tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU afande Hamduni anza na Tanga

    Afande Hamduni hongera sana kwa kuaminiwa. Takukuru Tanga inakila sababu ya kumulikwa kwani inaungana na wanaotuhumiwa. Wapo watumishi wasio waadilifu pale zikitolewa taarifa za rushwa wanawapa taarifa wale waliotuhumiwa. Takukuru Tanga wananunulika kwa uwazi kwani mlalamikaji anawekwa...
  2. M

    TAMISEMI njooni muondoe wezi Tanga Jiji na Mkinga

    Ninawasalimu wanajukwaa wa JF Wakati Mh.Rais akitembea na kauli mbiu ya kazi iendelee,wapo manaibu makatibu wawili wa Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) wa wilaya za Tanga Jiji na Mkinga Halmashauri kauli yao itakua wizi unaendelea. Wanafanya wizi wa dhahiri,unyanyasaji,uonevu na ukandamizaji wa...
  3. S

    Tanga na siasa za kujipendekeza

    Kule Kigoma kuna kampeni zinaendelea katika majimbo mawili likiwemo jimbo la Buhigwe. Ajabu ya siasa za nchi hii eti watumishi wanatoka kwenda kufanya kampeni huko Kigoma. Eti wametoka watu kazini wakapige kampeni mfano mkuu mmoja wa shule katika jiji la Tanga (jina lake na shule yake kwapani...
  4. S

    Baada ya uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM sasa Tanga itatulia hongera Rais Samia

    Kulikua na tetesi kwamba RC wa Tanga Martin Shigela angekua katibu mkuu wa CCM ili kuziba nafasi ya Bashiru Kakurwa. Baada ya tetesi hizo inasemekana chamani hapo Tanga ilikua ni pokopoko na nong'onong'o na vijiweni kwa jamaa au washikaji wa mtajwa wakaanza kutembea vifua mbele na mabega juu...
  5. J

    TPA: Upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo zaidi ya bandari ya Mombasa, itapokea tani milioni 2 za mizigo

    Mkurugenzi mkuu wa bandari bwana Erick amesema upanuzi wa bandari ya Tanga ukikamilika itakuwa na uwezo wa kupokea tani milioni mbili za mizigo na wataipiku bandari ya Mombasa Kenya. Erick amesema upanuzi huo umelenga kuhimili ushindani na kuzishawishi nchi nyingi zaidi kutumia bandari zetu...
  6. Pablo Blanco

    Wanawake wa Tanga ni nomaaaaa!!!! Nimenyosha mikono

    Bwana eeee nipo na mwanamke wa Tanga hapa,mwanamke ananipikia,ananiogesha,ananitawaza nikienda chooni,ananifulia mpaka boxer,mwanamke ananitiii na kuniheshimu sijawahi ona, mwanamke anajishushaaa na ananiheshimu Mimi kama baba yake,mwanamke hajawahi kunipandishia sauti,mwanamke ananilisha...
  7. N

    Fursa Kwenye Mradi wa bomba la Mafuta - Hoima Kwenda Tanga

    Ndugu wadau.. Kutokana na fursa zilizopo kwenye ujenzi wa bomba la mafuta toka Hoima kwenda Tanga.. Naomba kupata uzoefu wenu kuweza kujua namna ya kuweza kushiriki kwenye hiyo keki.. Ninahusika na biashara za bima .... ambavyo najua kutakuwa na fursa mbalimbali za kushiriki kwenye mradi...
  8. Kurunzi

    Bandari ya Bagamoyo Ijengwe au Isijengwe? Soma Makala hii Tujadili

    MIAKA sita iliyopita, Mradi wa Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo nchini Tanzania ulikuwa ukitajwa kama mmoja wa miradi ya kimkakati yenye fursa kubwa ya kuzimua uchumi wa taifa hilo. Midomoni kwa watumishi wa umma na viongozi wa serikali, neno bandari ya Bagamoyo halikutoka. Hata hivyo, miaka...
  9. Ushimen

    21 Government Jobs UTUMISHI At Tanga UWASA, April 2021

    2.7 JOB TITLE: DRIVER II - 6 POSTS 2.7.1 WORK STATION: TANGA CITY 2.7.2 DUTIES AND RESPONSIBILITIES i. To handle and drive assigned Authority‟s vehicle for official duties within Tanga City or outside Tanga City and observe all rules and guidelines according to the required legal and traffic...
  10. K

    Kabla ya Bagamoyo, Palikuwepo na mpango wa Bandari ya Mwambani, Tanga

    Bagamoyo imekuwa Bagamoyo, kisa, Kikwete alivunja ahadi ya ujenzi wa bandari Mwambani, Tanga. Sasa makelele yanasikika kila sehemu kuhusu Bagamoyo, na hakuna anayekumbuka Mwambani ilikuwaje? Eleza, Mwambani haikuwa na vigezo ilivyonavyo Bagamoyo? Ile bandari itapitisha bidhaa za Uganda...
  11. I

    Mashindano ya draft kutafuta bingwa wa mkoa Tanga, Mtaleban apewa ushindi wa mezani

    Wakuu nipo mkoani Tanga nilikuja kwa shughuli maalum ya kushuhudia pambano Kali la kutafuta bingwa wa draft mkoa tanga fainali siku ya Jana jion ilitakiwa kupigwa Kati ya bwana Mtaleban dhidi ya dogo yassin. Duru zote zilikua zinaonyesha kua bwana Mtaleban angeenda kuutema ubingwa wake wa mkoa...
  12. K

    Safari ya Mama Samia Tanga imejaa fumbo la kiimani?

    Natafakari safari ya Mama Samia kwenda Tanga, najiuliza alirejea lini Dar, najiuliza kwanini safari ya Waziri Mkuu ilifutwa ya Makamu ikawepo? Haya maswali yananifanya niamini nchi inapita kipindi kigumu ambacho ratiba za wanadamu na mipango ya wanadamu haiwezi kutimia bali mipango ya Mwenyenzi...
  13. B

    Kutoka Tanga: Tujitathmini kidemokrasia tunaweza kuwa tunapwaya

    Mabibi na mabwana hii clip inajieleza: Hii ni katika ziara ya makamu wa rais mama Samia. Huyu jirani yetu asiyekuwa mwema, kazi anayo. Maendeleo hayana vyama!
  14. J

    Mama Samia: Katika wakati muhimu Watanzania kushikamana ni wakati huu, Si wakati wa kusikiliza maneno yanayotoka nje yakatuparaganya vichwa

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu ameanza rasmi ziara ya siku 6 mkoani Tanga akianzia wilaya ya Handeni ambako anapewa taarifa ya ujenzi wa jengo la ofisi za halmashauri za wilaya ya Handeni. Tuko mubashara TBC. Updates: Madhumuni ya ziara yangu ni kuangalia miradi ya maendeleo, miradi yote...
  15. J

    Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu kesho kuanza ziara ya siku sita mkoani Tanga

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu kesho ataanza ziara ya siku sita mkoani Tanga Mkuu wa mkoa wa Tanga mh Shigekla amesema akiwa mkoani Tanga mama Samia atazindua miradi mbalimbali na programu za uwekezaji kwa wawekezaji wote. Maendeleo hayana vyama! === Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan...
  16. M

    Kama kuna Wiki Ngumu kwa Yanga SC basi ni hii kwani tayari Umafia umeshamalizwa huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili

    Waende kwa Tahadhari zote huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili kwani kwa Umafia ambao umefanyika huenda Wiki hii ikiwa Ngumu Kwao kwa Michezo yao. Nawaonea sana Huruma Kocha Kaze, Boss wa GSM Hersi na Mwenyekiti Msola. Kwa yaliyofanywa huko Watu watauwana.
  17. britanicca

    Tetesi: Martin Shigella Katibu mkuu CCM, Mwanri kuwa RC Tanga

    Mkuu wa mkoa Tanga ni Miongoni mwa Majina yaliyoko mezani kwa mkuu likiwa ndani ya majina mengine mawili yaani Harrison Mwakyembe na Asha Rose Migiro. Ila kwa wanaojua wanaona upepo unamnyemelea Shigella anakijua sana chama chetu. Hata hivo kuna Wanazuoni wawili ambao Mkuu amesema nao...
  18. Masokotz

    Naomba kufahamishwa kuhusu gharama za maisha ndani ya Jiji la Tanga

    Habari za wakati huu, Ningependa kufahamu kuhusu mji wa Tanga na gharama za maisha. Baadhi ya mambo ningependa kufahamu ni pamoja na maeneo mazuri ya kuishi kwa watu wa kipato cha chini au cha kati, Gharama za kupangisha nyumba, chumba. Gharama za chakula na malazi katika lodges na guest...
  19. Miss Zomboko

    Tanga: Nusu ya vituo vya kulelea Watoto Mchana (Day Care Centers) vinaendeshwa kinyemela pasipo taratibu muhimu za kisheria

    Serikali imesema kuwa imebaini nusu ya vituo vya kulelea Watoto Mchana (Day Care Centers), vinaendeshwa kinyemela pasipo taratibu muhimu za kisheria. Hayo yalibainika mwishoni mwa wiki wakati wa ziara ya Maofisa kutoka Wizara ya Afya-Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii, kubaini kuwa kati ya vituo...
  20. 4

    Wakati Chato tunaendelea, basi tuiboreshe na Tanganyika - Tanga

    Wana jf heshima zenu zote nilishamkabidhi mungu bila kujali, dini, chama au umri. Mheza kama waenda Tanga mjini ipo sehemu yaitwa TANGANYIKA kabla ya kufika MKANYAGENI, na kabla ya kufika BAGAMOYO, KILAPULA, PONGWE, MAWENI, KANGWE then kwa MINCHI to TANGA MJINI. Sikuwahi jua chanzo cha jina...
Back
Top Bottom