Mwl Mwakujonga
JF-Expert Member
- Jun 29, 2023
- 351
- 685
Nimekuwa nikukutana na picha za watumishi wa sherikali hasa wakiposti maeneo mbalimbali ya nchi ya vijijini na changamoto za miundombinu zilivyo
Na kuna wengine wanafikia kusema huko mimi siwezi kufanya kazi huko, mara hoo uko watu wanaishije nk
Lile vumbi ambalo unaliona wewe leo linaweza kuwa utajiri wako kesho
Kuna mtendaji mmoja alipangiwa eneo mmoja katika mikoa ya dhahabu , kipindi anakwenda kule katika kituop chake alilalamika sana na kuomba sana kwa Mkurugenzi kupata nafasi ya kuamia mjini pasipo mafaniko
Miaka ilisogea miaka ikaenda baadae eneo ambalo alikuwa anafanyia kazi kukabainika kuna dhahabu , na yeye akapata nafasi ya kuingia katika shughuli za uchombaji
Miaka imeeanda baadae akajakufanikiwa katika biashara hiyo ya madini hadi sasa ni mchimbaji mkubwa sana wa madini na pesa aliyonayo kwa sasa ni pesa ndefu kweli na hataki hata kuahama
Kwa hiyo usijekudharau eneo ambalo ujui , wala usije kudangaywa na taarifa za watu
Tumia changamoto kuwa fursa yale maenoe ambayo unaskia yanauzwa laki tano au milioni we nunua tu ayo mashamba hiko siku wanao kucheka watakushangaa
Angalia fursa zinazokuzunguka, wale wazee wetu ambao walikuwa dar miaka 70s ukiwauliza dar ilikuwaje utashangaa kwamba kulikuwa na mapori lakini leo hii maisha yamebadilika
Usiwe na mawazo ya leo fikiria miaka 10 au 20 ijayo hiyo fedha ambazo unapata kutoka na gharama za maisha kuwa za chinu wekeza katika kitu kingine
Kuna dada mmoja alipangiwa ualimu maeneo ya kijijini, yule binti aliona fursa akaanza kulima mpunga ,baada ya miaka kadhaa aliweza kukuasanya kaisi cha sh milioni 80, fedha ambayo ni sawa na mafao yake.
Usidharau fursa zilizoko kijijini, shukuru Mungu kwa kupata kazi , wengine hiyo kazi wanaitamani kuipata hiyo kazi.