tamisemi

  1. Enthusiastic

    JamiiForums Tanzania KM OWM - TAMISEMI: Kuna shida gani kuruhusu uhamisho wa kufuata Mwenza?

    Kuna ule msemo unaosema "ajira ni utumwa" kuna ukweli katika msemo huu sana sana kwa TAMISEMI na OR-Utumishi. 1. Hawajali kabisa ustawi wa mtumishi. Mtumishi hawezi kuwa na utulivu kazini kama yuko mbali na Mwenza tena kwa kazi yenye mshahara tu bila marupurupu. 2. Kuna kisingizio cha msawazo...
  2. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe: Madiwani kuweni wanyenyekevu kwa Wananchi

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amewataka Madiwani nchini kuwa wanyenyekevu kwa wananchi katika kuwatumikia na kuwaletea maendeleo. Prof. Shemdoe ametoa wito huo kwa Madiwani hao leo, wakati akimuwakilisha Waziri Mkuu...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kama unafanya kazi chini ya Tamisemi (Halmashauri), sema neno lolote kwenye uzi huu

    Weka neno, pita zako Twende kazi…
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI upande wa LGA hawajali maslahi ya watumishi wao

    TAMISEMI hasa upande wa LGA Hawajali masilahi ya Watumishi wao kila siku watu wanalamika hakuna majibu yanayojibiwa. Tasisi zote zilizo na miradi ya Ujenzi Kuna hela inakuwepo kwa ajili ya wasimamizi wa miradi na inawifikia wahusika ambazo asilimia kubwa ni wahandisi. Kwa upande wa LGA miradi...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Waziri wa TAMISEMI na UCHUKUZI(TANROAD) na RC Chalamila mmekubari kuanzisha Dampo karibu na shule ya msingi mbezi mwisho.

    Karibu na roundabout ya Goba eneo la mbezi mwisho mita 6-8 kutoka ilipo shule ya msingi mbezi mwisho [ENEO LA HIFADHI ] ya barabara kuna dampo kubwa jipya linalokuwa kwa kadi na kuvutia watupaji wa taka kutoka maeneo ya Kimara na mbezi huku likihatarisha usalama wa wanafunzi, kituo cha afya na...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe aongoza Watumishi TAMISEMI kupanda miti kuadhimisha Siku ya Kuzaliwa Rais Dkt. Samia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM -TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewaongoza viongozi na watumishi wa ofisi hiyo, kupanda miti katika viwanja vya OWM- TAMISEMI Mtumba, ikiwa ni ishara ya kumuunga mkono Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  7. jiwe angavu

    JamiiForums Tanzania Nashauri OWM-Tamisemi ifungue ofisi za kanda watumishi wa umma chini ya Tamisemi ni kama mayatima

    Solidarity forever. Kumekua na malalamiko mengi sana ya watumishi wa umma hasa waliochini ya OWM-TAMISEMI kunyimwa stahiki zao na haki zao za msingi kama fedha za kujikimu,uhamisho,fedha za likizo n.k Hii hupelekea kukosa msaada kutoka kwa waajiri wao ambao wengi hawao hawawajari wala...
  8. HeCityhunter

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI tangu Watangaze nafasi za kujitolea kwa walimu wa sayansi mpaka leo Kuna account unaambiwa user account is locked

    Tamisemi tokea Watangaze nafasi za kujitolea kwa walimu wa sayansi mpaka Leo hii Kuna account ukiingia unaambiwa user account is locked Ukiwapigia simu na wao hawaelew tena mmoja kaniambia tafuta namna ya kufanya maana sisi huku hatuna shida.
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu tulioajiriwa chini ya Mradi wa GPE-TSP unaosimamiwa na TAMISEMI tuna hali mbaya kimaslahi, hatujalipwa

    Mimi ni Mwalimu ambaye nimeajiriwa chini ya mradi wa GPE-TSP Mjini Musoma ambao unasimamiwa na TAMISEMI, tangazo la kuitwa kazini lilitutaka turipoti kuanzia 18/8/2025 na mwisho ilikuwa 31/8/2025. Walimu wapatao 544 tuliripoti kwa awamu ya kwanza katika vituo tulivyopangiwa, na kuanza majukumu...
  10. A

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI inahitaji kufumuliwa

    Kuna uozo Mkubwa sana unaendelea Tamisemi kupitia halmashauri zetu Kuna pesa za idara OC Zinaliwa juu Kwa juu haziwafikii wahusika. Kuna ukiritimba mwingi sana Imagine HR wa Halmashaurj anasema amekuajiri yeye anaweza kukufukuza kazi. Mfumo wa kuthibitisha watu kazini ni mbovu unaweza jikuta...
  11. blogger

    JamiiForums Tanzania Huyu Naibu Waziri TAMISEMI awe Waziri kamili, kama ilivyofanyika kwa Makonda

    Ni mchapakazi. Mambo yake yako Wazi. VIDEO Kwako samuya..
  12. hp4510

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mwanaJF anayefanya kazi Wizara ya TAMISEMI

    Wakuu poleni na kazi Naitaji msaada wa mwanaJF yeyote ambae anafanya kazi wizara ya TAMISEMI Nina Jambo langu moja nahitaji msaada wa kujua. Naomba anipm kama yupo.
  13. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI yawataka watumishi kuripoti kazini saa 1:30 asubuhi

    Watumishi wa TAMISEMI mmefikiwa huku Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (TAMISEMI), Reuben Kwagilwa amewataka watumishi wote waliopo chini ya Tamisemi nchi nzima kuzingatia muda wa kuripoti na kudumu kazini kulingana na kanuni za kudumu za utumishi wa umma. Amesema watumishi wanapaswa kufika...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Wizara ya ardhi ili kupunguza migigoro ya ardhi

    Kumekuwepo na migogoro ya ardhi ambayo inatokana na wananchi kununua maeneo ambayo yameuzwa kwa watu wengine, kuuziwa maeneo yaliyotengwa kwa shughuli maalum (open spaces). Hali hii inatokana na ugumu wa wananchi kupata taarifa sahihi za umiliki wa maeneo hayo kupitia ofisi za ardhi, ambapo...
  15. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa shule azawadiwa gari na halmashauri kwa kuinua ufaulu

    Halmashauri ya Jiji la Mwanza imemzawadia Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Wavulana Nsumba, Denis Mwakisimba, gari aina ya Toyota IST kutokana na mchango wake mkubwa katika kuinua kiwango cha ufaulu wa shule hiyo, ambayo imeendelea kufanya vizuri kwa mfululizo. Soma pia: Wakuu wa shule...
  16. OLS

    JamiiForums Tanzania NBS na TAMISEMI mnajua data za BEST hazipatikani?

    Data za elimu ziko TAMISEMI kwenye kiungo cha Basic Education Statistics (BEST). Nimejaribu kuingia kuangalia kitu lakini data zote zinaonesha kuna shida. Hebu jaribuni kuongea na webmaster wa Open University atuwekee data tuendelee na analysis. Jaribu kuangali data za BEST hapa Allbest | PO-RALG
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tamisemi wapeni vajina mliowaajiri visenti ya kujikimu, wanapata shida sana kuanza kazi. Wengine wanatoka familia choka mbaya!

    Ni hilo tu ombi langu kwenu leo!
  18. L

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri wa TAMISEMI ingilia kati 'upigaji' wa fedha za kujikimu unaoendelea kwa Ajira Mpya

    Waziri wa TAMISEMI ingilia kati rushwa na upigaji utoaji wa fedha za kujikimu kwa ajira mpya. Ukifuatilia Halmashauri mara kwa mara wanakulipa cha kushangaza ni kwamba unapewa fedha pungufu wengi wamelipwa Tsh. 150,000. Asilimia kubwa tangu January na February ajira mpya bado hawajalipwa...
  19. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tuambiwe, Mwalimu kupata uhamisho ni Sh ngapi ili tulipe. Inachosha kusubiri majibu kutoka TAMISEMI bila maelezo yanayoeleweka

    Kilio kifike kwa Serikali, kuna changamoto kubwa ya uhamisho wa sisi Watumishi katika sekta ya Ualimu, hasa tunaofanya mchakato wa kuhama ili kuwafuata wenza wetu, wapo pia wanaoomba uhamisho kwa sababu nyingine tofauti. Tunaelekezwa kuwa tutumie mfumo wa ESS, wengi wetu tumezingatia hilo...
  20. K

    JamiiForums Tanzania KERO Wizara ya Elimu, TAMISEMI mmebariki mtindo wa shule nyingi Dar kutoza pesa za mitihani kwa Wanafunzi kila siku?

    Katika shule nyingi, hasa za msingi, kumeanzishwa utaratibu wa kutoza michango ya kila siku kwa ajili ya mitihani. Kila siku michango hiyo hutozwa kuanzia Shilingi 300 hadi 1,000 kwa kila Mwanafunzi. Mtindo huu kwa sasa umekuwa kama fasheni katika shule nyingi, hasa kwenye madarasa yenye...
Back
Top Bottom