tanesco

TANESCO
Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Tanesco toeni taarifa mnapokata umeme

    Mnatutia hasara sana. Kipindi cha JPM mlikuwa mnatoa taarifa siku moja kabla ya kukata umeme ,pia mlikuwa mnakwepa kukata umeme kwa kumuhofia JPM. Sasahivi kukata umeme siku nzima ni kawaida tena bila kutoa taarifa. Mnaboa sana nyie watu. I wish Mama afanye mabadiliko TANESCO kuondoa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Kuna tatizo katika mfumo wa kununua Umeme, Wataalam wanaendelea kurekebisha

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna changamoto ya umeme kupitia andiko lake ~ Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya LUKU, hii shida ni kwangu tu? Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ufafanuzi na kukiri kweli...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya LUKU, hii shida ni kwangu tu?

    Jana jioni majira ya saa 11 Jioni nilitaka kufanya malipo ya king'amuzi kupitia benki flani mtandao ukawa unagoma kukamilisha muamala huo, nikajaribu benki nyingine shida ikawa ni ileile. Nikajaribu kununua umeme shida ikawa the same kwenye benki tatu tofauti, nikajaribu kununua kwa simu pia...
  4. Secret Star

    JamiiForums Tanzania Mnaoendesha Tanesco mjitafakari sana

    Huu uzi nauandika kwa masikitiko makubwa sana! Tanzania Umeme Umekuwa ukikatika tangu miaka 60 iliyopita, hadi leo umeme bado unaendelea kukatika na natumai miaka 50 ijayo ukija Tanzania utakuta hali ni hii hii!. Leo sababu ni hii miaka 100 ijayo kutakuwa na sababu nyingine mbalimbali, ni kama...
  5. BellagioH

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya TANESCO Nyaishozi, Karagwe inatia aibu

    Hii ndio office ya Tanesco -Nyaishozi Karagwe
  6. J

    JamiiForums Tanzania UMEAHIRISHWA | IPTL: Sakata la Miongo miwili. Nini hatma yake?

    Ripoti ya CAG 2023/2024 imebainisha kuwa Shirika la Umeme la Tanzania (TANESCO) linadaiwa Tsh. Bilioni 238 na Kampuni ya Kufua Umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), Deni halisi likiwa ni Tsh. Bilioni 111 na Riba Tsh. Bilioni 127 Ilikuaje? Yapi yalikuwa makubaliano ya TANESCO na...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Mkoa wa Katavi mmepatwa na nini, mbona kila siku mnakata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku?

    Kero hii ya kukata umeme ifikapo saa mbili kasoro usiku kila siku katika mji ya Mpanda tumechoka kwani wala hatufahamu mnakata umeme kwa masirahi ya nani?. Jambo ambalo hatupendezwi nalo wala taarifa yoyote ile hamtoi kwa wakazi wa Mpanda na tunaona waziwazi hizi ni hujuma kwetu Wananchi wa...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Kwa sasa (Machi 2025), Mradi wa JNHPP unazalisha jumla ya Megawati 1880 ambazo zimeongezwa kwenye Gridi ya Umeme ya Taifa. Baada ya mashine zote tisa kukamilika, inatarajiwa kuzalisha umeme kiwango cha Megawati 2115 kwenye Gridi ya Taifa ifikapo mwezi Mei...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Sagini ameagiza TANESCO na REA kueleza vigezo vinavyotumika kuunganisha umeme kwa Sh 350,000/-

    Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini ameagiza watumishi wa Shirika la Umeme (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Wilaya ya Butiama kutoa elimu kwa wananchi wa Sirorisimba juu ya vigezo vilivyotumika mpaka kufikia kutoa huduma kwa shilingi...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maadili lawakuta na hatia Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo, Meneja TANESCO, Diwani na Msajili Msaidizi wa Hati

    Cleophas John Mziray, Hakimu Mahakama ya Mwanzo Puge mkoani Tabora akiwa mbele ya Baraza la Maadili tarehe 27 Machi, 2025 kwa tuhuma za kushindwa kuwasilisha Tamko la Raslimali na Madeni kwa Kamishna wa Maadili kwa mujibu wa sheria ya Maadili. Tuhuma ambazo Cleophas amekiri hivyo Baraza...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Viongozi 9 kufikishwa Baraza la Maadili kwa tuhuma za kukiuka Sheria ya Maadili, kuna DC, Hakimu & Meneja TANESCO

    SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma ni Taasisi inayojitegemea chini ya Ofisi ya Rais iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 132 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kutekeleza Sheria ya...
  12. Bird Watcher

    JamiiForums Tanzania Press ya Mkurugenzi wa Tanesco Vipi?

    Wakuu Tumeambiwa Mkurugenzi wa Shirika La Umeme Tanesco atazungumza Na Waandishi wa habari Kuelezea Kuhusu Mambo yaliyofanyika na yatakayofanyika Kwenye Shirika La Umeme Wamesema Muda ni saa 4:00 ila mpaka muda huu naona Kimya TANESCO
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kama umeme ukikata wakati umeenda stationary kufanya lamination, cheti au nyaraka muhimu ikaharibiwa, nani anawajibika ?

    lamination ni zoezi la kujaladia vyeti ili viwe na uimara wa muda mrefu, visiharibiwe na maji, uchafu, mikunjo, n.k. Umeenda stationery kufanya lamination (Kujaladia) cheti cha elimu, hati ya nyumba / shamba, leseni ya tenda, n.k. MARA PAAAP !! umeme unakatika, mashine yenye moto mkali...
  14. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa TANESCO Mbeya kukata Umeme mkoa wote siku nzima Jumapili wakati wa ziara ya Lissu ni tukio la kinasibu au hujuma ya Kisiasa?

    RC wa Mbeya, Zuberi Homera Wakuu: Uamuzi wa TANESCO Mbeya Kukata Umeme Mkoa Wote Siku Nzima Jumapili Wakati wa Ziara ya Lissu ni Tukio la Kinasibu au Hujuma ya Kisiasa, matumizi mabaya ya madaraka na uhalifu wa kisiasa? Hawajawahi kufanya hivyo pale Mwenyekiti wa CCM au kiongozi baki wa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO Arumeru-Arusha tumeshinda bila umeme mpaka sahivi mnataka tulale na giza?

    Hivi ni kwamba mmezoea kututesa wananchi? TANESCO wilaya ya Arumeru mkoa wa Arusha kuna tatizo mpaka mtutese hivi? Mbona hakuna taarifa? Au mmemiss kutukatia? Hizi ni hujuma na unyanyasaji. Rudisheni umeme, km kuna tatizo mbona hatuna taarifa?
  16. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tatizo la nguzo ya TANESCO kuoza mtaa wa Mavurunza, Kimara

    Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, kata ya Kimara, mtaa wa Mavurunza kwa Mtolo kanisani, tunasikitika nguzo hii imeisharipotiwa zaidi ya mara mbili kupitia huduma kwa wateja. Kila tukiripoti TANESCO Kimara wanakuja na wanesema kwa kuwa line ni kubwa wao Kimara TANESCO hawahusiki. Nakumbuka kwa mara ya...
  17. M

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO umeme usiku kucha mpaka sasa hakuna Bunju

    Shida ni nini? Juzi mnasema umeme ni mwingi kupita matumizi shida mgao. Hii kauli haieleweki kukiwa na kukatika kwa umeme kama hivi. Tutaweza kuuza umeme kwa jirani kweli kama alivyosema Rais Samia
  18. milele amina

    JamiiForums Tanzania Kuna Shida Tanesco na Polisi Katika Kuanzisha Maeneo ya Kiutawala ya Kiwilaya na Kimkoa

    Katika muktadha wa utawala wa ndani, kuna masuala kadhaa yanayoibuka hususan kuhusu uundaji wa maeneo ya kiutawala kwa idara kama Tanesco na Jeshi la Polisi. Katika mikoa ya kipolisi, kuna viongozi kama RPC (Kamanda wa Polisi wa Mkoa) na OCD (Kamanda wa Polisi wa Wilaya). Swali muhimu...
  19. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania KERO Kata Kivule na Mitaa yake umeme unakatika kila siku bila taarifa

    Wiki nzima shirika la umeme limeendelea na hujuma za kukata umeme bila taarifa na kuathiri maelfu ya wakazi hasa Dar Wilaya Ilala Kata Kivule na Mitaa yake umeme kwa siku unakatika zaidi ya mara 20 na unawaka. Dakika 2 unakwata saa zima mpaka mda huu Mitaa ya Kivule ipo gizani na hakuna...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Kuna changamoto kwenye kununua Umeme

    Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema kuna changamoto katika ununuaji wa Luku kupitia mitandao ya simu huku likitoa njia mbadala ya kupata huduma hiyo. Taarifa ya Tanesco imetolewa leo Jumapili Machi 16, 2025 na Kurugenzi ya Mawasiliano na Huduma kwa Wateja huku ikiahidi kuitatua...
Back
Top Bottom