Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,731
- 10,227
Kila siku wananitumia SMS kwamba wana huduma inaitwa MGODI na wanaweza kunikopesha kiasi cha shilingi 530,000/= halafu wananipa menu ya huduma hiyo na kunitaka nikope haraka.
Leo nimejaribu wananiambia "ndugu mteja huduma hii itakujia hivi karibuni" sasa nataka kuwafungulia mashtaka ya utamanishi na uchochezi wa kifedha.
Natafuta wakili makini tumalize hili.
Leo nimejaribu wananiambia "ndugu mteja huduma hii itakujia hivi karibuni" sasa nataka kuwafungulia mashtaka ya utamanishi na uchochezi wa kifedha.
Natafuta wakili makini tumalize hili.