tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Ligi Kuu ya Tanzania ni mbovu kwanini Mayele anafanya vyema aliko na kama Ligi Kuu ya Tanzania ni nzuri kwanini Aziz K anafanya hovyo huko aliko?

    Kazi yangu Kubwa sana leo katika huu Uzi wangu ni kujua akina nani wanajua Kuuchambua Mpira.
  2. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania maisha ya kijijini ni magumu zaidi kuliko mjini kwa ujumla

    Kuna watu huwa waanamini maisha ya vijijini ni mepesi na bora kuliko mjini, sijui hizi fikra zinatokana na nini ila kwa ukweli ukiacha vijiji vichache vya mikoa kama ya Kilimanjaro, Njombe, Mbeya labda na vya mikoa mingine michache maisha kwa ujumla wake vijijini ni magumu sana kuliko mjini...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Nawaelewa Wapentekoste/Walokole wanapofurahia kuketi moja meza na wakuu. Free Pentecost

    Wapentekoste waliingia Tanganyika zamani sana miaka ya kati ya 1900's. Free Pentecostal Church of Tanzania (FPCT) walianza kuwepo Tanzania mwaka 1932, hata hivyo hawakuweza kupata mafanikio makubwa mpaka miaka ya mwishoni ya 1980 na mwanzoni miaka ya 1990. Walipoanza kuingia kwa nguvu katika...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kiwanda kipya Cha CEMENT kigoma chaanza kuuza cement kwa Tanzania na nje ya nchi congo,burud

    Mnahabar kiwanda cha cement aina ya qilin kigoma kimeanza kuuza cement Yale nje ya nchi nandani ya Nchi Sasa kuipa wakat ngumu dangote ukanda wa ziwa,magharibi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Faida ya elimu Tanzania iko wapi?

    Askari wa kidato Cha nne ana posho ya usafiri, chakula, vinywaji na akiwa na elimu ya diploma au degree au fani nyingine nayo inalipwa posho. Lakini Lecturer/Mhadhiri mwenye PH D Hana posho yeyote zaidi ya mshahara wake wa mwezi. Labda apambane na research abahatike kuokota chochote. Ndugu zangu...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kutoka Tanzania Mpaka Uwaziri Sweden, Kiswahili Ndicho Kimebeba Safari Yake

    Katika shamrashamra za maadhimisho ya Siku ya Lugha ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika jijini Stockholm, Sweden, mgeni rasmi, Mhe. Nyamko Sabuni, Waziri wa zamani wa Usawa na Jinsia nchini Sweden, ametoa hotuba kwa lugha ya Kiswahili fasaha na yenye mvuto. Mhe. Nyamko, mwenye asili ya Jamhuri...
  7. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Plot for Sale, located at Mbweni JKT Dar es Salaam Tanzania

    #plotforsale Eneo linauzwa SQM 1540 Bei Ml 450 maongez kidogo Location mbweni JKT: Hati imenyoka sanaa Call/WhatsApp +255758844717
  8. Knock life

    JamiiForums Tanzania Hizi ndo silaha nne za CCM za kuitawala Tanzania

    Simba na Yanga - hii inatumika kupumbaza Watanzania Taasisi za dini Kama Mwamposa , Shekh kishiki , n.k Bodaboda - hii inajulikana kazi yake ni kuua Viloba na Sungura - hii inajulikana Kazi yake ni kuua uwezo wa Vijana kufikiri vizuri.
  9. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Kuja kwa Florent Ibenge Ligi Kuu ya Tanzania: Ushindani Mpya Waanza Kuonekana

    Kuingia kwa kocha Florent Ibenge katika Ligi Kuu ya Tanzania ni tukio linaloleta msisimko na matarajio mapya kwa mashabiki wa soka nchini. Ibenge, ambaye ni mzoefu na mwenye mafanikio katika soka la Afrika, anatarajiwa kuleta mabadiliko makubwa kwenye mbinu, nidhamu, na ushindani wa ligi yetu...
  10. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Inflation rate ya tanzania hua ni 3% mpaka 8% umejipanga vp?

    mtu aliekua na $1M mwaka 70 ama 80 kwa miaka ya leo ni sawa sawa na $8.35 million kwa mahesabu haraka ya chatgpt likewise na kwa tanzania aliekua na laki moja mwaka 90 apo ni kama 1.5M ya saahv
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kiswahili ndiyo Lugha ya kutuunganisha Afrika, Tanzania tuko tayari kutoa Walimu na vifaa vya kufundishia kuja Comoro

    Rais Samia amesema Kiswahili kina uwezo wa kuwaunganisha Waafrika na kupendekeza kitumike kama lugha ya mawasiliano, elimu na biashara katika nchi za Afrika, ikiwemo Comoro. "Lugha pekee ya Kiafrika inayoweza kutuunganisha au kuunganisha watu wetu ni kiswahili, hivyo ilikujenga umoja nitumie...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Twende Butiama: Vodacom Tanzania na Benki ya Stanbic Tanzania wakabidhi msaada Shule ya Msingi Mkata, Handeni

    Mkuu wa Kanda ya Kaskazini, Vodacom Tanzania PLC, George Venanty (kushoto) akimkabidhi kiti mwendo mmoja wa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mkata ambapo pia walikabidhi matundu ya choo 10, magodoro 40, vitanda 20 na viti mwendo 47 kwa shule hiyo ikiwa ni sehemu ya shughuli zinazofanywa katika...
  13. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kuishi Afrika na Tanzania bila kumuamini Mungu au ukiwa atheist ni jambo gumu sana

    Sijui kwa nini watu wasio na hofu ya mungu wanaoenkana watu wabaya sana ukizingatia watu waliofanya na wanaofanya maovu makubwa katika jamii ni wenye dini na inayoitwa hofu ya mungu. Nafikiri mojawapo ya scam kubwa kuwahi kutokea duniani ni imani ya kwamba watu wenye hofu ya mungu ni wema sana...
  14. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba Inauzwa ipo Kunduchi Beach. Bei ni Tshs Bilioni 2

    #houseforsale Nyumba ya gorofa tatu ground floor 1) 1 bedroom en-suite 2) kitchen with separate dish washing room 3) kitchen pantry 4) laundry room 5) computer room 6) entertainment room 7) combined dining room area and sitting room area 8) separate sitting room 9) common toilet first floor...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tanzania Commercial Bank (formerly Postal Bank) kuwa na consistency/predictability katika operations/services zenu. Mnakera sana!

    1. This is very disturbing, very stupid indeed! Ni vurugu tupu...... leo kuna salary advance, pension advance, nisogeze loan etc etc kesho vimefutwa/hakuna...na ujinga kama huo mwingi. Kibaya zaidi without notice! Toeni notice kuwa mwezi huu hakuna salary/pension etc advance! ili mtu ajipange...
  16. Dalali_wa_kimataifa

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa bila kipengele,ipo bahari beach...Bei ni million 450,maongezi yapo,nyumba ipo sehemu nzuri na neighborhood ya kishua kabisa

    HOUSE FOR SALE: LOCATION: BAHARI BEACH SQM: 1,200 Nyumba Ina vyumba vinne PRICE: 450 Million negotiable. Hati ipo. Hii unfinished house ina Sitting room: 1 Modern windows, ✅ Kitchen, ✅️ Dining room, ✅️ Parking,✅️ Garden, ✅️ Good neighbourhoods, ✅️ 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717...
  17. PLOII

    JamiiForums Tanzania Kuelekea msimu ujao wanasiasa mkae mbali na mpira wa Tanzania: Yanga ni wanufaika wakubwa na upepo huu wa siasa

    A matter above is concerned, Msimu huu wa NBC premier league umekuwa wa kituko Sana hasa referees wa league yetu ni shida. Moja ya matukio ya ajabu ni offside na watu kufunga hadi na mikono na wanufaika wakubwa ni Yanga na Simba. Msimu umeisha Yanga ilijipangia nani awe referee wa mchezo...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Ingredients of treason in Tanzania: Je Lissu katenda yapi/lipi kati ya haya

    haya ndiyo mambo ya kujadiliwa na wasomi. Lisu katenda lipi kati ya haya IN THE COURT OF APPEAL OF TANZANIA AT ZANZIBAR (CORAM: KISANGA J.A, RAMADHANI , J.A, And LUGAKINGIRA, J.A.) CRIMINAL APPLICATION NO 9 OF 2000 Between. S. M. Z. ...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania yangu ninayo iwaza akilini mwangu

    Tanzania nchi yangu. Nimekuwa kwako toka nimezaliwa mpaka Sasa Nina wajukuu. Mengi nimejionea na kila uchaguzi mengi nayaona. Mazuri yapo na mabaya pia Ila siku zote tumeweza kuvumiliana bila kuvunjiana adabu wala miiko. Natamani iwepo kamati itakayo simamia malengo ya nchi ya muda mrefu...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania ni nchi ya kwanza Afrika Mashariki kwa utulivu na amani

    Rais Samia Suluhu Hassan leo Dar es Salaam, Julai 5, 2025 amezindua hema jipya la ibada la Askofu Mwamposa (Arise and Shine) na kusisitiza kuwa dini zina jukumu la kuwakumbusha wananchi kutunza amani ya nchi. Amesema jana akiwa na wasaidizi wake waliona taarifa mtandaoni ikionyesha kuwa...
Back
Top Bottom