Mwanamke Bilionea pekee kutoka Tanzania

Mwanamke Bilionea pekee kutoka Tanzania

Mstahiki Mea

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2018
Posts
6,391
Reaction score
12,027
1752477872307.jpg

Late Tanzanian billionaire Mercy Anne Shangali Mengi was born a Princess of Shangali dynasty, daughter of King (Mangi) Abdiel Shangali of Machame, Kilimanjaro region , Chagga people of Tanzania. Her brother was the late King (Mangi) Gilead Abdiel Shangali

In 1971 she married late Reginald Mengi and together they established the IPP company that made them billionaires.

She passed away in 2018 leaving three children and was buried at her family's royal graveyard in Wari village
 
View attachment 3405425

Mbona wataka kufukua makaburi ndugu!
 
Wanawake wengine bongo mnakwama wapi 🤣
Ukumbuke huyu urithi aliupata kwa wazazi wake hasa baba yake akiwa Mangi wa machame kipindi hiko

Plus alikuwa akifanya kazi shirika la ndege Afrika mashariki kipindi hicho,

Kwa hivyo haikuwa haba,,

Na familia zote za kimangi uchagani hakuna masikini wala waganga njaa kama wengine,

Ana haki ya kuwa billionaire though wapo wengi tuu sio mwenyw

Kuna mama mmoja naye ni mchaga ana mpunga mrefu sana alitikiswa kipindi Cha jiwe hataki hata kusikia Hilo jina,

siwezi mention assets zake zinajulikana Ila ana mpunga wa kutosha
 
D

Duh
 
06 August 2023
UWEKEZAJI KATIKA MELI MIREMBE JUDITH KUCHOCHEA MATUMIZI YA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Meli yenye uwezo wa kubeba makasha 600 iliyobatizwa jina MIREMBE JUDITH inayomilikiwa na kampuni ya kitanzania itakuwa inafanya kazi ya transhipment baina ya bandari ya Dar es Salaam na Zanzibar

Ujio wa meli hii utachangia kuongezeka kwa ufanisi wa bandari ya Dar es Salaam kwa kuondoa msongamano wa makasha yanayoshushwa na meli kubwa kwa makasha yaendayo Zanzibar.

Pia itaongeza idadi ya meli kubwa zenye makasha yaendayo Zanzibar ambayo yatashushwa bandarini Dar es Salaam. Mizigo mingine ya makasha ya Zanzibar yaliyobebwa ktk meli kubwa imekuwa ikishushwa bandari ya Lamu Kenya.

Ujio wa meli hii ya Mirembe Judith itafanya safari ya makasha kuwa fupi kutoka Dar es Salaam hadi Zanzibar.

Mkurugenzi wa bandari ya Dar es Salaam Bw. Mrisho Mrisho akizungumzia ujio huo ameongeza kuwa huo uwekezaji huo wa mtanzania ktk meli unaendana na mkakati wa bandari kuongeza ufanisi na idadi ya meli kubwa za transhipment kutia nanga katika bandari hii ya Tanzania.
1691316375929.png

Photo: Mirembe Judith vessel courtesy of marinetraffic.com

Kwa muda wa miezi mitatu mjadala kuhusu jinsi ya bandari za Tanzania zinavyoweza kuongeza ufanisi, wingi wa mizigo, makasha, idadi ya meli umekuwa ukiendelea na uchambuzi wa aina gani ya uwekezaji mchanganyiko unaweza kuongeza kwa ujumla wake wateja kutumia bandari za Tanzania.

The vessel MIREMBE JUDITH (IMO: 9141900, MMSI 677026000) is a Container Ship built in 1996 (27 years old) and currently sailing under the flag of Tanzania.
MIREMBE JUDITH is a Container ship built in 1996 by HAKATA SHIPBUILDING - IMABARI, JAPAN. Formerly was sailing under the flag of Panama. Formerly also known as ACACIA LAN, ACACIA LAN, CONFIDENCE, TIGER SPRING, EAGLE CONFIDENCE. It's gross tonnage is 5658 tons
 
Back
Top Bottom