tanga

Tanga is both the name of the most northerly port city of Tanzania on the west of the Indian Ocean, and the surrounding Tanga Region. It is the regional headquarters of the region. With a population of 273,332 in 2012, Tanga is one of the largest cities in the country. It is a quiet city compared to, for example, Arusha or Moshi with a comparable number of inhabitants.
The city of Tanga sits on the Indian Ocean, near the border with Kenya. Major exports from the port of Tanga include sisal, coffee, tea, and cotton. Tanga is also an important railroad terminus, connecting much of the northern Tanzanian interior with the sea. Via the Tanzania Railways Corporation's Link Line and Central Line, Tanga is linked to the African Great Lakes region and the Tanzanian economic capital of Dar es Salaam. The city is served by Tanga Airport.
The harbour and surrounding is the centre of life in Tanga. It has several markets in several neighbourhoods.

View More On Wikipedia.org
  1. Ndoto za kuishi Tanga mjini

    Mambo vipi Wana Jamii...... back to the Point, mimi nishapita umri wa ujana. nipo jiji hapa, nimetembea tembea sana Mambo vipi? Wana Jamii. back to the Point, mimi nishapita umri wa ujana. nipo jiji hapa, nimetembea tembea sana Mbeya, Arusha Moshi Dodoma Mwanza na Tanga PLUS Unguja na...
  2. Kwenu TARURA mkoa wa Tanga

    TARURA mko wapi? Mnatufanyia kazi nzuri sana kwa barabara zetu za mitaa. Changamoto ni pale mnapokuja kudhibiti zile sehemu korofi ambazo mvua zikinyesha zinajaa maji. Mfano huku kwetu Tanga, maeneo ya kange kwa mmsai mpaka kwenda mbugani ni kero. Mmeziba njia za kwenye kona kwajili ya kuweka...
  3. J

    TBS yaendelea kutoa elimu kwa viwango vya ubora wa bidhaa wilayani Lushoto, mkoani Tanga

    Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea kutoa elimu ya viwango vya ubora wa bidhaa katika wilaya ya Lushoto ambapo imeweza kukutana na wafanyabiashara mbalimbali pamoja na wanafunzi na kuwahimiza kutumia bidhaa zenye ubora ili kuweza kumlinda mlaji. Akizungumza mara baada ya kutembelewa...
  4. Handeni, Tanga: Leo ndo hatma Polisi wanaotuhumiwa kudhalilisha Wanawake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga limesema litatoa taarifa ndani ya saa 24 kuhusu sakata la baadhi ya askari wilayani hapa kutuhumiwa kuwashika sehemu za miili wasichana na kuwalazimisha mapenzi. Akizungumza na Mwananchi kwa njia ya simu, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Blasius Chatanda alisema ni...
  5. Udhalilishaji wa Jeshi la Polisi kwa Wanawake haukubaliki

    TUNALAANI VITENDO VYA UDHALILISHAJI KIJINSIA VILIVYOFANYWA NA POLISI HANDENI, TANGA. Ngome ya Wanawake ya ACT Wazalendo imepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga kutuhumiwa kuwafanyia vitendo vya udhalilishaji kijinsia wanawake...
  6. Aibu: Yanga yakopi jezi za Plateau Utd kama zilivyo

  7. Safari ya Shaaban Robert kutoka Tanga kwenda Mpwapwa

    ABIRIA CHEO CHA PILI DARAJA yangu katika kazi sasa ilikuwa imeniwezesha kusafiri kama abiria wa cheo cha pili katika gari moshi. Mapendeleo haya yanayotamaniwa yalinijia baada ya miaka kumi na nane ya kazi serikalini. Julai 13, 1944, nilichukua tikiti, na baada ya kuagana na marafiki...
  8. TANGA: Wanafunzi wakimbia shule kisa hofu ya kuchanjwa

    Leo Rais Wa Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameongoza Viongozi wa Juu wa Serikali Kuchanjwa Chanjo ya COVID 19 Aina ya Johnson And Johnson Sasa huko Tanga wanafunzi wamekimbia Shule Hasa Hasa Wakihofia Kuchanjwa, huku wazazi wakiwaambia wasije kuchanjwa maana wataambukiza...
  9. R

    Upepo mkali Tanga Mjini

    Jana 24 na leo 25/7 kuna upepo mkali/mwingi sana. Mamlaka ya hali ya hewa toeni tamko la kitaalamu tujihami maana inatisha!
  10. Hili la bei ya mafuta kupanda lina ukakasi

    Salaam, Inashangaza bei ya mafuta ya petroli nchini Zambia kuwa nafuu kuliko hapa Tanzania. Inaeleweka Zambia hawana bandari hivyo wanapokea shehena ya mafuta kutoka Bongo, ifike wakati serikali ya CCM iwe na huruma itende haki. Hapa anaeumia sio mwenye pesa, ni mnyonge masikini wa hali ya chini.
  11. Tanga: Mbunge wa zamani Bumbuli, wenzake waachiwa huru na mahakama

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tanga imewaachia huru wakurugenzi sita wa bodi ya kiwanda cha chai cha Mponde Tea Estate akiwamo mbunge wa zamani wa Bumbuli, William Shelukindo. Wameachiwa baada ya ofisi ya Taifa ya mashtaka kufuta mashtaka ya uhujumu uchumi yaliyokuwa yakiwakabili ikieleza...
  12. S

    TAKUKURU Tanga, vipi kesi inapomaliza zaidi ya mwaka?

    Ipo kesi moja mkuu wa shule alichukua fedha, vifaa na alishirikiana na mkurugenzi wa Jiji na afisa elimu katika wizi huo. Mkuu wa shule alianzia wizi kwenye utangazaji wa zabuni na anamiliki mihuri feki na TAKUKURU wanajua. Walioshiriki kubeba vifaa vya serikali wametoa ushahidi. Wizi...
  13. Wazo la biashara mtaji wa Milioni 5 hadi 6 Mkoa wa Tanga au Dar

    Habari Naomba wazo la biashara kwa mtaji wa milioni 5 mpaka 6. Biashara gani itakidhi kwa kiwango hiki cha pesa? Uzoefu nilionao, katika maswala ya ICT kwa level ya kawaida na kazi za stationery. Shukrani.
  14. U

    Dkt Philip Mpango Mgeni Rasmi Ufunguzi Mkutano Mkuu wa BAKWATA Tanga

    Wadau wa JF Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdory Mpango atakuwa mgeni rasmi kwenye ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Mkutano huo mkuu utafanyika siku ya Jumapili Juni 27,2021 Mkoani Tanga Taarifa imetolewa na Katibu Mkuu wa...
  15. T

    Mwalimu aliyewahi kunyanyaswa na Mkurugenzi wa Tanga Jiji amefariki dunia

    Mwalimu ambaye aliwahi kudhulumiwa fedha zake za uhamisho na akajibiwa vibaya na mkurugenzi wa Tanga Jiji amefariki dunia juzi na amezikwa leo mkoani Arusha. Mwalimu huyo alinyimwa fedha za uhamisho na alipofika kwa mkurugenzi alijibiwa vibaya na kupoteza fahamu kisha kupelekwa hospitali kwa...
  16. S

    Rais Samia, unda tume huru ya kuchunguza madhila wanayopitia wananchi wa Tanga

    Waziri wa TAMISEMI Ummy Mwalimu amekua akizunguka maeneo mbalimbali akisisitiza ukusanyaji wa mapato na matumizi sahihi ya fedha hizo, amewataka viongozi waliopo chini ya wizara yake kuzingatia taratibu zote katika utumishi wa umma. Mbaya zaidi alipokua ziarani Tanga alimtolea mfano Martin...
  17. S

    NSSF Tanga badilikeni, wahudumu mnaonesha chuki kwa wateja

    Nimefika pale kuulizia huduma fulani lakini hakuna wahudumu wa kutosha (dirishani yupo mhudumu mmoja tu) foleni ni ndefu mno. Chumba kimejaa wateja lakini wahudumu wanajipitishatu na visuruali vyao, majibu yao ya hovyo. Watumishi wa hiyo ofisi wanachukulia wateja kama ombaomba. Hamjui kama kuna...
  18. T

    Katibu Mkuu CCM weka alama Tanga

    Mh. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa chama tawala,ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ukiwa ziarani Tanga ninajua sipo nje ya ajenda zako lakini ninakupa dondoo kidogo kwamba kero zilizopo Tanga ni. Migogoro ya ardhi iliyosababishwa na Shigela,Mayeji na kikosi kazi chao cha...
  19. Natafuta binti wa kazi kutoka Tanga anayejua kuendesha bodaboda

    Naitaji binti mdogo kutoka Tanga Sifa zake Ajue kuendesha Bodaboda Ajue kupika bites zote Ajue kusoma na kuandika Majukumu yake Kusafisha nyumba na mazingira Kufua na kupika sometimes nyumba ina mke na Mume tu Kulisha mbwa na kuku sio wengi na Bata bukini 4 tu Kutengeneza bites za kuuza maduka...
  20. T

    Aisome RAS wa Tanga

    Wiki mbili zilizopita iliripotiwa habari ya uvunjwaji wa kanuni katika matumizi ya fedha kwa manaibu makatibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) wa wilaya za Tanga na Mkinga. Wahusika hao wamekuwa wakisainiana hela bila kushirikisha watumishi wengine ndani ya ofisi hizo jambo ambalo ni kinyume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…