tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Jinsi wenzetu wanavyorenew leseni za udereva. TRA, Trafiki chukueni notice hapo tusichoshane

    Tanzania ukitaka kupata leseni utataga. Uende VETA, ukimaliza VETA unaenda police, police wanakutuma TRA, ukitoka TRA unatumwa tena police, ukifika huko mara unaambiwa mfumo hauko sawa, sijui nenda urudie ya ilimradi uchoke tu basi, au utoe pesa kidogo. Mifumo Bongo Haisomani.
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Kahawa ya Tanzania kukuza ushirikiano wa kiuchumi baina ya Tanzania na Italia

    Kahawa ya Tanzania kukuza ushirikiano wa kiuchumi baina ya Tanzania na Italia Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) ameshiriki katika Mdahalo wa Wadau wa kukuza mnyororo wa thamani wa kahawa inayozalishwa barani Afrika uliofanyika pembezoni...
  3. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania KITAAOLOJIA: Namna ya kusurvive hapo hapo ulipo, VETA sio suluhisho, pesa ipo hapo hapo ulipo

    Hellow wakuu Huu ni uzi wa namna ya kujikimu kimaisha kwa mwana JF, Mtanzania sehemu yeyote alipo Ipo hivi.. Hapo hapo ulipo kuna watu wana njaa ila hawataki kupika, kuna watu wanahamu na makande wanayapenda ila hawana mahindi na mkaa Kuna wachaga wengi ila hawana pa kujumuikia kupata mbege...
  4. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Mshindi Redio Tanzania Dar es Salaam

    Wimbo Mshindi sabuni mpya yenye nguvu, yenye kutakasa kuliko zote, Mshindiii yeee eeeeeh, mshindiii yeee eeeeeh, mshindi. Maneno ya yule jamaa mwisho wa tangazo "Mshindi ni sabuni mpya na yenye nguvu, nguvu tele ni sabuni mwanaaana kwa mikono yako, hakuna sabuni inayoshinda mshindi." Mshindiiii
  5. Babu Kijiwe

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Sabuni ya Komoa: Redio Tanzania Dar es Salaam

    Nipeni nguo nifue (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Nipeni maji nioge (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Inanukia vizuri (komoaa), inapovu jingi sana (komoaa) Haichubui mikono, (komoaa) kiboko ya nyingine (komoaa) Aeee eee (komoaa), aaa eee eee, (komoaa) aaa eee eee (komoaa) (Tilititititi...
  6. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri Tanzania ikajenga smelter ya silicon wafer na PCB fabrication

    Kama nchi inataka kuondokana na umaskini ni vizuri yakafanyika maamuzi ya kibingwa ni pamoja na kujenga smelter ya silicon wafer na PCB fabrication kwa sababu zifuatazo Vifaa vyote vya electronics vina PCB kama ubongo Na pia silicon wafer zinatumika kwenye vifaa vya electronics kuprocess data...
  7. baggio23

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ubunifu Bora ni Muhimu kwa Biashara Yako ! Wasiliana nasi leo GraphixPro Wakali wa Graphic designing Tanzania

    📢 Kwa Nini Ubunifu Bora Ni Muhimu kwa Biashara Yako? Ubunifu mzuri si anasa—ni silaha ya mafanikio kwa biashara yako! 🎯 ✅ Unakutofautisha na washindani ✅ Inavutia wateja zaidi ✅ Inajenga uaminifu ✅ Inasaidia kuuza zaidi 🚀 GraphixPro tunakusaidia kuboresha chapa yako kwa ubunifu wa hali ya juu...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ku renew passport nje ya Tanzania

    Nipo nje ya nchi na pasipoti yangu imeisha muda. Nimesha jaza maombi ya pasipoti mpya na pia nimefanya malipo kwenye tovuti ya Uhamiaji. Pia nimetuma barua pepe na copi Ubalozi. Lakini bado hawajajibu. Naomba kama kuna mtu anajua taratibu zao nje nilichokifanya. Na inachukua muda gani?
  9. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Sifa 10 za watu sahihi wa kushirikiana nao katika biashara ya ardhi na majengo hapa Tanzania

    Sifa 10 Za Watu Sahihi Wa Kushirikiana Nao Katika Biashara Ya Ardhi Na Majengo Hapa Tanzania Makundi Ubia katika biashara ya ardhi na majengo ni njia muhimu ya kushirikiana ili kufanikisha miradi mikubwa ambayo inaweza kuwa ngumu kuitekeleza peke yako. Kwa kushirikiana, wawekezaji huunganisha...
  10. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Hii tunaimudu kabisa- Shilling billion 400 zinaweza kujenga smelter za gold 4 kwenye kanda zinazozalisha madini ya dhahabu kwa wingi

    Kutajengwa smelter nyingi sana na zenye uwezo mkubwa sana
  11. B

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Hivi mfano hapa Tanzania tuseme kila mtu alie juu ya miaka 18, aende jela kwa makosa aliowahi fanya, jela zitatosha?

    Habarini, Nimewaza kwa mfano itokee system ya kugundua na kuthibitisha makosa yaliyofanywa na watu wote nchini walio above 18, ambayo adhabu zake zimeainishwa kwenye penal code k.v 1)Kufanya mapenzi na wanafunzi 2)Ulawiti/kulawitiwa/sexual indecency 3)Forgery 3)Kuzini na maharimu 4)Wizi...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Wavumbuzi bora wa Afrika wanaowania Tuzo za Uhandisi 2025. Tanzania tunakwama wapi?

    Wavumbuzi 16 kutoka nchi saba za Afrika wanawania Tuzo ya Ubunifu katika masuala ya Uhandisi Afrika kwa mwaka 2025 ambapo nchi 30 zilituma maombi. Tuzo hii ilianzishwa mwaka 2014, na ni tuzo kubwa zaidi ya ubunifu wa uhandisi barani Afrika, ikitoa ufadhili, uongozi, na mafunzo ili kuwasaidia...
  13. Bob Manson

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata connection nje ya Tanzania? Msaada kwa anayefahamu

    Wadau, sina mengi zaidi ya kusema kwamba naona kabisa Maisha yangu hapa Tanzania yanaelekea pabaya, nadhani suluhisho pekee ni kwenda mbali kama sio nje ya Tanzania basi mbali kabisa na mji wa dar es salaam. Kama kuna wadau wowote wanafahamu au wana uwezo wa kunisaidia kutimiza hilo naomba...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ufadhili wa masomo kwa Raia wa Tanzania kwa Shahada ya Uhandisi katika Vyuo Vikuu vya India kwa Mwaka wa Masomo 2025-2026"

    Kwa Mwaka wa Masomo 2025-2026, Ubalozi wa India nchini Tanzania kupitia Baraza la Mahusiano ya Kitamaduni la India (ICCR) unatangaza ufadhili wa masomo kwa raia wa Tanzania wanaotaka kusoma shahada ya uhandisi kwa miaka minne katika vyuo vikuu vya India kupitia Mpango wa Quad STEM Scholarship...
  15. K

    JamiiForums Tanzania SHILLINGI YA TANZANIA INAVYOZIDI KUSHUKA KWA KASI YA AJABU

    Leo tumehabarishwa na Benki Kuu ya Tanzania(BOT) jinsi shillingi ya Tanzania bado ni HIMILIVU. Binafsi mimi sikuelewa maelezo yao lakini cha ajabu leo Dollar moja ya Kimarekeani ni Tshs.2,642.934 na wiki ijayo si ajabu utakuta Dollar moja ya Kimarekani itakuwa Tshs.3,000. Bado thamani ya...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbona hawa 'Mabodigadi' wengi wa Wasanii wa Muziki Tanzania ukiwatizama kwa Jicho Kali la 'Ndege Tai' wanaonekana ni 'Pancha' siku nyingi?

    Kwa mfano nikimuangalia huyu wa Ali Kiba hasa alipokuwa Samia Cup Mikocheni anaonekana kabisa ni Pancha zamani.
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania, Uganda na Kenya zinapoteza hadi dola bilioni 5 kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja

    Ripoti mpya iliyochapishwa leo Machi 26, 2025 inaonesha mataifa ya Tanzania, Kenya na Uganda yanapoteza hadi dola bilioni 5 sawa na Shilingi Trilioni 13 za kitanzania kila mwaka kwa kuwa na sheria kali za kupinga mapenzi ya jinsia moja. Ripoti hiyo ya shirika la hisani la Open for Business la...
  18. Magical power

    JamiiForums Tanzania Sihami TANZANIA kabisaa 😂😂😂😂😂

    Sihami TANZANIA kabisaa 😂😂😂😂😂
  19. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania BoT: Ufafanuzi kuhusu mwenendo wa Shilingi ya Tanzania dhidi ya Dola ya Marekani

    TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI KUHUSU MWENENDO WA SHILINGI YA TANZAΝΙΑ DHIDI YA DOLA YA MAREKANI Benki Kuu ya Tanzania inapenda kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa potofu iliyosambaa katika vyombo mbalimbali vya habari. Taarifa hiyo, iliyochapishwa tarehe 19 Machi 2025, ilidai kuwa Shilingi ya Tanzania...
  20. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Tanzania ivutie waekezaji wajenge smelter za copper zaidi ya 20 mikoa ya rukwa na katavi

    Copper inachimbwa kwa wingi sana DRC tokea mda sana ila cha ajabu kama nchi tumeshindwa kutumia hii nafasi ya kuitumia copper kwa manufaa ya nchi Ni wakati wa nchi kuvutia waekezaji waje wajenge smelter za copper Tanzania na uzuri wa smelter za copper unaweza tumia blast furnance kwenye...
Back
Top Bottom