tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa vijana Kushiriki Katika Siasa Nchini Tanzania

    wadau wanapendekeza na kusisitiza vijana kujengewa uwezo zaidi ili washiriki kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi wa kisiasa kwa kujitokeza zaidi kugombea nafasi mbalimbali za uongozi na pia, kushiriki katika mikutano ya kampeni na hata siku ya uchaguzi wajitokeze kupiga kura. Tafiti...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Boyz II Men hili kundi limekufa Tanzania au limeongezwa wanachama?

    Hili kundi baada ya kutengana na kufariki yule mzee wa kimasai na mmoja kujitoa Je, hili kundi bado lipo au limekufa nalo?
  3. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuona Tanzania inazalisha zaidi mazao ya Chakula na kuweza kuuzia majiran

    Maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kuona Tanzania inazalisha zaidi mazao ya Chakula na kuweza kuuzia majirani na ikiwezekana Afrika na mataifa mengine. Kwa sasa Tanzania inajitosheleza kwa chakula kwa aslimia 128.
  4. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Kiburi Cha Karia pale TFF hana tofauti na Malinzi kinarudisha soka la Tanzania nyuma.

    Ukiwa shabiki wa soka bila kujali timu unaweza kuliona tatizo kubwa pale TFF ambalo linaweza kuwaingiza kwenye mtego viongozi wakubwa serikalini. Karia ndiyo chanzo cha tatizo. Karia ndiyo chanzo cha tatizo sababu amelewa sifa na kiburi. Hataki kusikiliza au kukosolewa akikosea pale anapokosea...
  5. D___________Loy

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Walimu shule nzima waomba uhamisho, kisa utata walimu wazawa

    SHULE ya Msingi Nkweshoo iliyoko Kijiji cha Nkuu Ndoo, Kata ya Machame Mashariki, Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, ambayo ina walimu watatu pekee wanaofundisha wanafunzi 175, walimu wote wameandika barua ya kuomba uhamisho. Walimu hao wanadaiwa kutoridhishwa na...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Maryprisca Mahundi atoa siku 14 kwa TTCL kuongeza nguvu ya mtandao wa mawasiliano ya simu na internet Forodha ya Kasumulu

    Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Maryprisca Mahundi, ametoa siku 14 kwa Shirika la Mawasiliano Tanzania, (TTCL) kuhakikisha linaongeza nguvu ya mtandao wa mawasiliano ya simu na internet, katika kituo cha pamoja cha Forodha cha Kasumulu, kilichopo kwenye mpaka wa Tanzania na...
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Wakenya wapo tofauti sana mbali na ukabira lakini wapo far more ukilinganisha na Tanzania

    Katika wakati wa majaribu na changamoto, mshikamano wa Wakenya umejidhihirisha kwa nguvu na uzuri wa kipekee. Kesi ya Margaret Nduta Macharia, Mkenya aliyekamatwa nchini Vietnam kwa tuhuma za ulanguzi wa dawa za kulevya. Nduta, mwenye umri wa miaka 37, alikamatwa Julai 2023 katika Uwanja wa...
  8. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania CPA Makala kutangazwa kuwa mtu wa Hovyo Tanzania

    Nimeskia Mkutano wa Chadema Huko Mbeya wanasema Ndani ya siku 7 Makala asipoomba radhi kwa chadema kwa kauli yake ya kuwa Chadema wanachangishana ili walete virusi vya Marbug na vingine watamtangaza kuwa mtu wa Hovyo Tanzania. Hii ikoje 😂😂🤣🤣🤣
  9. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Tanzania itafute waekezaji wajenge kiwanda cha kuchakata (smelter) chuma sababu madini ya iron ore na makaa ya mawe yapo nchini

    Wilaya ya Ludewa kwenye milima ya mchuchuma na liganga una madini ya chuma (Iron ore) ni vizuri ikatafuta waekezaji ili watengeneze smelter za kuchakata iron ore mpaka kuwa malighafi chuma ambayo itatumiwa na viwanda vya upili kwa ajili ya kutengeneza chuma kwa matumizi mbalimbali ya mtumiaji wa...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kenya yaongoza Afrika Mashariki kwa kuwa na furaha. Congo DR na Tanzania hazina furaha kabisa.

    https://worldpopulationreview.com/country-rankings/happiest-countries-in-the-world
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tanzania haina Arena, tuache ushamba!

    Arena ni kiwanja kikubwa kilicho katika mithili ya ukumbi ambacho shughuli za michezo, muziki, mikutano na sanaa mbalimbali zinaweza kufanyika ndani yake. Kwa Africa Mashariki Arena ziko mbili tu ambazo ni BK Arena, Kigali na Moi/Kasarani Arena, Kenya. Supe Dome Masaki ni hall tu ya kufanyia...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Tanzania Taifa linalothamini Machawa na Wasanii huku likipuuza Mchango wa wasomi hatuwezi kusonga mbele

    Great Thinkers Hakuna jambo linakera kama 1. Kutosikiliza na kuenzi wataalamu wetu. 2 Kutowatumia wataalamu wetu kuelimisha jamii. 3. Kuwathamini wasomi na kuwafanya watembee kifua mbele. 4. Kuliacha Taifa liongozwe na mbumbmbu ni kero kubwa sana. Amini nawaambia taifa lolote ambalo.halina...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimezunguka Tanzania Nzima Mijini na Vijijini, Nyimbo za Harmonize na Zuchu ndo zinapigwa sana

    Lazma tuwe wa kweli, japo si utafiti rasmi, lakini japo kwa uzoefu wa kutembea maeneo mengi sana nchi hii ndo nimeweza kugundua hiko kitu. Katika zunguka yangu, huku mtaani vijijini na mijini ki ukweli kabisa , kwa masikini hawa ambao ni wachache wenye smart phone, nyimbo za wasanii wawili ndio...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania inapoteza muda tungekuwa mbali kama taifa

    Hili sio kwa Raisi Samia pekee ni utamaduni hata wakati wa Kikwete 1. Wakati wenzetu wa South Afica na Kenya wana enda na katiba zao za Dunia ya sasa Tanzania tunapoteza muda . Kikwete aliweka jitihada fake za kisiasa badala ya kujali nchi mwaka 2014 na 2015 kama nchi tumepoteza muda wote huu...
  15. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ubaguzi katika baadhi ya vyuo vikuu Tanzania

    Kabla sijaleta mada yangu kuhusu ubaguzi niliouona katika baadhi ya vyuo vikuu vya Tanzani ninaomba niwaulize swali moja la msingi. Je! kuna tofauti kati ya bacholor Degree ya inayoitwa university na inayoitwa Institution? Je! TCU inazitambua hizi bachor Degree kwa weight tofauti? Mada Kuna...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 POTOSHI Uzinduzi wa Operation ya No Reforms, No Election Kanda ya Nyasa umebadilishwa kutoka 23 Machi 2025 hadi 1 Aprili 2025

    TAARIFA KWA WANACHAMA, WANANCHI NA WAPENZI WA CHADEMA TANZANIA Ndugu wanachama, Wananchi na wapenzi wa CHADEMA, Tunapenda kuwajulisha kuwa tarehe ya uzinduzi wa Operation #NoReforms, NoElection – Kanda ya Nyasa (Mbeya) imebadilishwa kutoka 23 Machi 2025 hadi 1 Aprili 2025. Marekebisho haya...
  17. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Michezo Tanzania

    Ooooooh Tanzania u hali gani tena rafiki ! Naomba kutoa wazo juu ya uanzishaji wa Chuo cha Michezo Tanzania. Hiki chuo kiwe maalumu kwa utoaji wa kozi ya Astashahada, Stashahada na Shahada kwa kuanzia. Kiwe hata kikanda mfano; Kanda ya Ziwa, Kanda ya Kati, Kanda ya Pwani, Kanda ya Kusini, Kanda...
  18. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania itengeneze world-class golf course pembezoni mwa beach za wilaya ya pangani na kuomba kujiunga na PGA tour

    Katika beach nzuri za Tanzania ukitoa za zanzibar basi nyingine zipo wilaya ya pangani zile beach white sand beach ni nzuri sana Mandhari Pembeni mwa beach ni nzuri sana nini kifanyike Wilaya yote ya pangani ipimwe kisasa Kutengwe makazi ya wananchi wa kawaida Kutengwe makazi kwa ajili ya wale...
  19. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Sweden kuimarisha ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo

    Tanzania na Sweden kuimarisha ushirikiano wa Kiuchumi na Maendeleo. Tareh 19 Machi 2025 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo, amekutana kwa Mazungumzo na Waziri wa Uhamiaji wa Sweden Mhe. Johan Forssell. Katika mazungumzo hayo viongozi hao...
  20. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya muziki wa singeli nchini Tanzania: Dogo Sajent na mwenzake wamemfunika Mario kwenye Singeli version ya kisa salio

    Muda si mrefu wasanii wa Bongofleva watasitisha utaratibu wa kuwaruhusu wasanii wa singeli kufanya singeli versions za nyimbo zao kwa sababu kila wakifanya, singeli version zinakuwa hit kuliko nyimbo original. Mfano mzuri ni Wimbo " Kisa Salio" Wa Marioo. Dogo Sajenti na mwenzake Pateni...
Back
Top Bottom