tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kama kuna Wiki Ngumu kwa Yanga SC basi ni hii kwani tayari Umafia umeshamalizwa huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili

    Waende kwa Tahadhari zote huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili kwani kwa Umafia ambao umefanyika huenda Wiki hii ikiwa Ngumu Kwao kwa Michezo yao. Nawaonea sana Huruma Kocha Kaze, Boss wa GSM Hersi na Mwenyekiti Msola. Kwa yaliyofanywa huko Watu watauwana.
  2. Tetesi: Martin Shigella Katibu mkuu CCM, Mwanri kuwa RC Tanga

    Mkuu wa mkoa Tanga ni Miongoni mwa Majina yaliyoko mezani kwa mkuu likiwa ndani ya majina mengine mawili yaani Harrison Mwakyembe na Asha Rose Migiro. Ila kwa wanaojua wanaona upepo unamnyemelea Shigella anakijua sana chama chetu. Hata hivo kuna Wanazuoni wawili ambao Mkuu amesema nao...
  3. Naomba kufahamishwa kuhusu gharama za maisha ndani ya Jiji la Tanga

    Habari za wakati huu, Ningependa kufahamu kuhusu mji wa Tanga na gharama za maisha. Baadhi ya mambo ningependa kufahamu ni pamoja na maeneo mazuri ya kuishi kwa watu wa kipato cha chini au cha kati, Gharama za kupangisha nyumba, chumba. Gharama za chakula na malazi katika lodges na guest...
  4. Tanga: Nusu ya vituo vya kulelea Watoto Mchana (Day Care Centers) vinaendeshwa kinyemela pasipo taratibu muhimu za kisheria

    Serikali imesema kuwa imebaini nusu ya vituo vya kulelea Watoto Mchana (Day Care Centers), vinaendeshwa kinyemela pasipo taratibu muhimu za kisheria. Hayo yalibainika mwishoni mwa wiki wakati wa ziara ya Maofisa kutoka Wizara ya Afya-Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, kubaini kuwa kati ya vituo...
  5. 4

    Wakati Chato tunaendelea, basi tuiboreshe na Tanganyika - Tanga

    Wana jf heshima zenu zote nilishamkabidhi mungu bila kujali, dini, chama au umri. Mheza kama waenda Tanga mjini ipo sehemu yaitwa TANGANYIKA kabla ya kufika MKANYAGENI, na kabla ya kufika BAGAMOYO, KILAPULA, PONGWE, MAWENI, KANGWE then kwa MINCHI to TANGA MJINI. Sikuwahi jua chanzo cha jina...
  6. RC Tanga: TRA acheni kujenga Mazingira ya chuki kwenye ukusanyaji wa kodi

    MKUU wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigela amewataka watumishi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na wafanyabiashara mkoani humo, kutojenga mazingira ya chuki wakati wa ukusanyaji kodi. Alitoa jana rai hiyo wakati wa kikao cha wadau wa kodi, ambao alisema kuwa iwapo pande zote mbili zitafanya kazi...
  7. Familia nzima yateketea kwa moto uliosababishwa na gesi

    Umuofia Kwenu wana JF, Bonne Annee and X-mas!! Ndugu Sigfrid Sisti Kimbi na familia yake yote yateketea kwa moto uliotokana na gesi! Mke na watoto mapacha wawili ndio walianza kufa na mme amefariki akiwa njiani anakimbizwa hospital KCMC kwa matibabu. ======= Ndugu zangu sisi familia ya Kimbi...
  8. TANZIA Baba Askofu Jimbo Katoliki Tanga, Anthony Banzi afariki dunia akipatiwa matibabu Hospitali ya Muhimbili

    Kwa Masikitiko makubwa napenda kuwataarifu kuwa Askofu wa Kanisa Katoliki Tanga Anthony Banzi afariki Dunia alfajiri ya leo Muhimbili National Hospital. RIP Askofu Banzi. Pumzika kwa Amani Baba Askofu Anthony Banzi Raha ya milele umpe eeh BWANA Na mwanga wa milele umuangazie Marehemu apate...
  9. D

    Mabasi ya Arusha, Moshi na Tanga kupita Madale?

    Nimesikia baada ya stendi ya Mbezi kuanza kutumika mabasi ya mikoa tajwa hapo juu yatapitia Goba, Madale, Tegeta, Bagamoyo kuelekea mikoa husika. Lisemwalo lipo kama halipo basi linakuja. Karibuni kwa yeyote mwenye taarifa.
  10. Uongozi wa Chuo cha Afya Tanga, fanyeni kazi kwa weledi

    Nina vijana wangu wamepata nafasi chuo cha afya tanga moja kwa moja kutoka kidato cha nne. Katika mambo yalilonishangaza ni kama ifuatavyo: 1. Suala la chakula mwanafunzi anatakiwa kujitegemea ila kwenye form ya kujiunga hawajaandika kabisa habari hii. 2. Chuo kutoza fedha ya kujiunga NACTE...
  11. Nimeamini, Wanawake wa Kipemba wanajua Mapenzi kuliko Wanawake wa Tanga

    Salaam, Kuna kitu nmesikia watu wakijisifia kwamba wanawake wa Tanga ndo mapenzi yalipozaliwa. Ila ila baada ya utafiti wangu wa kina, nimegundua Wanawake wa Zanzibar hasa Kisiwa cha Pemba wapo Vizuri kwenye Tasnia ya Mapenzi kwa Ujumla yake. Yaani wanajua kumhudumia Mwanaume. Nahisi...
  12. TANGA: Watu watano wafariki kwenye ajali ya Scania na Semi trela

    Watu watano wamefariki dunia usiku wa kuamkia leo Novemba 21, 2020, mara baada ya malori mawili kugongana uso kwa uso na kuwaka moto katika eneo la Kitumbi mkoani Tanga, huku chanzo cha ajali hiyo kikitajwa kuwa ni uzembe wa kutokuzingatia sheria za usalama barabarani. Akizungumza na EATV&EA...
  13. Hivi kwanini Tanga hainyang'anywi hadhi ya kuwa Jiji? Ni sehemu ya ajabu sana

    Hivi kwa nini Tanga ni Jiji, maana naona pilikapilika kama za majiji mengine hazipo kabisa, ni Mji ambao umepoa mithiri ya Tabora, baiskeli huku ndio nyingi kuliko magari. Vijiwe vya vijana vipo kila mahala, huku maisha ni mepesi sana, yaani ukiwa na 500 unakula ugali na mboga za majani...
  14. GE2020 Tanga: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Tanga. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Tanga una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 12 ambayo ni Tanga Mjini: Ummy Mwalimu (CCM) - Kura...
  15. GE2020 Yaliyojiri kwenye Mikutano ya kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

    Ikiwa leo ni siku ya Maombi, Sala na Shukrani nchi nzima, Mgombea Urais anayesubiriwa kwa hamu kupigiwa kura na wananchi walio wengi ambapo anatarajiwa kushinda kwa zaidi ya 75%, anaendelea na kampeni ya kuomba kura za kishindo kwenye baadhi ya maeneo ya Kilimanjaro na Tanga. Kama kawaida yetu...
  16. J

    GE2020 Hii ratiba ya Tundu Lissu mikoa ya Ruvuma, Dodoma, Singida, Moshi, Tanga na Dsm kwa siku 3 ina baraka za NEC?

    Nimemsikia Tundu Lissu kupitia East Africa Radio kwamba leo ataendelea na kampeni mkoani Ruvuma kisha wataelekea Dodoma, Singida, Kilimanjaro, Tanga na kumalizia Dsm siku ya mwisho. Nauliza tu ratiba hii ya mikoa 6 ndani ya siku 3 ina baraka za NEC? Nawatakia Sabato yenye baraka. Maendeleo...
  17. S

    Ni wazi reli za Arusha na Tanga walirekebisha kutumia kodi yetu ili kujifanyia kampeni maana treni hatuzioni na sasa zimekuwa kero za faini za trafiki

    Kuna vitu vinaudhi sana. Serikali ya CCM walifanya mbwembwe nyingi kusema wanafufua huduma ya treni kwenda Arusha na Tanga. Na tukumbuke walitumia fedha yetu ya kodi, sio fedha za CCM. Sasa ni wazi kwamba yote haya walifanya kwa ajili ya kampeni waliyotaka kufanya ya maendeleo ya vitu, ili...
  18. GE2020 Mufti Mkuu wa Waislamu Sheikh Zuberi leo Korogwe mbele ya Rais Magufuli

    Mufti Mkuu leo amepewa heshima ya kufungua kwa Dua mkutano wa kampeni wa mgombea urais wa CCM na kabla ya kuanza dua amesema ana mambo mawili; 1. Kukanusha kile kinachodaiwa kuwa Waumini wa Dini ya Kiislam wana udini. ( hili linahitaji mjadala wake) 2. Amemuomba Dkt.Magufuli ajenge barabara...
  19. GE2020 Yanayojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye Mikoa ya Kilimanjaro na Tanga

    Zikiwa zimesalia siku 7 tu kukamilisha muda wa kampeni , leo tena yule Mgombea wenu Jasiri Tundu Lissu anaendelea na kampeni zake za kuomba ridhaa yenu , ambapo atamaliza kazi kwenye baadhi ya majimbo ya Kilimanjaro na baadaye kuingia Tanga. Kama kawaida yetu tutakuwepo hewani tena kuwaletea...
  20. K

    Dagaa nyama (uono) kutoka Tanga

    Kwa wale wateja wangu wa dagaa nyama toka Tanga, ninawakaribisha kuweka oda...bei imepanda kidogo....kwa jumla kg 7000, kwa rejareja 9000... Hawa ni dagaa kutoka Tanga, dagaa waliochemshwa ndipo wakakaushwa...ni watamu sana na hawana michanga hata kidogo, ni wasafi 100%. Dagaa hawa unaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…