tanapa

The Tanzania National Parks Authority commonly known as TANAPA is responsible for the management of Tanzania's national parks. TANAPA is a parastatal corporation and all its income is reinvested into the organization. It is governed by a number of instruments including the National Parks Act, Chapter 282 of the 2002 and the Wildlife Conservation Act No. 5 of 2009. TANAPA manages the nation's 22 National parks which covers approximately 15% of the land area and has the mandate to conserve and manage the wildlife in Tanzania, and to enforce the related laws and regulations in this industry. It manages the biodiversity of the country, protecting and conserving the flora and fauna. The organization does not have a mandate over the game reserves such as the Selous Game Reserve which is managed by the Tanzanian Wildlife Division and the Ngorongoro Conservation Area managed by the Ngorongoro Conservation Authority.The Arusha Manifesto gave the initial foundation for the expansion of the Tanzanian National Park authority and an increase in protected areas in the country, as of December 2015 parks, reserves and conservation areas cover about 14% percent of the land. Currently TANAPA is governed by the National Parks Ordinance Chapter 282 of the 2002 and manages 22 national parks.

View More On Wikipedia.org
  1. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania TANAPA ni shida Wanawaonea sana Wafugaji, Mbunge Musukuma anasema kweli

    Nimesikiliza na kuangalia Bunge kuhusu utendaji kazi wa baadhi ya maafisa wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) bila shaka Serikali inatakiwa kuangalia taasisi hii au mamlaka hii.
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hongera Mwakilema kwa kupandishwa kutoka Kamishna TANAPA hadi kuwa Mkuu wa Wilaya

    William Simon Mwakilema alikuwa ndio Kamishna wa Uhifadhi TANAPA , sasa leo Mh Rais amempandisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga , akiwa ndiye Mrithi wa Jokate ambaye ameondolewa serikalini na kupelekwa CCM , kwenye ukatibu mkuu wa UWT . Nachukua nafasi hii kumpongeza Mwakilema kwa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Majangili wajeruhi Askari wawili wa TANAPA katika Hifadhi ya Burigi Chato

    Jeshi la Uhifadhi -TANAPA wakitekeleza majukumu yao ya Ulinzi wa Rasilimali za Taifa katika Hifadhi ya Taifa Burigi-Chato walibaini ujangili wa nyama na kufanikiwa kukamata majangili wawili kati ya watatu waliokuwa wakiwinda hifadhini. Aidha, katika jitihada za kuwakamata majangili hao askari...
  4. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Askari wa Uhifadhi TANAPA afariki kwa kugongwa na Nyati katika Hifadhi ya Taifa Mkomazi

    Kamishna wa Uhifadhi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), William Mwakilema amesema kifo cha Askari huyo wa Uhifadhi Daraja la Tatu, Samwel Edward Nassari kimetokea Agosti Mosi, 2023 eneo la Mbula katika Hifadhi ya Taifa ya Mkomazi wakati akitekeleza majukumu yake ya ulinzi Hifadhi...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANAPA yajipanga kukusanya Bilioni 343.8, Sasa Wanyama kupewa Majina ya Watu kwa gharama ya Milioni 5

    Dodoma. Baada ya wanyama kupewa majina ya watu maarufu wa nje ya nchi, Shirika la Hifadhi za Taifa za Tanzania (Tanapa) limeanzisha utaratibu maalum wa kuwezesha watu wanaotaka baadhi ya wanyama waitwe majina yao kufanya hivyo lakini kwa kulipia Sh5 milioni. Utaratibu huo nakuja baada ya...
  6. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Huduma mitandao ya Serikali sio Timilivu

    Je, ulishawahi kutembelea tovuti gani ya taasisi ya kiserikali?Ni kweli kuna watu wako nyuma ya mifumo hiyo na wajibu wao ni kutufikishia huduma nzuri ya mtandaoni. Inasikitisha wakati ambapo dunia inaendeshwa kwa njia za kisasa za mtandaoni lakini Platforms zilizo chini ya Serikali hazitoi...
  7. Hovering

    JamiiForums Tanzania Kwa Waombaji Ajira Tanapa

    Salaam wadau, Kwa tuliosoma tangazo la nafasi za kazi Tanapa na kulielewa vizuri. Tafadhali nitofautishie tofauti kati ya post 14 za WILDLIFE LAW ENFORCEMENT na post 90 za WILDLIFE LAW ENFORCEMENT (rangers). Labda tuanzie hapa, Je wote wanatakiwa kuwa na cheti cha Jkt? Inaongeza advantage...
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania TANAPA yatangaza nafasi za ajira

    Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) limetangaza nafasi za ajira 166 kwa nafasi mbalimbali. Kiambatanisho kipo chini kwa taarifa zaidi ==== THE UNITED REPUBLIC OFTANZANIA PRESIDENT’S OFFICE PUBLIC SERVICE RECRUITMENT SECRETARIAT Ref.No.JA.9/259/01/A/306...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la TANAPA ni lazima Waziri wa Maliasili ajiuzulu

    Poleni sana wana Mbarali, Jana nimemfuatilia Mbunge wa Mbarali Mtega akielezea kwa huzuni kubwa jinsi Watumishi wa TANAPA walivyowatesa wananchi wa vijiji vinanvyopakana na hifadhi kwa kuwachapa na kuwavua wanawake nguo zao na kubaki uchi, kuwapiga mbuzi na mbwa kwa risasi za moto na kuwauwa...
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Askari TANAPA wadaiwa kuwavua nguo wanawake wafugaji na kuwababua kwa mapanga ya moto mwili mzima

    Kuna habari toka bungemi inaeleza kwamba kuna Askari wa TANAPA wamevamia wanachi kwa helicopter kwa madai wapo kwenye hifadhi, ambapo wameporw ng’ombe zaidi ya 200, pia wamepiga raia kiasi cha wengine kuwa mahututi, pia wamefanya ukatili wa kuwavua nguo wanawake hadi uchi wa mnyama, kisha...
  11. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania TANAPA yasema mvua zimeharibu Daraja la Marera katika Lango Kuu la Hifadhi ya Taifa Ziwa Manyara

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limesema uharibifu huo umetokea katika Daraja la Marera lililopo Kilometa 2.3 kutoka lango kuu la Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Manyara, TANAPA imeeleza kuwa jitihada zinaendelea kurekebisha daraja hilo na miundombinu mingine.
  12. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla ajitetea kuwa yeye sio fisadi na hakula pesa za Umma. Yupo tayari kula kiapo kwa Quran hadharani

    Amefunguka 👇 ==== Alichokisema Hamis Kigwangalla katika majadiliano ClubHouse Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini, Dkt. Hamis Kigwangalla amezungumza kwenye majadiliano ya Clubhouse na kuelezea msimamo wake kuhusu suala la kuapa kwa kutumia Quran na kashfa za rushwa zinazomkabili. Akizungumza...
  13. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Napendekeza mfumo wa booking TANAPA utumike NCAA

    Kwa wale wanaotumia hii mifumo miwili watakubaliana kuwa mfumo wa TANAPA ni wa kisasa na rafiki kuutumia wakati wote wa taratibu za booking za wageni ukilinganisha na wa NCAA Ukiangalia kwa makini unaweza kuona kuwa hii mifumo inafanana pengine kwa 95% hivyo ilikuwa kuboresha tu kidogo kuruhusu...
  14. babu M

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Antony Diallo, George Waitara wateuliwa Uenyekiti TANAPA na TFRA

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Mkuu wa Majeshi Mstaafu George Marwa Waitara kwa kipindi kingine kuendelea kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Shirika la Hifadhi Tanzania (TANAPA) Anthony Diallo ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Askari Tanapa auawa kwa kuchomwa mshale wenye sumu

    Afisa uhifadhi wa wanyamapori daraja la kwanza wa hifadhi ya Taifa ya Serengeri, Deus Mwakajegele ameuawa kwa kuchomwa mshale na watu wasiojulikana alipokuwa akitekeleza majukumu yake. Tukio hilo limetokea jana Jumamosi Januari 21, 2023 katika eneo la Nyanungu wilayani Tarime baada ya kuchomwa...
  16. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Tafadhali TANAPA angalieni hali ya vyoo vya umma Serengeti na Ngorongoro Crater

    Hichi ndicho mgeni anakutana nacho pale anapotaka kuoga au kutumia public toilet kwenye campsite, ni tatizo kubwa kwa image ya nchi yetu,,,, Bar wanawezakuweka mtu wa usafi chooni ila Tanapa na Ngorongoro mnashindwa kweli au mko busy na mambo mengine?
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANAPA: Ripoti imebaini chanzo cha moto Mlima Kilimanjaro ni shughuli za kibinadamu

    Kamishna William Mwakilema Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetoa ripoti ya kukamilisha uzimaji wa moto uliotokea kwenye maeneo ya Mlima Kilimanjaro huku wakibainisha kuwa taarifa za awali zimebaini kuwa chanzo cha moto ni shughuli za kibinadam. Kitengo cha usalama cha TANAPA...
  18. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nilivyopata pesa nyingi nilipokuwa askari wa TANAPA

    Hello Nilivyomaliza kidato cha 6 kulingana na hali yangu ilinilazimu nikatae na kusitisha mipango ya kusoma chuo kikuu. Target yangu ni kufukuzia ajira za uhamiaji, TISS au PCCB. Yaani nilikuwa naota taasisi hizo tu. Sasa kulingana na maisha ya kifukara na uyatima (Mimi si yatima kabisa nina...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shelutete na Lema wang'olewa TANAPA

    Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limetangaza ukomo wa utumishi wa maofisa wake wawili kwa sababu ambazo hazijawekwa bayana. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma, watumishi hao ni Kamishna Mwandamizi wa Uhifadhi, Pascal Shelutete na Ofisa Uhifadhi Mwandamizi, Justin Lema na...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa mwezi July 2022 tu, Tanapa yakusanya mapato ya Bilioni 47 kutokana na Utalii

    Haya yamesemwa Leo na Kamishna Mkuu wa Uhifadhi TANAPA William Mwakilema huko Mbeya. Kwa mwezi mmoja tu wa July 2022 Tanzania imepokea Watalii 235,000 ambapo wamekusanya mapato ya Bilioni 47. Hizi Fedha ni nje na Fedha walizolipa watalii kwenye mahoteli na kununua bidhaa mbalimbali Kwa...
Back
Top Bottom