Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,129
- 11,385
Tanzania, kupitia Chuo cha Teknolojia Dar es Salaam (DIT), ina mpango wa kurusha satelaiti yake angani, ifikapo mwaka 2026.
Chombo hicho, kitakuwa cha kwanza kurushwa angani na nchi hiyo, baada ya kuongezeka kwa ujuzi, ubunifu na teknolojia.
Chuo cha DIT kilianza mpango huo toka mwaka 2024 baada ya kuingia mkataba na Chuo Kikuu cha RUDN cha nchini Urusi.
Chanzo : RT AFRICA