Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewaomba viongozi wa dini mkoani Morogoro kukataa, kukemea, na kufichua viashiria vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4.
Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+.
Msemaji wa Dodoma Jiji...
Sasa ni rasmi, Tanzania imeanza kula matunda ya Wanasiasa kuwa juu ya Utendaji/mifumo na Siasa kuwa juu ya Utaalamu. Kwa sasa rushwa imekuwa jambo la kawaida nchini Tanzania na inafanywa waziwazi bila hofu yeyote.
Kwa wasiojua, Mataifa yote yaliyofeli haikutokea kwa siku moja. Nigeria unayoiona...
Taasisi ya kupambana na rushwa imetuma barua ya wito Kwa Yanga na TFF Kwa makao mkuu Kwa mahojiano
Sakata linapamba moto
Source: Hans Rafael, mtangazaji crown media👑
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Njombe imetoa wito kwa vyama vya siasa nchini kuhakikisha michakato ya uchaguzi wa ndani inafanyika kwa uhuru na haki, ili kupata viongozi waadilifu na walioko tayari kujitolea kuleta maendeleo bila kushawishiwa na vitendo vya rushwa...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi, imebaini mabati yenye thamani ya fedha Sh Milioni 220 yaliyonunuliwa kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya wavulana Katavi na Sekondari Rungwa kuwa yako chini ya kiwango.
Kaimu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Katavi...
Aliyekuwa naibu katibu Mkuu CHADEMA bara Salum Mwalim ana hela chafu.
Ana hela hadi zinamwagika. Mimi kanipa laki tatu za kibongo.
TAKUKURU mpo wapi? Nipo tayari kutoa Ishahidi. Mkoba wenye Hela za Salum Mwalimu ameushika Henry Kilewo. Hela zimetoka kwa Mama wa Zanzibar kupitia mwanaye mpendwa...
Nimeafatilia hili sekeseke la watumishi wetu wa umma wakijumuishwa na wakuu wa mikoa kununua viwanja huko Arusha kwa billions of shillings nikakumbua mwezi uliopita Governor wa Kenya (Kiambu County) Kimani Wamatangi, alikamatwa na kamisheni ya kupambana na rushwa ya Kenya na kukutwa na Ksh...
Wakuu,
Mbunge na Waziri wa katiba na Sheria Damas Ndumbaro akiwa Songea ukumbi wa bombambili, alitoa 'posho' ya Tsh. 20,000/=kwa Kila mjumbe.
Ambapo wajumbe hao ni wapiga kura za maoni ndani ya chama kwa uchaguzi ujao.
Kwa kavideo hako ni mabalozi na wajumbe wa mabalozi ambao idadi yao ni...
Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Mwanza kwakushirikiana na wadau wa kamati ya uhakiki ya Wilaya ya Nyamagana wameokoa kiasi cha shilingi milioni 700 kwenye mikopo ya vikundi inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri ya Jiji la Mwanza kwa mwaka...
KLABU 185 ZA WAPINGA RUSHWA ZIMEANZISHWA MASHULENI
Katika kipindi cha kuanzia mwezi Julai, 2024 hadi Machi, 2025,
Klabu 185 za wapinga rushwa zilifunguliwa na 5,474 ziliimarishwa katika shule za msingi, sekondari na vyuo.
Vilevile, TAKUKURU imeingia makubaliano ya ushirikiano na Chama cha...
Chama Kikuu cha Ushirika Mkoani Shinyanga (SHIRECU) inadaiwa kipo kwenye mchakato wa kuuza maghala yake yaliyopo Kurasini Jijini Dar es Salaam kwa bei ya 'kutupa' (bei hisiyo na thamani halisi) huku yakiwa ndiyo tegemeo kubwa la mapato katika ushirika huo.
Hali hiyo ambayo inahofiwa kuwa ina...
Hii ni baada ya wananchi kuhoji matumizi ya fedha hizo bila majibu kwa kipindi cha zaidi ya miaka 15, ndipo wameamua kuitisha mjadala kwenye group la CCM Musoma Mjini ambapo mbunge wa jimbo hilo Vedastus Mathayo, akaelekeza katibu wake aweke mitasari ya vikao vya kamati ya mfuko wa kuchochea...
Tangu treni za DGR zianze kufanya kazi baadhi yetu tuliowahi kuingia ndani ya mabehewa hayo tumekuwa na mashaka ya upya wake, muonekano wa ndani si wa mabehewa mapya ni wa mabehewa ya miaka iliyopita yakizidiwa usasa na mabasi ya safari za mikoani kwa ubora wa viti na sehemu za kuchaji simu!
Leo Machi 27, 2025 majira ya saa 5:00 asubuhi Rais Samia Suluhu Hassan atapokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) ya mwaka 2023/2024 Ikulu Dar es Salam.
https://www.youtube.com/live/5EZXxHObW-k?si=aMlOZdDHTaaGHgmt
TUJIKUMBUSHE ALICHOSEMA RAIS SAMIA BAADA YA KUPOKEA REPOTI YA...
Mwenyekiti wa Kituo cha Wanahabari Watetezi wa Rasilimali na Taarifa (MECIRA) na Mkurugenzi wa Jamvi Media Group, Habibu Mchange, amepongeza juhudi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) katika kudhibiti vitendo vya rushwa, hasa kuelekea uchaguzi mkuu.
Akizungumza na gazeti la...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemkamata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Habibu Mchange kwa tuhuma za rushwa inayohusishwa na uteuzi wa ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Mkuu wa TAKUKURU kanda ya Temeke, Joseph Makungu amesema...
Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Arusha kufanya uchunguzi wa upotevu wa kiasi cha fedha shilingi milioni 400 zilizochangwa na wadau kwa ajili ya kusaidia waendesha pikipiki maarufu bodaboda.
Fedha hizo zimepotea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.