Habari ndugu zangu wana jamii forum.Kuna hii ishu ya kununua nguzo za Tanesco kwa ajili ya kuunganishiwa umeme? Maswali yangu ni kama ifuatavyo.
1.Je kuna sheria inayowaruhusu kuwauzia nguzo wananchi??
2.Kama mwananchi amenunua nguzo ni sawa kuwa mali ya Tanesco??
3.Kwa nini wanawaungia watu wengine bila kumfidia aliyenunua nguzo??
Kwa maoni yangu pamoja na maoni nitakayopata kutoka kwa wataalamu naona serikali ya CCM imekuwa inatudhurumu ata kama tanesco inaongozwa na memkwa ila wanapaswa kufanya reforms kuliko kuendelea na hii dhuruma.