Maswali lukuki ajali, kifo bosi Tanesco

Maswali lukuki ajali, kifo bosi Tanesco

Elias Msuya

Platinum Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
235
Reaction score
941
nyamo-pic.jpg

491442606_17902651254115528_790029550877205909_n.jpg

Wakati aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme (Tanesco), Gisima Nyamo-Hanga akizikwa nyumbani kwao katika eneo la Migungani mjini Bunda mkoani Mara kufuatia ajali iliyoondoa uhai wake na dereva wake Muhajiri Haule, maswali bado yanagonga vichwa kuhusu ajali hiyo.

Miongoni mwa maswali hayo ni sababu ya kiongozi huyo kutumia gari binafsi kwenye safari zake akiwa na dereva wa Seripili ni kuhusu kampuni inayomiliki gari hilo, mbona ilishalalamikiwa kwa kutokuwa na sifa? Kwa nini alisafiri usiku?

Nyamo- Hanga amezikwa leo Aprili 16, wilayani Bunda katika mazishi yaliyohudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko, Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Felchesmi Mramba na viongozi mbalimbali wa Tanesco.

Nyamo- Hanga na dereva wake, Haule walifariki dunia usiku wa kuamkia Jumapili, Aprili 13, 2025 katika eneo la Nyatwali, baada ya gari walilokuwa wamepakia aina ya Toyota Land Cruiser kugongana uso kwa uso na wakati dereva huyo akijaribu kuikwepa baiskeli iliyokuwa mbele yake.

Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara, Pius Lutumo, chanzo cha ajali hiyo ni baada ya dereva wa gari hilo aina ya Toyota Land Cruiser, kumkwepa mwendesha baiskeli na kupoteza uelekeo na kugongana uso kwa uso na lori lililokuwa mbele yao.

Baada ya ajali hiyo kutokea, picha zilizoonekana mitandaoni zilionyesha likiwa na kibao chenye namba za usajili T385 EHM. Gari hilo jeupe la mwaka 2023 pia limefukuliwa taarifa zake mitandaoni likionyesha kuwa linamilikiwa na kampuni ya TBEA Company Limited.

Kampuni ambayo imepewa zabuni na Tanesco na ilikuwa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) ya 2022/23 kutokana na kutokuwa na vigezo vya kupewa zabuni hiyo.

Soma pia: Utata kifo cha Nyamo-Hanga

Gazeti la Mwananchi katika ukurasa wake wa Instagram Aprili 17, 2024 liliripoti kuwa Tanesco ilidaiwa kutoa zabuni ya Sh53.71 bilioni kwa kampuni TBEA CO LTD isiyo na vigezo kwa ajili ya kusanifu, kuleta, kusimika na kuzindua kituo kidogo cha umeme wakati kampuni hiyo haina vigezo.

Hayo yalielezwa katika Ripoti ya Ukaguzi wa Mashirika ya Umma ya Mkaguzi na Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2022/23 iliyowasilishwa bungeni jana Aprili 15, 2024.

Alipoulizwa na Mwananchi Aprili 16, 2024, Msemaji wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Kenneth Boymanda alisema kilichomo ndani ya ripoti hiyo ni hoja za CAG na kwamba shirika hilo linaandaa majibu yake.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo, Tanesco iliingia mkataba na kampuni hiyo Juni 2, 2023 kwa ajili ya kusanifu, kuleta, kusimika na kuzindua kituo kidogo cha umeme Dundani cha 220/33Kv, 2x120MVA kwa bei ya mkataba ya Sh53.71 bilioni.

“Mkurugenzi wa Tanesco kutembelea gari la kampuni hiyo ni favors wanazopata kwa kutoa tenda hizo kinyume na taratibu? Tunaomba serikali itupatie majibu,” amesema mmoja wa wadau katika jukwaa la Jamii Forums.

Mdau mwingine katika jukwaa hilo alihoji sababu za kiongozi huyo kusafiri usiku, akisema ni hatari.

“Kuendesha Gari usiku ni hatari sana kwa dereva, abiria, chombo chenyewe na watumiaji wengine wa barabara. Ndio maana kwenye taasisi zinazoongozwa na watu wenye akili wanakuwa na kitu kinaitwa journey management kabla ya kuanza safari yoyote.

“Anaonyesha safari itaanza asubuhi ya saa ngapi, mtapita njia ipi? Barabara mtakayoitumia ikoje? Mtakula wapi? Mtalala wapi?”
 
View attachment 3306487
View attachment 3306484

Kwani wewe ukiwa DG huwezi kuomba msaada wa gari kwa ajili ya safari zako binafsi? aliona afanye hivyo asitie hasara shiriika. Kuhusu dereva, hayo ni mahusiano yao binafsi hasa ukizingatia ilikuwa ni week end. Acheni speculation na mumuache Engineer apumzike kwa amani.
 
Huyu boss ameacha watoto 15 wote hawana baba mzazi kwa sasa hii inaashiria boss alikuwa na wanawake wengi sana na alipenda sketi

Pili alitumia gari la kampuni ya TBEA kampuni ambayo CAG alisema haina uhalali

Hiki kifo kinaacha funzo kubwa...!
 
Kwa bahati mbaya sana ajali imefukua mengi, ijulikane tu kuwa hali ndiyo hiyo
 
Huyu boss ameacha watoto 15 wote hawana baba mzazi kwa sasa hii inaashiria boss alikuwa na wanawake wengi sana na alipenda sketi

Pili alitumia gari la kampuni ya TBEA kampuni ambayo CAG alisema haina uhalali

Hiki kifo kinaacha funzo kubwa...!

Wakurya na wajaluo Ni kawaida kwao kutembea wakiwa hawajavaa chupi saa yoyote mzigo unaliwa si kwa wanawake wala wanaume
 
Back
Top Bottom