Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Kila siku wananitumia SMS kwamba wana huduma inaitwa MGODI na wanaweza kunikopesha kiasi cha shilingi 530,000/= halafu wananipa menu ya huduma hiyo na kunitaka nikope haraka.
Leo nimejaribu wananiambia "ndugu mteja huduma hii itakujia hivi karibuni" sasa nataka kuwafungulia mashtaka ya...
Katika historia ya mataifa mengi, na hasa Tanzania, uongozi umetazamwa kama dhamana takatifu inayopaswa kuheshimiwa, kutunzwa na kutekelezwa kwa moyo wa unyenyekevu. Hata hivyo, hali ya sasa inaonyesha picha tofauti: watawala wetu wengi wanabeba dhambi kwa tamaa za kidunia.
Tamaa ya madaraka...
Nikiwa Rais wa Tanzania kwa mda huu ambao natural satellite bado hazijaanza kutumika ni vizuri tukaanza kuzalisha na kuuza natural satellite zenye uwezo mkubwa sana
Ni kweli kuna uzi nilisema ntapiga marufuku matumizi ya man made satellite na kuweka msisitizo kwenye natural satellite...
Tanzania, kupitia Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT), ina mpango wa kurusha satelaiti yake angani, ifikapo mwaka 2026.
Chombo hicho, kitakuwa cha kwanza kurushwa angani na nchi hiyo, baada ya kuongezeka kwa ujuzi, ubunifu na teknolojia.
Chuo cha DIT kilianza mpango huo toka mwaka 2024...
Kwa Mujibu wa Takwimu kutoka katika Tovuti ya StatCounter iliyotolewa leo July 13, 2025, Mtandao wa Facebook unaomilikiwa na Kampuni ya meta Umetoa Mialiko ya Watumiaji wa Tanzania zaidi ya 64,915 kujiunga na Programu yao Mpya inayoitwa "Content Monetisation" ambapo Mwenye Account ataweza...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Afya imesaini makubaliano ya ushirikiano (MoU) na kampuni ya kimataifa ya huduma za afya Abbott, kwa lengo la kuchunguza uwezekano wa kuanzisha uzalishaji wa vipimo vya haraka vya magonjwa mbalimbali hapa nchini.
Makubaliano hayo...
Wazee wetu walioshiba makande wameendelea kuongeza mgogoro ndani ya timu yetu, hawaoni shida ndani ya timu yetu, wanaona kufika fainali kombe la losers ni mafanikio makubwa ndani ya timu yetu.
Yanga ameshabeba ubingwa mara nne na nilivyomsikia Injinia kule Kigamboni akisema kuwa wanapanga...
Maana mipango mikakati yake yote ya kujiimarisha kama vile mpango wa kuomba omba pesa za kujikimu kwa viongozi maarufu kama tone tone kidigitali na kwenye kibakuli imekauka, mpango nonsense wa no reform no elections haijulikani tena kama upo au hauko, mkakati wa uropokaji mikutanoni n.k...
Mtaalam vs Mjuaji (Machino) (Chawa)
Mtaalamu ni mtu mwenye ujuzi wa kitaalam katika eneo fulani, amepitia mafunzo rasmi, uzoefu wa kazi, au elimu ya kina. Mfano: mtaalamu wa afya, mtaalamu wa sheria.
Mjuaji ni mtu ambaye anajua mambo mengi, lakini si lazima awe na elimu rasmi au ujuzi wa...
Late Tanzanian billionaire Mercy Anne Shangali Mengi was born a Princess of Shangali dynasty, daughter of King (Mangi) Abdiel Shangali of Machame, Kilimanjaro region , Chagga people of Tanzania. Her brother was the late King (Mangi) Gilead Abdiel Shangali
In 1971 she married late Reginald...
Ndugu wanajamii wa JF,
Kwa heshima, adabu na taadhima kuu, naomba kwa unyenyekevu mkubwa nijitokeze leo kuwasihi kwa sauti ya utulivu na busara Tuitembelee Tanzania yetu.
Katika ardhi hii ya kheri, tuliyoirithi kwa jasho na damu ya wazalendo, kuna maajabu yasiyoandikwa vitabuni wala kueleweka...
Katika mfumo wa siasa za Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina nafasi muhimu katika mchakato wa uteuzi wa wabunge. Mfumo huu unatoa picha ya jinsi siasa za nchi zinavyoweza kuathiriwa na muundo wa chama, hasa katika muktadha wa uwakilishi wa wananchi. Katika mchakato huu, kamati za siasa za...
Hapa Nina Maswali !!
Ni katika wakati gani ,JWTZ itafanya kazi yake hii ya kulinda Katiba, Ardhi, Maliasili, na Kulinda Watu?.
Tafasiri ya Kulinda Watu kwao ni ipi? Ikiwa tunashuhudia watu Wanatekwa, wanauliwa .??
Kulinda Maliasili, ikiwa tunashuhudia Waarabu na Wachina wanapewa Mali zetu...
Nimekaa nimewaza hilo, kwa namna Balozi aliyejiuzuru Humphrey Pole Pole alivyoinanga hadharani serikali ya sasa ya Tanzania, CCM na vyombo vya dola, huku akiharibu kabisa taswira ya Mama Samia kitaifa na kimataifa kwa uamuzi wake wa kujiuzuru huku akitoa sababu mujarabu.
Je, atarejea sasa...
Utazunguka kokote ila hawa ndio walikuwa mstari wa mbele na jiwe muda wote kuturudisha kwenye chama kimoja.
1. Bashiru Ally
2. Polepole
3. Ndugai
4. Makonda
5. Afande Sirro
Historia ya Tanzania mpya itakapoandikwa hawa watano hawatakosekana kama sehemu ya wawezeshaji wakuu wa utawala wa giza wa...
- vijana mbalimbali wa ccm pamoja na kaka yao makala wameonekana wazi wakitoa kauli za uchochez . Mfano👇
1. Mwenyekiti wa uvccm alitamka kuwapoteza wapinzani na kwamba polis wasiwatafute. Polis kimyaa!!
2. Kuna wana uvccm walionekana kwenye video wakiimba wapinzani wakifa tutawatupa kagera wawe...
Katika mfumo wa kisiasa wa Tanzania, Mbunge huchukuliwa kama mwakilishi wa wananchi bungeni kwa lengo la kushiriki katika uundaji wa sheria na usimamizi wa serikali. Hata hivyo, kwa miaka mingi kumekuwepo na mwelekeo unaoonesha kwamba baadhi ya wabunge wanapewa majukumu yanayopita mipaka ya...
Tanzania na Misri kupanua wigo wa ushirikiano
Pembezoni mwa Mkutano wa 47 wa Kawaida wa Baraza la Mawaziri wa Umoja wa Afrika na Mkutano wa Saba wa Umoja wa Afrika wa Uratibu, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) amekutana na kufanya...