tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Michezo Tanzania

    Ooooooh Tanzania u hali gani tena rafiki ! Naomba kutoa wazo juu ya uanzishaji wa Chuo cha Michezo Tanzania. Hiki chuo kiwe maalumu kwa utoaji wa kozi ya Astashahada, Stashahada na Shahada kwa kuanzia. Kiwe hata kikanda mfano; Kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati, Kanda ya Pwani, Kanda ya Kusini, Kanda...
  2. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania itengeneze world-class golf course pembezoni mwa beach za wilaya ya pangani na kuomba kujiunga na PGA tour

    Katika beach nzuri za Tanzania ukitoa za zanzibar basi nyingine zipo wilaya ya pangani zile beach white sand beach ni nzuri sana Mandhari Pembeni mwa beach ni nzuri sana nini kifanyike Wilaya yote ya pangani ipimwe kisasa Kutengwe makazi ya wananchi wa kawaida Kutengwe makazi kwa ajili ya wale...
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Sweden kuimarisha ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo

    Tanzania na Sweden kuimarisha ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo. Tareh 19 Machi 2025 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, amekutana kwa Mazungumzo na Waziri wa Uhamiaji wa Sweden Mhe. Johan Forssell. Katika mazungumzo hayo viongozi hao...
  4. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya muziki wa singeli nchini Tanzania: Dogo Sajent na mwenzake wamemfunika Mario kwenye Singeli version ya kisa salio

    Muda si mrefu wasanii wa Bongofleva watasitisha utaratibu wa kuwaruhusu wasanii wa singeli kufanya singeli versions za nyimbo zao kwa sababu kila wakifanya, singeli version zinakuwa hit kuliko nyimbo original. Mfano mzuri ni Wimbo " Kisa Salio" Wa Marioo. Dogo Sajenti na mwenzake Pateni...
  5. Tembosa

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani wawataka raia wake kuepuka kusafiri kwenda visiwani na maeneo ya Pwani kusini mwa Kisiju, Tanzania

    Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam unawataka raia wa Marekani kuepuka kusafiri kwenda visiwani na maeneo ya pwani kusini mwa Kisiju, Tanzania. Wafanyakazi wa serikali ya Marekani wamezuiwa kusafiri katika maeneo haya bila kibali cha awali ======================== Location: Islands and...
  6. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Unahisi kwanini kusini mwa Tanzania kumesahaulika?

    Licha ya historia yake kongwe na mchango wake katika uchumi wa nchi ila bado miundominu yake Ina hali dunia?Unaweza kunieleza sababu ni Nini? Kwa mfano hata mradi tu wa LNG Lindi hata tu maofisi Yao kujengwa bado je mradi upo?airport ya Lindi na Mtwara haijatanuliwa labda tu bandari ya uvuvi ya...
  7. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali mara baada ya hafla ya uapisho wa Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimpongeza Rais Mteule wa Jamhuri ya Namibia Mhe. Netumbo Nandi-Ndaitwah mara baada ya kuhutubia hafla ya uapisho iliyofanyika katika Ikulu ya nchi hiyo Windhoek tarehe 21 Machi, 2025. Mhe. Rais Nandi-Ndaitwah ni Rais wa...
  9. Luis 505

    JamiiForums Tanzania Kwanini viongozi wa Marekani hawajali maadili (Porno Industry) ila Mungu anawapa hela nyingi tofauti na Tanzania inayozingatia sana maadili??

    Marekani ndio kiwanda kikuu cha picha za X ila Mungu anaendelea kuwajaza mihela kila siku. Tanzania wamefungia websites zote za picha hizo za X lakini bado wanaenda kuwaomba msaada wa hela Marekani waliokosa maadili na kuamua kuwaacha raia wake wacheze picha za utupu. Huyo dada hapo chini ni...
  10. Kiranga

    JamiiForums Tanzania "Theft" - A new book by Abdulrazak Gurnah is out

    The Zanzibari-British Nobel laureate (Literature, 2021) Abdulrazak Gurnah, released his first book after receiving the Nobel Prize. Titled simply "Theft", the book is out since March 18 2025. I have already received one copy and ordered one for a friend so we could read together...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Sababu za Tanzania Kuendelea Kuagiza Bidhaa Nje Licha ya Kuwa na Utajiri wa Maliasili na Rasilimali Nyingi

    Tanzania inaendelea kuagiza bidhaa nyingi kutoka nje licha ya kuwa na rasilimali nyingi kutokana na sababu kadhaa. 1. Ukosefu wa Uwezo wa Kiviwanda Tanzania ina malighafi nyingi, lakini haina viwanda vya kutosha vya kuzalisha bidhaa za mwisho. Licha ya kuwa na madini mengi ya chuma kutoka...
  12. Consultant_Silwano

    JamiiForums Tanzania HUDUMA ZA BILA MIPAKA-TUNAKUFIKIA POPOTE ULIPO TANZANIA

    Tuanze kwa kuwashukuru makampuni(Companies), Ubia (Partnerships), Biashara binafsi(Sole proprietors) na Taasisi zisizo za kiabishara (Not for profit entities) kwa kutupa fursa na ushirikiano wa kufanya kazi, tunawahakishia siku zote tutafanya kazi kwa uaminifu na kitaalamu ili kuhakisha ustawi...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Tanzania na DRC miongoni mwa nchi ambazo raia hawana furaha duniani kwa mujibu wa UN 2025

    Finland imeorodheshwa kuwa nchi yenye furaha zaidi duniani kwa mwaka wa nane mfululizo. Wataalamu wanaamini kuwa ukaribu wa Wafinlandi na asili pamoja na upatikanaji wa mfumo mzuri wa ustawi husaidia kuelezea nafasi yake ya juu inayoendelea katika Ripoti ya Furaha ya Dunia inayosimamiwa na...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Bahati Nasibu ya Taifa yashirikiana na Shirika la Posta Tanzania

    Bahati Nasibu ya Taifa inayo furaha kutangaza ushirikiano wa kimkakati na Shirika la Posta Tanzania, wenye lengo la kuongeza upatikanaji wa michezo ya kubahatisha kote nchini. Kupitia ushirikiano huu, majukwaa ya Bahati Nasibu ya Taifa yatapatikana katika ofisi 207 za Posta, hatua...
  15. stakehigh

    JamiiForums Tanzania My thoughts on the next great app idea in tanzania

    The Next Big Thing in Tanzanian Agriculture? An App Connecting Farms to Forks Tanzania's agricultural sector is the backbone of its economy, employing a vast majority of the population and feeding millions. Yet, the journey from farm to consumer is often long and fraught with inefficiencies...
  16. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Natamani kuona mechi ya Simba na Yanga ikichezwa nje ya Tanzania.

    Imani za kishirikina ni moja ya changamoto zilizopelekea miaka hii ya soka kutokipiga kwa Mkapa mnamo mwanzoni wa mwezi March,japo kuwa hakukuwa na sababu za msingi kuhairishwa kwa mechi ya dabi. Hatuwezi kukataa maamuzi sababu yalikwishatoka ila limebakia swali tu,ni lini mechi ya dabi...
  17. S U N N Y

    JamiiForums Tanzania TANZANIA: Viongozi hawajihughurishi na matatizo ambayo hayawanufaishi moja kwa moja.

    Sijui kwa jimboni kwako, sijui kwa upande wa kada yako Kama kijana, mtu mzima au mzee. Ila iwe iwe wapinzani, iwe wale wa chama tawala Lakini in general wanasiasa wa Tanzania hawapendi kabisa na hawawezi kujishughurisha na vitu ambavyo havina faida ya moja kwa moja kwa wao wenyewe. Hoja hii...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania yatajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi Duniani dhidi ya Dola ya Marekani kwa mwaka 2025

    Shilingi ya Tanzania ama TZS kwa kifupicho chake rasmi imetajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi kwa mwaka huu wa 2025 hadi sasa kuliko fedha yoyote Duniani. Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani kwa zaidi ya 8.9% dhidi ya Dola ya kimarekani toka mwaka huu uanze. Hii ni rekodi ya Dunia kwani...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Misri kukuza ushirikiano katika Biashara na Uwekezaji

    Tanzania na Misri kukuza ushirikiano katika Biashara na Uwekezaji Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mheshimiwa Mahmoud Thabit Kombo na Waziri wa Mambo ya Nje, Uhamiaji na Wamisri Waishio Nje wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri, Mheshimiwa Dr. Badr Abdelatty, wameshiriki...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TRC waomba radhi kutokana na tatizo la upatikanaji wa tiketi kwa njia ya mtandao usiku wa kuamkia Machi 19, 2025

    Shirika la Reli Tanzania (TRC) linaomba radhi kutokana na tatizo la upatikanaji wa tiketi kwa njia ya mtandao (online) kuanzia usiku wa manane kuamkia leo Machi 19, 2025. Hata hivyo licha ya changamoto hiyo ya upatikanaji wa tiketi za SGR kwa njia ya mtandao, tiketi ziliendelea kutolewa kwenye...
Back
Top Bottom