The Tanzania National Parks Authority commonly known as TANAPA is responsible for the management of Tanzania's national parks. TANAPA is a parastatal corporation and all its income is reinvested into the organization. It is governed by a number of instruments including the National Parks Act, Chapter 282 of the 2002 and the Wildlife Conservation Act No. 5 of 2009. TANAPA manages the nation's 22 National parks which covers approximately 15% of the land area and has the mandate to conserve and manage the wildlife in Tanzania, and to enforce the related laws and regulations in this industry. It manages the biodiversity of the country, protecting and conserving the flora and fauna. The organization does not have a mandate over the game reserves such as the Selous Game Reserve which is managed by the Tanzanian Wildlife Division and the Ngorongoro Conservation Area managed by the Ngorongoro Conservation Authority.The Arusha Manifesto gave the initial foundation for the expansion of the Tanzanian National Park authority and an increase in protected areas in the country, as of December 2015 parks, reserves and conservation areas cover about 14% percent of the land. Currently TANAPA is governed by the National Parks Ordinance Chapter 282 of the 2002 and manages 22 national parks.
Sote tunafahamu umuhimu wa utalii kwenye kuchangia pato katika uchumi wa nchi yetu. Hivyo basi, panapotokea taharuki inayoweza kusababisha kupungua kwa idadi ya watalii, anayesambaza hiyo taharuki ni sawa na mhujumu uchumi tu.
Sasa kulikuwa na haja gani kwa hawa watu wawili kupiga makelele na...
TANAPA mnashindwa kuwa service conscious, mnashindwa kuwa time conscious na mnashindwa kufanya maamuzi sahihi linapotokea tatizo, wageni wamekaa siku nzima getini eti kisa mifumo wa malipo haufanyi kazi?
Mgeni kalipa flight, kalipa visa, kalipa accomodations, kalipa gari, kalipa park fees na...
Wakuu habari za Asubuhi.
TANAPA wametoa majina ya interview na tarehe husika mdogo wangu ameoangiwa kuifanya hifadhi ya mto wa mbu karatu Arusha kwa post ya udereva please mwenye ujuzi wowote wa namna interview hizo zinakuwa naomba aseme hapa kupata Ushauri.
0742896907
Kunachangamoto ya moto imekuwepo Serengeti mwezi wote wa sita na sasa hivi inaendelea hasa maeneo ya North(Kogatende) wakati huu ambapo ndio msimu wa utalii upo juu (peak)
Tunajua huwa TANAPA wanachoma kila mwaka mwezi wa tatu hadi wa tano ila baada ya mvua kuendelea hadi msimu wa utalii...
Alhamisi, Aprili 25, 2024
Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) linajenga Hoteli ya Kitalii ya nyota tano wilayani Chato, mkoani Geita, yenye lengo la kuvutia watalii katika hifadhi za mwambao huo zikiwemo za Burigi-Chato na ile ya Kisiwa cha Rubondo.
Chato. Ujenzi wa Hoteli ya Kitalii ya nyota...
KAMPENI YA “VOTE NOW” YAZINDULIWA TANAPA
Na Edmund Salaho/Arusha.
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) limezindua kampeni mahususi ya kupigia kura vivutio vyake viwili ambavyo ni Hifadhi ya Taifa Serengeti na Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro ambavyo vinashindanishwa kama vivutio bora...
TAARIFA KWA UMMA
KUFUNGA KWA MUDA KWA AERODROMES
Hii ni kuwafahamisha waendeshaji wa ndege katika Hifadhi za Taifa na Umma kwa ujumla kuwa kutokana na sababu za kiutendaji, viwanja vya ndege vifuatavyo vimefungwa kwa muda hadi tarehe 20 Mei 2024 (Serengeti Kusini), 1 Julai 2024 (Lobo) na 1...
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA), limefanikiwa kuongeza mapato katika kipindi cha miaka mitatu kutoka shilingi 174,715,158,494 kwa mwaka wa fedha 2021/2022 hadi kufikia shilingi 337,424,076,896 kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023.
Akizungumza Machi 21, 2024 Jijini Dar es Salaam katika...
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Laban Thomas amewahimiza Watanzania na wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali kuwekeza katika maeneo ya Malikale ambazo zimetunza historia maridhawa ya nchi yetu, Aliyasema hayo leo tarehe 27.02.2024 katika Kilele cha Tamasha la Kumbukizi ya Mashujaa wa Vita vya...
Waziri Kairuki Atoa Maagizo Mazito kwa TANAPA Kwenye Uapicho wa Kamishina Kuji
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki ametoa maelekezo mazito kwa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) na kulitaka libadilike ili liweze kuchangia ipasavyo kwenye uchumi wa taifa kuipitia...
Kamishna Kuji atoa maelekezo mahususi Serengeti
Na Edmund Salaho/Serengeti.
Kamishna wa Uhifadhi - TANAPA Juma Kuji leo amefanya ziara ya kukagua miundombinu katika Hifadhi ya Taifa Serengeti na kuiagiza Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Serengeti kushughulikia mara moja maeneo korofi ya...
TAARIFA KWA UMMA
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) linatoa taarifa kwa wadau wa utalii na umma kwa ujumla kwamba linafunga kipande cha njia cha "ARROW GLACIER" ambacho hutumika na baadhi ya wageni wanaopanda Mlima Kilimanjaro kupitia njia ya Machame, Umbwe, Lemosho na Londorosi...
Serikali ya Nigeria imeharibu Tani 2.5 za Meno ya Tembo zenye thamani ya zaidi ya Dola Milioni 11.2 (Tsh. Bilioni 28) ikiwa ni sehemu ya harakati za kulinda idadi ya Tembo inayopungua dhidi ya Walanguzi wa Wanyamapori waliokithiri.
Ndani ya kipindi cha miongo mitatu iliyopita, idadi ya Tembo...
Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) wamewasili Visiwani Zanzibar kushiriki kwa mara ya kwanza Maonesho ya Biashara ya Kimataifa yaliyofunguliwa tarehe 10.01.2024 na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussen Ali Mwinyi eneo la Dimani - Fumba Zanzibar ili kunadi...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na utenguzi wa viongozi kama ifuatavyo:
1. Amemteua Dkt. Athuman Kihamia kuwa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART). Dkt. Kihamia aliwahi kuwa Katibu Tawala wa Mkoa...
Nimesikiliza na kuangalia Bunge kuhusu utendaji kazi wa baadhi ya maafisa wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) bila shaka Serikali inatakiwa kuangalia taasisi hii au mamlaka hii.
William Simon Mwakilema alikuwa ndio Kamishna wa Uhifadhi TANAPA , sasa leo Mh Rais amempandisha kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga , akiwa ndiye Mrithi wa Jokate ambaye ameondolewa serikalini na kupelekwa CCM , kwenye ukatibu mkuu wa UWT .
Nachukua nafasi hii kumpongeza Mwakilema kwa...
Jeshi la Uhifadhi -TANAPA wakitekeleza majukumu yao ya Ulinzi wa Rasilimali za Taifa katika Hifadhi ya Taifa Burigi-Chato walibaini ujangili wa nyama na kufanikiwa kukamata majangili wawili kati ya watatu waliokuwa wakiwinda hifadhini.
Aidha, katika jitihada za kuwakamata majangili hao askari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.