Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kulalamikia ucheleweshwaji wa Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme cha Imalilo kupitia andiko hili ~ Miaka mitano Serikali inajenga kituo cha kupozea Umeme Simiyu. Hakuna kinachoendelea, tumedanganywa? Shirika la Umeme Tanzania limetoa ufafanuzi...
Huku Arumeru umeme ni mateso vitu vimeunguzwa mpaka watu wamekata tamaa, kwa siku umeme unakatwa hata zaidi ya mara 20.
Leo wameukata tangia asubuhi bila kujua tatizo ni nini. Ni hujuma tunafanyiwa? Huu ni mwaka wa uchaguzi kuna watumishi wa umma wanaihujumu serikali na wasiwasi huyu meneja wa...
TAARIFA KWA UMMA
UHIFADHI WA TAARIFA ZA WATEJA NA MAKATIZO YA UMEME
Jumanne, 03 Juni, 2025
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuwahakikishia wananchi na wateja wake kwa ujumla kuwa taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikidai TANESCO inashirikiana na vyombo vya ulinzi na...
Nakumbuka maneno yako kwao, kwenye video clip hii:
https://youtu.be/SKQJpYmUTyM?si=WrB0APIKPuuRAP9z
Leo hii tukipiga simu tanesco emergency majibu tunayopata yanachafua roho, uzembe ni ule ule uliokuwa ukiwaasa unajirudia rudia kila kukicha.
Mtu kalipia zaidi ya miezi 2 huu unaenda wa tatu ila hakuna huduma, majibu mnayonipa ni ya hovyo huduma kwa wateja ni ya ovyo umeme kufungiwa nyumbani kwake mpaka anyooshe mkono au?
Kuna watu wameomba na kulipia mbele yangu wamefungiwa tayari mimi bado.
Ukiuliza wanakwambia tunasubiri vifaa...
Vijana wameombwa kujitafutia kipato kwa njia ya halali ili kuepusha madhara yanayo tokana na wizi kama ambavyo alivyofanya Rajabu Jumanne Mkazi wa kijiji cha Njilii Halmashauri ya Itigi Wilaya ya Manyoni aliyepigwa na shoti ya umeme na kupoteza nguvu ya kutembea baada ya kuiba baadhi ya vifaa...
Mh Rais Samia suluhu Hasan nakupa hongera kwa kusimamia utekelezaji wa ilani hasa suala la upatikanaji wa umeme wa uhakika ila kuna tatizo pia .
Tangu huyu DG mpya aingie ofisini na kuapa sisi wakati wa kiruvya, kisarawe, kwa omar,kwa sumaye ,makulunge hadi kwa masista hatuna umeme tangu...
Rais Samia ametoa maagizo mazito kwa Lazaro Jacob Twange, Mkurugenzi Mtendaji mpya wa TANESCO, akimtaka kuiongoza taasisi hiyo nyeti kwa weledi, uzalendo, na ufanisi mkubwa. Akimwelekeza rasmi kuanza majukumu, Rais Samia amesema TANESCO ni taasisi ya kimkakati inayohusiana moja kwa moja na...
Kila anashangaa kwanini umeme lazima ukatike sila siku kuanzia mijini hadi vitongojini, hata baada ya kuambiwa bwawa la Nyerere linafanyakazi Sasa, mvua zinanyesha mabwawa yote yamejaa na Tanzania tuna umeme wa geai. Katikakatika hii inasababisha hasara kubwa sana kwa watumiaji hivyo kero...
Jana May 20 ulitokea mshtuko baada ya akaunti nyingi za mitandao ya kijamii kudukuliwa kwa pamoja idadi kubwa ikiwa taasisi za Serikali. Watu hawa wametumia kurasa za mtandao wa X na youtube.
1. Mitandao hii miwili ya X na youtube inarusu third party app kustream. Mfano nataka kuweka tukio...
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linawataarifu wateja wake kuwa kuna changamoto kwenye manunuzi ya umeme (LUKU) inayosababisha wateja kushindwa kununua umeme kupitia mitandao ya simu na njia za kibenki kuanzia majira ya saa nane mchana.
Wataalamu wetu wanaendelea na jitihada za kurekebisha...
Habarini za sahizi watu wa humu jukwaani.
Mimi nina kero na TANESCO.
TANESCO msiwe mnakata umeme huku kuna watu wengine ni machizi radio vichwa vyao vimejaa stress. Umeme ukikata radio haziongei kwa hio wanaanza kuongea wao wenyewe bila kuongeleshwa na mtu.
Kwa hio jitahidini umeme msiwe mnakata.
Machi 16, 2025 kuna memba alitusaidia kufikisha ujumbe kwenye Jamii kuwa sisi Wakazi wa Chanika Zingiziwa tuna changamoto ya kutokuwa na umeme licha ya kwamba TANESCO wamekuwa wakija na kuondoka wakiwa na sababu ambazo hazieleweki.
Alichoandika Memba wa kwanza soma hapa - Wakazi wa Chanika...
Tanesco wanaproject nyingi kama za kununua umeme ethiopia na mengine.
Kuna project ilitokaga na waziri fulani sikumbuki alikazia kuwa dar umeme usambazwe chini ya ardhi.
Sasa ni kawa na waza hivi yale mafuriko ya dar,mabomba ya maji yana pasuka ovyo.
Kwa mvua hizi DAR mngechezea shoti za...
Ndugu zangu binafsi nimeshituka kwa mkuu wa wilaya kuteuliwa kua mkurugenzi mkuu wa Tanesco. Hivi huyu Lazaro Mtwange ana taaluma na uzoefu gani kwa wanaomjua?
Tanesco ni dubwasha kubwa lenye wajibu mkubwa kabisa kiuchumi na kijamii nchini. Tulitegemea mtu ndani ya Tanesco mwenye shahada japo...
Moja kati ya taasisi ya ajabu nchini ni Tanesco,uchunguzi wangu niliofanya nimegundua mambo yafuatayo!
1.Kuna mafundi au wahusika wanachezea umeme kama moto anavyochezea kibatari yaani wanakata na kuzima kata Zima kata Zima bila kujali watumiaji yaani wanafanya wanavyojisikia kuhusu umeme...
Yaani hili jambo limeanza tangu muda sana!
Punde tu kukitangazwa mabadiliko ya mkurugenzi mpya wa Tanesco huwa piga uwa karagaza kutokee hitilafu ya kiufundi kwenye manunuzi ya luku.
Je hili hutokea bahati mbaya? Au kuna watu hurejesha mifumo ya kamisheni sawa kwa ajili ya maelekezo mapya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.