tanzania bara

The Minister of Finance is the head of the Ministry of Finance and Economic Affairs of the Government of Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Serikali Yaweka Bima ya Lazima kwa Wageni Wanaoingia Tanzania Bara

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Sheria ya Bima, Sura ya 394, imeanzisha bima ya usafiri wa lazima kwa wageni wanaoingia Tanzania Bara kwa ada ya bima inayolingana na Shilingi za Kitanzania sawa na Dola za Marekani 44. Lengo la bima hii ni kugharamia dharura za kitabibu, kupotea kwa...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    1. Vilabu vya Young Africans, Kaizer Chiefs na Simba SC vinapigana vikumbo kumpata Feisal Salum ( Fei Toto) ( COLLAPSED) 2. Mourice Abraham ni mnyama(CONFIRMED) 3. Thank you Augustine Okejepha (CONFIRMED) 4. Thank you Kouass Yao. Anaweza kubaki kama watamkosa mbadala sahihi ( CONFIRMED) 5...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nahisi Viongozi wa juu wa Tanzania bara wamelishwa limbwata, hawaijali tena nchi yao

    Hebu tuweke kwanza mapenzi ya vyama pembeni, Hayati Magufuli alikuwa kiongozi mzalendo aliyeipenda Tanzania kutoka moyoni mwake na sisi sote ni mashahidi kwa hilo Lakini baada kufa kuna Viongozi wamekuja hawana hata uchungu na Tanzania bara,wamejaa porojo wameuza rasilimali zetu alizozipigania...
  4. Heparin

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Mrema ajisahau kubadili Akaunti ya X, atumia ya CHAUMMA kumtolea povu Zitto Kabwe. Asema ACT ipo kata 2 tu Tanzania Bara

    John Mrema amejisahau kubadili Akaunti ya X, ametumia ya CHAUMMA kumtolea povu Zitto Kabwe. Amesema Zitto Kabwe ameshindwa kukuza chama cha ACT, kwa Tanzania bara kipo kata 2 tu za Tunduru na mojawapo ipo Kigoma. Haya yanajiri baada ya Zitto Kabwe kuwakaribisha wanachama wa vyama vingine...
  5. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

    Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Majaliwa: Zawadi pekee ya kuwalipa Rais Samia na Rais Mwinyi kwa maendeleo waliyoyaleta kwenye michezo ni "mitano tena"

    https://www.youtube.com/live/2AL9sZGpSbA Ufunguzi wa kikao kazi cha Mafunzo na Mazingativu cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania Bara, mgeni rasmi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa Majaliwa (MB). Ufunguzi huo unafanyika kwenye Ukumbi wa...
  7. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Huu Ndiyo Ukweli; Uchaguzi wa CHADEMA Ndiyo Uchaguzi wa Kinyonge Hivi?

    Safari ya imeanza 2025, hapa yupo Samia Suluhu pembeni Nchimbi. Nyuma hapo, bado kugumu ila kesho jogoo anawika safari nyingine inaanza. Toka Dodoma tufanye uchaguzi na kuwapitisha miamba miwili sijaona block yoyote kutuzuia miezi michache ijayo. Niseme kweli tupu, kabla ya Dodoma na hata...
  8. milele amina

    JamiiForums Tanzania Kukosa Majibu Katika Ujenzi wa Majengo ya Elimu na Afya, bila kujali matumizi Bora ya Ardhi upande wa Tanzania Bara

    Katika kipindi hiki, kumekuwepo na hali ya kushangaza kuhusu sera za serikali, hasa zinazohusiana na ujenzi wa majengo ya taasisi za elimu na afya. Serikali ya awamu ya sita imeweka marufuku juu ya ujenzi wa majengo ya ghorofa, jambo ambalo linaweza kuonekana kuwa na athari kubwa katika...
  9. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Si zaidi ya Miaka 20 Ijayo, Tanzania Bara tutaenda kujifunza Zanzibar namna ya kutumia akili kufanya maendeleo

    Wakiwa na rasilimali chache sana, Zanzibar wamegundua ili waweze kuendelea haraka ni vizuri waachane na akili za ki Tanzania Bara. Sisi tukiwa tunaendekeza ujinga eti uraia pacha utahatarisha usalama wao siku nyingi walishapitisha suala la Diaspora kushiriki kuwa sehemu ya uchumi wa nchi yao...
  10. kavulata

    JamiiForums Tanzania Hakuna Tanzania bara Kuna Tanganyika.

    Ziliungana Zanzibar na Tanganyika sio Zanzibar na Tanzania bara. Tanganyika tunakwama wapi? Sio sawa kuita Tanganyika kwa jina la Tanzania bara kwasababu hata Tanganyika Kuna visiwa vingi pia kama vile Mafia, Mbuja, ukerewe, nk. Tanganyika inahitaji kuombewa ili ijitambue.
  11. Mandingo

    JamiiForums Tanzania Tanganyika yaitwa Tanzania Bara Azam tv!

    Nimeumia sana kuona Zanzibar ipo ila Tanganyika imebatizwa jina la ajabu eti Tanzania Bara!!!
  12. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je, Kwa Nini Timu ya Taifa ya Tanzania Bara Ni Kilimanjaro Stars Badala ya Tanganyika Heroes?

    Timu ya Taifa ya Tanzania Bara inajulikana kama Kilimanjaro Stars. Jina hili, ingawa linaashiria mlima mrefu na wa kihistoria nchini, halionyeshi historia ya kihistoria ya nchi kuu ya Tanganyika. Kabla ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar mwaka 1964, nchi ilikuwa inaitwa Tanganyika na sio...
  13. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ujio wa GSM umepoteza ladha na ushindani halali ligi kuu Tanzania Bara

    Great thinkers. Hakuna kitu kinaharibu mambo kama conflict of interest.. udhami k wanGsm wa Vila u kadhaa Tanzania Bara umeondoa Imani ya mashabaiki wengi es Mpira wa miguu Tanzania. Kwa wa watu wengi wanaamini hi matokea ya Mechi nyingi yanapangwa nje ya uwanja jambo( Mechi fixing) jambo...
  14. G

    JamiiForums Tanzania Rais ajae baada ya Suluhu atatokea kusini mwa Tanzania Bara, Ni Mwanamke Tena !!

    Binafsi ningependa Rais ajae atokee upinzani lakini kwa hali ilivyo hata uwezekano mdogo haupo, hatuna budi kumsubiri rais ataepitishwa na chama Tawala. Ni dhahiri Rais Ajae lazima awe mkristo kwa utamaduni wa chama tawala, hii imerahisisha zaidi kumjua Rais ajae ikiwa bado atakuwa hai. Wengi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zanzibar hakuna Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, tupeane elimu kidogo kuhusu Chaguzi

    Hivi karibuni huko Tanzania Bara kumekuwa na mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo leo Novemba 27, 2024 Wananchi wanapiga kura. Mimi kama mdau wa siasa na mifumo ya Uchaguzi Zanzibar nimekuwa nikipokea maswali mengi kuhusu kwanini Zanzibar kumekuwa hamna shamrashamra za Uchaguzi kama...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025

    1. Kiungo mkabaji Kelvin Nashon anatakiwa Young Africans 2. Kiungo Mshambuliaji Foday Trawally anatakimmowa na Simba SC 3. Larry Bwalya anawindwa na Singida Black Stars na Pamba Jiji 4. Kiungo raia wa DRC, Harvey Onoya anatakiwa na Yanga 5.Kiungo Mbrazil, Bruno Gomez anaweza kurejea Singida...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia, hata kabla afanye utaratibu wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Tanzania Bara

    Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa ninao ushauri huu kwa Mh Rais wangu Samia Suluhu Hassan. Ushauri wangu ni kuwa afanye utaratibu wa kisheria wa kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Tanzania Bara kama ilivyo kwa Tanzania Visiwani. Faida yake ni kuwa itampunguzia upinzani ndani ya CCM na...
  18. G

    JamiiForums Tanzania Rais ajaye wa Tanzania awe Dkt. Hussein Ali Mwinyi ili kuweka balance ya marais wa Bara na Zanzibar, upande wa Bara kuwe na Makamu wa Rais

    Yafaa Rais ajae wa Tanzania awe Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi ili kuimarisha zaidi muungano 1. Nyerere - Bara Makamu wa Rais -Zanzibar 2. Mwinyi - Zanzibar Makamu wa Rais - Bara 3. Mkapa - Bara Makamu wa Rais - Zanzibar 4. Kikwete - Bara Makamu wa Rais - Zanzibar 5. Magufuli - Bara Makamu wa...
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Huu muungano usipodhibitiwa mapema atakuja mtawala mwenye hasira na kuifuta Zanzibar au Bara yote!

    Hello! Neno bara nimeliweka tu kwakuwa halina mbadala ila kwa ukweli neno bara halipo kimamlaka. Kwa muda mfupi tu tumeona maeneo kadhaa yamefutiwa authority. Hatujaambiwa kwamba yamefutwa ili yaundwe upya, yamebadilishwa majina au yameunganishwa na maeneo mengine. Mfutaji ni Waziri wa...
  20. uran

    JamiiForums Tanzania Msimamo na Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024-2025.

    Ndugu wanamichezo wote! Leo 16-08-2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza. Nawaletea kwenu uzi maalumu utakaokuwa unawapa Updates za Msimamo wa Ligi ulivyo kila baada ya Mechi ndani ya msimu mzima! Mechi ya Leo 16.08.2024 Pamba 0- 0 Prison RATIBA YA GAME ZA 1st to 4th Round. Ligi ina jumla...
Back
Top Bottom