Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
BARUA YA WAZI KWA VIONGOZI WA DINI NCHINI TANZANIA
Yahusu: Wito wa Kurudi kwa Msingi wa Sadaka Takatifu Si Misaada ya Kisiasa
Waheshimiwa viongozi wa dini,
Kwa heshima kubwa na moyo mzito, nawaandikia barua hii nikiwa kama raia wa Tanzania, muumini, na mtumishi wa umma wa watu. Nawasimamia...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Sheria ya Bima, Sura ya 394, imeanzisha bima ya usafiri wa lazima kwa wageni wanaoingia Tanzania Bara kwa ada ya bima inayolingana na Shilingi za Kitanzania sawa na Dola za Marekani 44.
Lengo la bima hii ni kugharamia dharura za kitabibu, kupotea kwa...
Waliotaka kususa wanatafuta huruma ya kurejea.
Kamwe huruma hii isitolewe na kwa nguvu za Mwenyezi maanani uchaguzi utafanikiwa kwa amani na kazi itaendelea.
Tanzania sio kisiwa na pamoja na sio kisiwa bado ni nchi masikini duniani na ivyo Kiswahili chetu bado hakitatupaisha sana duniani sio kama Kichina, Kijapani au lugha zingine duniani kwenye nchi tajiri.
Cha Kwanza; Kiswahili ifundishwe kote kutoka primary hadi chuo kikuu kama lugha kuu ila...
Kuanzia mdhari ya ukumbi, stage, mavazi yaka kiulaya sana burudani zote live band MC hawana ule ujinga wakina mpoki na matusi
Tanzania kuna la kujifunza hapa sio kina majizo wanakuja na ndala za kuogea kuchukua tuzo za singeli
USSR
Katika ripoti mpya ya Global Peace Index (GPI) 2025, Tanzania imetajwa kuwa nchi yenye amani zaidi Afrika Mashariki, ikishika nafasi ya 73 kati ya nchi 163 duniani.
Ingawa Tanzania imeporomoka kwa nafasi 8 ikilinganishwa na mwaka uliopita, bado inaongoza kanda hii, huku majirani wengine...
Rais Samia amepunguza kiasi cha Mikopo isiyolipika|Chechefu (NPL) kwenye mabenki, Kutoka 9.3% mwaka 2020 hadi 3.3% Mwaka 2025 ikiwa ni sawa na tofauti ya 6% hii inaonesha uwezo wa Serikali kuboresha mazingira ya biashara.
Hadi February 2025 jumla ya faida za mabenki ya biashara makubwa...
Tanzania imeungana na Marekani kuadhimisha miaka 249 ya Uhuru wa Marekani katika hafla iliyofanyika katika Makazi ya Balozi wa Marekani jijini Dar es Salaam, sambamba na kutimiza miaka 64 ya uhusiano wa kidiplomasia kati ya mataifa hayo.
Akizungumza katika hafla hiyo, Waziri wa Mambo ya Nje na...
SADC YAITAJA TANZANIA KINARA UTEKELEZAJI AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
📌 Rais Samia aendelea kupongezwa kwa kuwa kinara wa Nishati safi ya Kupikia Afrika
📌 Mhe. Kapinga ataka mikakati, ubunifu utekelezaji nishati safi ya Kupikia Jumuiya ya SADC
📌 Asisitiza uelimishaji matumizi ya nishati...
Tumekaribia, ng'ambo yetu ile paleee! Ushindi upo upande wetu
No reforms no election ina upepo wa Mungu wenye kisulisuli, unaangusha mibuyu na mibuyu
Ndani ya CCM, hivi punde watauimba huu wimbo wazi wazi bila kificho, huu mwezi haupiti, Wengi wao wataumgana na waungwana sisi kuimba kwa...
PSSSF Tanzania tunaomba Maelezo kwanini baadhi ya wastaafu wa JWTZ mwanza hawajapata Mafao yao ya kila mwezi kwa mwezi june hadi leo ?
Moderator Active naomba kichwa cha habari kisome PSSSF.
Job type Full-time Job
Vacancy: Head of Enterprise
SimbaNET Tanzania (SimbaNET) is part of Wananchi Group which is a Regional Company that provides Internet, Data, Broadcasting and Multimedia Communication Solutions. We are seeking to recruit a Head of Enterprise, He/she will be reporting to...
Uyui District Council, a district council in Tanzania, is dedicated to enhancing public services and fostering community development within the Uyui District. As part of its commitment to improving operational efficiency and service delivery, the council is thrilled to announce 11 full-time job...
KQ to support Tanzania aviation industry
National carrier Kenya Airways (KQ) is in talks with Tanzania to support its aviation industry after it was banned by the European Union (EU).
The European Union (EU) banned Tanzanian airlines from operating in its airspace in early June over safety...
Nimemsikia Esther Bulaya, aliyehamia CCM. Nimesikiliza maneno yake ya nyuma na yale ya sasa kupitia video inayozunguka.
Ninachokiona ni kwamba Wanasiasa wa TZ ni sawa na Changudoa wetu. Hawana aibu, hawataki kazi nyingine na hata tukiwashawishi kwa namna gani, wanaamini kazi yao ni siasa, Hata...
Tanzania and Korea cooperation on Blue Economy is happening. Thanks to the MOU on Cooperation on Blue Economy signed during the visit of Her Excellency Dr. Samia Suluhu Hassan in Seoul, June, 2024.
Katika kupitia historia ya mpira bongo kuna mtu alinisanua kuhusu timu inaitwa Pan African, kwa maelezo yake anasema ilishawahi kufika robo fainali CAF champions league, katika kupitia mtandaoni kwel naona kuna taarifa za CAF Champions league ila sio za robo fainali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.