connections
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 2,840
- 3,909
Wakuu tayari jina lipo mezani. Hivyo nawataarifu TANESCO mjipange mapema. Ni mwendo wa kazi na bata!
Wakuu tayari jina lipo mezani. Hivyo nawataarifu TANESCO mjipange mapema. Ni mwendo wa kazi na Bat
Wewe unayetunza siri. Umepata Teuzi ngapi mpaka sasa hivi?Haaahaa 😆 ☺️ sorry for this uteuzi hauji kwa malimbukeni na mazumbukuku wasio jua kutunza Siri Kama wewe mtoa thread.
Sina wivu ni kwa Nia njema wewe huwezi kutunza Siri hivyo hupaswi kuwa hapo ulipo Wala kupewa teuzi.
Mimi sitarajii teuzi MIMI NI CEO wa Maisha yangu.Wewe unayetunza siri. Umepata Teuzi ngapi mpaka sasa hivi?
Kwa hiyo kutunza Siri hakujakusaidia sio?Mimi sitarajii teuzi MIMI NI CEO wa Maisha yangu.
Mimi ni BOSS KUBWA ☺️😆😁 Sorry to say brother ngoja ni sign off kwenye hii THREAD YAKO.
KILA LAKHELI BWANA MNGOJA TEUZI USIYE NA SIRI.
KuibaWajipange yaani unaenda na mbinu mpya za kuzima umeme ama?
Kwa mswahili sishangai 😄Kuiba
Ova
Huyu anamharibia mtu ishu zake, si unajua maofisin watu wanawekeana sumu. Hapa mtu kaharishiwa asiteuliweHaaahaa 😆 ☺️ sorry for this uteuzi hauji kwa malimbukeni na mazumbukuku wasio jua kutunza Siri Kama wewe mtoa thread.
Sina wivu ni kwa Nia njema wewe huwezi kutunza Siri hivyo hupaswi kuwa hapo ulipo Wala kupewa teuzi.
Sahihi mkuu.Huyu anamharibia mtu ishu zake, si unajua maofisin watu wanawekeana sumu. Hapa mtu kaharishiwa asiteuliwe