaje awamu ya sita wapige 30 Trilion na hakuna wakuhoji...
Historia ya Peugeot nchini Tanzania, na kwa hakika Afrika, imefungamana sana na model maarufu ya 504, ambayo ilipata umaarufu mkubwa na kupata jina la utani la "Malkia wa Afrika" kutokana na kutegemewa sana nakuhimili changamoto za barabara za Kiafrika na kutumika kwenye hafla za mikutano mbali...
Imekuwa kawaida kuona wageni wakiisifia Tanzania kuwa moja ya nchi nzuri kutembelea au kuishi ndani ya bara la Africa.
Kiuhalisia kwa wazawa Tanzania siyo kisiwa cha maziwa na asali kama inavyojulikana nje ya mipaka.
Tunashuhudia kila mwaka maelfu ya watalii wakiwemo A-list celebrities kutoka...
Tanzania kunufaika na mpango wa maendeleo wa Mattei kwa ushirikiano na UNDP
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo ameshiriki katika mjadala wa ngazi ya juu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) jijini Roma, Italia ukilenga...
Ukifatilia watu wanaofanya vizuri online hapa Tanzania, utakubaliana na ukweli kwamba wanajua sana kuhusu sales and marketing.
Biashara zote za online zinahitaji uwe na uwezo mzuri wa kutafuta wateja. Hii ndiyo siri ya mafanikio yao.
Fanya hivi ili kupata sales
1. Kutengeneza Authority kwenye...
Pembezoni mwa Mkutano wa Mpango wa Mattei kwa Afrika na ‘EU Global Gateway’ jijini Roma, Italia, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi, Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na Waziri wa Ulinzi wa Tanzania, Mhe. Stergomena Tax aliyekuwa kwenye ziara ya kikazi...
Kwa miaka miwili ya IBRAHIM TRAORE aliyoifanyia Bukinabe, vitu ambavyo dunia nzima inaviona, kwa wananchi wake ndio usiseme.
Kwa hiki chama chetu nadhani wangevua na mashati kwa sababu wako talented kwenye nyimbo za mapambio
Anakuja kiongozi mkubwa kabisa hii miaka minne haijawahi kutokea, kule...
Hakuna wakati nime-appreciate uwezo wa kuona mbali wa Julius Nyerere kama wakati huu. Huko nyuma nchi kama USA na Russia waliomba waweke vituo vya kijeshi Tanzania na Nyerere alikataa katakata, sababu mojawapo akitambua kuwa katika sias nchi rafiki leo inaweza kuwa nchi adui kesho. Sasa fikiria...
Kwa siku tatu au nne kwa wiki wanapiga Risasi juu katikati ya mji! bila kujali uwepo Watu wagonjwa katika maeneo yanayo wazunguka. Hata kama ni mazoezi ni vema wakafanyie huko nje na sio kuzua hofu hapa mjini.
Wamasai - Tanzania na Kenya.
Wakurya - Tanzania na Kenya.
Wajaluo - Tanzania na Kenya.
Wanyamwanga - Tanzania na Zambia.
Waha - Tanzania na Burundi.
Wachagga - Tanzania Peke yake.
Kwanini Wachagga ni kabila la mpakani lakini halipo Tanzania na Kenya bali lipo Tanzania pekee??
Au mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.