Zitto Kabwe amewashangaa wale ambao wanahoji kuhusu Muungano hasa huku Bara akisema hawajui kitu kwani wanaotakiwa kuhoji ni Wazanzibar.
Zitto ambae ni mtaalamu wa kujenga hoja Kwa takwimu amesema Kwa masuala ya Muungano yanayohusu Mapato, Zanzibar hupata asilimia 2% pekee na ndio imekuwa...
Watanzania mjue jambo moja tu.
Tanzania Zanzibar hawakuanza kupewa nauli leo.
Wafanyakaz Zanzibar walianza kupewa nauli zamani kidogo.
Raisi Samia angalia hili
Nimekua nikifuatilia mijadala mingi sana ya viongozi wetu, na kugundua kwamba tofauti na watanganyika, wenzetu wazanzibari wote kwa pamoja
wako macho sana kuhusu maslahi yao ndani ya muungano.
Kibaya zaidi ni kwamba kwa huku bara hata wale wa mrengo wa upinzani wanasisitiza tu kwamba eti...
Simba wamewakatia denge Yanga, wao ss hv ni mabingwa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, yaani Simba ni bingwa nchi hii.
Sijui kama nimeekeweka, simba ni bingwa wa hapa bara na kule visiwani.
Bunge limepitisha bajeti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Waziri mwenye dhamana, Dkt Selemani Jafo akisema hoja ya kutaka kurejesha utaratibu wa watu wa Tanzania Bara kuingia Zanzibar kwa pasipoti ni kujirudisha nyuma.
Jafo amesema hayo jana Jumanne Aprili 23, 2024 akitoa...
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo
2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi
3. Kuna uwezekano winga wa Simba Sc, Aubin Kramo akapelekwa kwa mkopo Zesco United ya Zambia
4. Kiungo...
Mahakama Kuu, Zanzibar imebatilisha kifungu cha 33(1) cha Sheria ya Kudhibiti Vileo (LCA) ya mwaka 2020 kinachoweka ukomo wa kampuni zinazoruhusiwa kuagiza vileo ikisema kinakinzana na Katiba ya Zanzibar.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji George Kazi katika hukumu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa...
Kwangu mimi heri suruali kuliko sketi fupi linapokuja swala la kujisitiri.
Lakini kuna mikoa tena sio vijijini, ni wilayani kabisa, ukikuta binti kavaa suruali ujue hana wazazi maeneo hayo, au ni kahaba au ni mgeni.
Nje ya hapo ni marufuku kuvaa suruali. Kuna mabinti wameitwa wahuni kisa kuvaa...
TAARIFA KWA UMMA
KUSITISHA SHUGHULI ZA SANAA, SHEREHE NA BURUDANI KATIΚΑ KUMBI 504 ΤΑΝΖΑΝΙΑ BARA.
Mnamo tarehe 19 Februari, 2024 Baraza lilitoa tamko la nia ya kusitisha huduma kwa kumbi 653 ndani ya siku 14 kwa wadau wote ambao hawatatimiza vigezo vya kuhuisha vibali vya kufanya shughuli za...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza uchguzi mdogo wa madiwani kwenye kata 23 za Tanzania Bara.
Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Bw. Kailima Ramadhani jijini Dodoma leo tarehe 15 Februari, 2023 uchaguzi huo utafanyika tarehe 20...
Tanzania na Zanzibar ni nchi mbili tofauti?
=======
Mdau anahoji kwanini wagonjwa wa figo wanafanyiwa kwa gharama ya Tshs 180,000 kwa siku Tanzania bara ilhali Zanzibar ni bure. Amesema wapo wanaotakiwa kufanyiwa dialysis mara mbili au tatu kwa siku. Mdao ameomba majibu kwa waziri wa afya.
Kufuatia malalamiko ya Wananchi juu ya kupanda kwa gharama za Sukari, Serikali imetangaza Amri ya Bei Elekezi iliyoanza kutumika Januari 23, 2024 katika Mikoa yote ya Tanzania Bara kwa lengo la kudhibiti Bei holela za Bidhaa hiyo
Kwa mujibu wa Tangazo la Serikali, Amri hiyo imesema Mtu yeyote...
Kama muumini mkubwa wa kutumia akili vizuri ili kupata maendeleo makubwa napenda kumpongeza sana Rais wa Zanzibar kwa anavyoitengeneza Zanzibar iwe na uchumi mkubwa unaojitegemea miaka ya mbeleni.
Rasilimali kubwa inayompa maendeleo ya kweli mwanadamu ni akili. Rasilimali si madini, si...
Naingalia Zanzibar kwa jicho la kipekee sana.
Wanafanya miradi kama ya Tanzania bara ina miradi yao inafanywa kwa ubora wa kipekee sana.
Naona majengo mengi yanayojengwa kwao wanatumia kampuni binafsi na wanajenga kwa kuzingatia hasa value for money. Jengo la Shule iliyojengwa Zanzibar huwezi...
Ukiachilia mbali Zanzibar kushusha viwanja vyenye hadhi ha kidunia. Sasa serikali ya Zanzibar ina mpango wa kushusha Treni za Kisasa, TAXI za baharini, na Mabasi ya Umeme (Electric Rapid Transit Buses). Ukubwa wa nchi ya Zanzibar unaingia zaidi ya mara 10 kwenye ukubwa wa mkoa wa Morogoro...
Wadau nawasalimu.Leo ni tarehe 9 Desemba 2023 Miaka 62 toka Nchi yetu ipatiwe Uhuru wake kutoka kwa Mwingereza.
Kilichonishangaza ni kusikia kuwa Eti Leo ni Miaka 62 ya Uhuru wa TANZANIA BARA Nchi ambayo Binafsi Siijui ipo wapi inapatikana wapi ina ardhi ya ukubwa gani inapakana na Nchi ipi na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara na Mkutano wa Kwanza wa Kitaifa wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 leo tarehe 09 Desemba, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete.
Kuacha kufanyika...
Hii ni kwa sababu Mwl Nyerere na viongozi wa TANU walikuwa Watanganyika na waliikomboa Tanganyika na wala si nchi nyingine yoyote ile.
Watanganyika hampaswi kuvumilia uongo wowote ule hata kama anayeuongea ni kiongozi mzito, kataeni hadharani ili mheshimike.
Huu ni uzi maalumu wa kupeana updates za usajili wa dirisha dogo unaotazamiwa kufunguliwa tarehe 15.12.2023. Karibu
1. Ladack Juma Chasambi ni mwekundu wa Msimbazi akitokea Mtibwa Sugar
2. Beki wa Yanga raia wa Uganda Gift Fred anahusishwa kuhitajika na Klabu ya Arab Contractors ya Misri kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.