Mimi ni Mwalimu ambaye nimeajiriwa chini ya mradi wa GPE-TSP Mjini Musoma ambao unasimamiwa na TAMISEMI, tangazo la kuitwa kazini lilitutaka turipoti kuanzia 18/8/2025 na mwisho ilikuwa 31/8/2025.
Walimu wapatao 544 tuliripoti kwa awamu ya kwanza katika vituo tulivyopangiwa, na kuanza majukumu...
Kuna uozo Mkubwa sana unaendelea Tamisemi kupitia halmashauri zetu Kuna pesa za idara OC Zinaliwa juu Kwa juu haziwafikii wahusika.
Kuna ukiritimba mwingi sana Imagine HR wa Halmashaurj anasema amekuajiri yeye anaweza kukufukuza kazi.
Mfumo wa kuthibitisha watu kazini ni mbovu unaweza jikuta...
Wakuu poleni na kazi
Naitaji msaada wa mwanaJF yeyote ambae anafanya kazi wizara ya TAMISEMI
Nina Jambo langu moja nahitaji msaada wa kujua.
Naomba anipm kama yupo.
Watumishi wa TAMISEMI mmefikiwa huku
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa amewataka watumishi wote waliopo chini ya Tamisemi nchi nzima kuzingatia muda wa kuripoti na kudumu kazini kulingana na kanuni za kudumu za utumishi wa umma.
Amesema watumishi wanapaswa kufika...
Kumekuwepo na migogoro ya ardhi ambayo inatokana na wananchi kununua maeneo ambayo yameuzwa kwa watu wengine, kuuziwa maeneo yaliyotengwa kwa shughuli maalum (open spaces). Hali hii inatokana na ugumu wa wananchi kupata taarifa sahihi za umiliki wa maeneo hayo kupitia ofisi za ardhi, ambapo...
Halmashauri ya Jiji la Mwanza imemzawadia Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Nsumba, Denis Mwakisimba, gari aina ya Toyota IST kutokana na mchango wake mkubwa katika kuinua kiwango cha ufaulu wa shule hiyo, ambayo imeendelea kufanya vizuri kwa mfululizo.
Soma pia: Wakuu wa shule...
Data za elimu ziko TAMISEMI kwenye kiungo cha Basic Education Statistics (BEST). Nimejaribu kuingia kuangalia kitu lakini data zote zinaonesha kuna shida.
Hebu jaribuni kuongea na webmaster wa Open University atuwekee data tuendelee na analysis.
Jaribu kuangali data za BEST hapa Allbest | PO-RALG
Waziri wa TAMISEMI ingilia kati rushwa na upigaji utoaji wa fedha za kujikimu kwa ajira mpya.
Ukifuatilia Halmashauri mara kwa mara wanakulipa cha kushangaza ni kwamba unapewa fedha pungufu wengi wamelipwa Tsh. 150,000.
Asilimia kubwa tangu January na February ajira mpya bado hawajalipwa...
Kilio kifike kwa Serikali, kuna changamoto kubwa ya uhamisho wa sisi Watumishi katika sekta ya Ualimu, hasa tunaofanya mchakato wa kuhama ili kuwafuata wenza wetu, wapo pia wanaoomba uhamisho kwa sababu nyingine tofauti.
Tunaelekezwa kuwa tutumie mfumo wa ESS, wengi wetu tumezingatia hilo...
Katika shule nyingi, hasa za msingi, kumeanzishwa utaratibu wa kutoza michango ya kila siku kwa ajili ya mitihani. Kila siku michango hiyo hutozwa kuanzia Shilingi 300 hadi 1,000 kwa kila Mwanafunzi.
Mtindo huu kwa sasa umekuwa kama fasheni katika shule nyingi, hasa kwenye madarasa yenye...
Wafanyakazi 11 wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kigamboni wakikabiliwa na mashtaka mbalimbali, yakiwemo ya uhujumu uchumi na kusababisha hasara ya Shilingi 169,617,520 kwa Ofisi ya Rais – TAMISEMI.
Kesi hiyo imetajwa leo, Juni 24, 2025, mbele ya...
Hali si shwari huko mashuleni ambapo inadaiwa kwa miezi miwili serikali haijatuma fedha za elimu bila malipo . Wazabuni, walinzi na watoa huduma mbalimbali mashuleni wanadai malipo yao huku walimu wakuu wasijue la kufanya.
Natamani kupata maoni ya wadau kuhusiana na hili jambo, kwa mwaka huu kuna wimbi kubwa sana lam watoto wa walalahoi kupangiwa kujiunga na vyuo vya kati kwa kipindi kisichopunguwa miaka mitatu, kwa maana mwaka mmoja Certificate na mwaka wa pili Diploma.
Hili ni jambo jema swali langu ikiwa...
Mimi ni Mtumishi X kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Singida, kumekuwa na tatizo la Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kushikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI.
Mtumishi akienda kudai wanatoa maneno makali au wakisema kuwa barua hizo bado hazijawafikia...
Ni jambo la kawaida kwa mujibu wa mitaala ya elimu nchini wanafunzi wa shule za secondari na shule za msingi kuwa na likizo ya mwezi mmoja kati ya mwezi wa sita hadi wa saba.Hata hivyo , kuna baadhi ya shule zimetoa likizo ya wiki moja tu.
Hakuna asietaka mwanafunzi kuwa na ufaulu mzuri, lakini...
“Serikali itaendelea kutenga fedha kwa ajili ya kulipa posho za waheshimiwa madiwani, posho za waheshimiwa wenyeviti wa Serikali za vijiji na mitaa, lakini tutaendelea kuona uwezekano kwa kadri ya uwezo wa serikali, namna ambavyo halmashauri zitaboresha posho za wenyeviti wa vijiji.” – Dkt...
SERIKALI imesema mahitaji ya walimu wa masomo ya sayansi na Hisabati ni walimu 47,354, waliopo ni 30,044 na upungufu ni walimu 17,312.
Hayo yameelezwa leo bungeni Mei 29,2025 na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,(TAMISEMI) Zainabu Katimba wakati akijibu swali la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.