Shirika la umeme Tanzania(TANESCO) ni shirika la umma nchini Tanzania lililoanzishwa November 26, 1931 na liliitwa 'Tanganyika Electric Supply Company Limited' kazi yake kubwa ikiwa ni kuzalisha na kusambaza umeme nchini Tanzania.
Huyu DC Kwa muda wake mwingi amefanya Shughuli za kisiasa , ukiachilia mbali Hilo, Taaluma yake na masuala ya Umeme ni Mbingu na Ardhi.
Soma Pia: Uteuzi na Uhamisho: Razaro Twange aliyekuwa Mkuu wa Wilaya Ubungo ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji TANESCO
Hiyo 9, 10 ni Uzoefu wa kuendesha...
"Hoja nyingine imekuwa ni upungufu wa wafanyakazi ambayo Waheshimiwa wabunge wameeleza, nataka nitoe tu taarifa kuwa tumepata kibali cha kuajiri watumishi 570 kwa mwaka 2024/25, utaratibu unakamilishwa, watumishi hao waweze kupangiwa majukumu yao.
Serikali pia imepanga kuajiri watumishi wengine...
Habari ndugu zangu wana jamii forum.Kuna hii ishu ya kununua nguzo za Tanesco kwa ajili ya kuunganishiwa umeme? Maswali yangu ni kama ifuatavyo.
1.Je kuna sheria inayowaruhusu kuwauzia nguzo wananchi??
2.Kama mwananchi amenunua nguzo ni sawa kuwa mali ya Tanesco??
3.Kwa nini wanawaungia watu...
Wataalam , kuna taarifa zinadai kuwa Injinia Gissima alikuwa anakwenda kuweka mambo sawa kwa maandalizi ya kipenga cha kugombea jimbo la Kwao…. Hivyo alikuwa ni Mtia Nia Taraji.
Haya mambo aliyafanya kimya kimya na ni wachache sana aliwajulisha dhamira yake ikiwemo marafiki wa karibu na...
Wakati aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme (Tanesco), Gisima Nyamo-Hanga akizikwa nyumbani kwao katika eneo la Migungani mjini Bunda mkoani Mara kufuatia ajali iliyoondoa uhai wake na dereva wake Muhajiri Haule, maswali bado yanagonga vichwa kuhusu ajali hiyo.
Miongoni mwa maswali...
Imeelezwa kuwa dereva wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Muhajiri Haule, aliyepoteza maisha katika ajali ya gari iliyosababisha pia kifo cha Mkurugenzi Mtendaji wa shirika hilo, Gissima Nyamo-Hanga, alikuwa amestaafu utumishi wa umma tangu mwaka jana.
Ajali hiyo ilitokea Aprili 13, 2025...
Tanzania lazima tujenge utamaduni wa kuhoji, sio kukubali kila tunachoambiwa, na Polisi au hata na serikali. Niliposikia juu ya hii ajali kwanza nilihoji ikiwa ajali ilitokea saa nane usiku na Mkurugenzi na dereva wote wamekufa, Polisi walijuaje dereva alikuwa anamkwepa mtu wa baiskeli?
Sasa...
Ajali ilitokea usiku wa manane, dereva na abiria wakafa hapohapo. Tunaambiwa dereva alikuwa anamkwepa mwendesha baiskeli.
Je nani alimuona huyo mwendesha baiskeli? Huyo aliyemuona alikuwa wapi?
Soma Pia: Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia
Je...
Naweza kusema katika inshu za uchaguzi mkuu, watu wakali zaidi na ambao sio wa kuchezewa ni wabunge ambao kimsingi wao hudhani Fikrani kuwa majimbo wanayoongoza ni Mali Binafsi kitu ambacho si cha kweli na mtu yeyote ambaye ataonekana kutaka jimbo hilo basi lolote limkute.
Pia katika Uwizi...
Wakuu,
Ajali iliyoenda na maisha ya Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Gissima Hanga pamoja na dereva wake imeibua maswali mengi zaidi ya kile kilichosababisha ajali hiyo.
Pia soma TANZIA - Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia
Wananchi wamefukunyua na...
Ndugu zangu Watanzania,
Kuna watu walikuwa wanauliza sana juu ya dereva aliyefariki katika ajali ambayo imechukua Maisha ya Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO.
Soma Pia: Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Gissima Nyamo-Hanga na dereva wake wafariki dunia
Wengine wakaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa...
Siku zote nimesema Polisi wa Tanzania mara nyingi sana wanatoa statement za uongo na za kutunga wao wenyewe kutokana na matakwa yao, ambayo yanaweza kuwa ni ya kisiasa pia. Hii inafanya wasiaminike kabisa kwa lolote wanalowaeleza wananchi, kwa mfano kunapokuwa na taarifa za mauaji ya polisi...
Serikali kupitia wizara ya nishati miaka 5 iliyopita ilijenga ofisi za Tanesco kupitia mfuko maalum
Kwa kigezo kwamba kuna upotevu mwingi wa fedha katika kupangisha ofisi ya Tanesco kutoka kwenye nyumba za watu binafsi.
Wakaamua kujenga ofisi kuu katika kila wilaya ili kuepusha upotevu wa...
Mhandisi Nyamohanga Gissima Mkurugenzi wa TANESCO na Dereva wake ambaye jina lake ni Muhajir Mohamed Haule, wamefariki Dunia kwenye Ajali liyyotokea saa nane Usiku wakiwa njiani kuelekea Msoma. Walikuwa wanakaribia Serengeti
Picha hapa juu ni Muhajir Mohamed Haule, Dereva wa TANESCO wakati wa...
Tanesco kuleta mfumo wa watu kununua umeme kama unalipia kingamuzi bila kuweka Token.
Shirika la umeme Tanzania Tanesco wako kwenye mchakato wa kuleta mfumo wa kisasa wa watu kuweza kununua umeme kama kifurushi bila kuingizia token kwenye Mita namba ya nyumbani kwako.
Watumiaji watakua na...
Hali Ya Umeme Mbagala Chamanzi ni zaidi ya neno "KERO", Tanesco hawajali wanakata umeme masaa 18 mfululizo mda mwingine mpaka siku mbili mfululizo kwa madai kwamba wanafanya maboresho.
Maboresho ambayo wanaporudisha tu umeme hauwi sawa, Mara Line hii ifanye kazi Nyingine Zigome! Hawana ratiba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.