TAKUKURU wawaita Yanga na TFF ofsini

TAKUKURU wawaita Yanga na TFF ofsini

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,703
Reaction score
39,176
Taasisi ya kupambana na rushwa imetuma barua ya wito Kwa Yanga na TFF Kwa makao mkuu Kwa mahojiano

Sakata linapamba moto

Source: Hans Rafael, mtangazaji crown mediađź‘‘
Screenshot_20250612-220013.png
 

Attachments

  • Screenshot_20250612-214240.png
    Screenshot_20250612-214240.png
    934.3 KB · Views: 18
Kama ni kweli Baadhi ya Vigogo waliopita pale Tff walijikuta wako mahakamani kwa makosa ya ubadhilifu na utakatishaji fedha ilianza maskara kama hivi.

Mpaka Viongozi wa Tff walipo gundua kuwa Tff ni taasisi ya umma walishachelewa.
 
navuta picha ya fifa, kauli ya rais wa fifa wasasa ku-restore fifa ....inakuja tff
 
Sasa hapo ndio itafahamika, natamani na mkaguzi huru nae apatikane basi shughuli iishe.
Takukuru wakisha fika ujue TRA wapo apo wanafanya kazi sambanba ili kuangalia kama kuna jinai imetendeka.
Polisi wanakua Standby kwa maagizo watakao pewa
Sio jambo zuri kufikia hatua hii kama ni kweli.
 
Kama ni kweli Baadhi ya Vigogo waliopita pale Tff walijikuta wako mahakamani kwa makosa ya ubadhilifu na utakatishaji fedha ilianza maskara kama hivi.

Mpaka Viongozi wa Tff walipo gundua kuwa Tff ni taasisi ya umma walishachelewa.
Moto utawaka
 
Pamechangamka sanaa, shida ni bado sina imani na uto sijui huwa wanafeli wapi. Wanaanzaga vizuri lakini mambo wanashindwa kuya handle utashangaa wanachemka, wakati kwenye hili inabidi madudu ya Tff yafukuliwe reforms zifanyike. DYASC wakizingua na hapa itabidi wajitathmini
 
Msomali alikosea padogo sana. Siku alipotamka eti wakacheze sinema zetu nilijua huyu kashalewa madaraka na anainama kuelekea kibla kwa ujinga wake.

Huyu kashindwa kabisa kuficha mahaba yake sasa kilichobaki ni kuomba tu kolo mwenzie Mwana FA atumie influence yake kumsaidia
1000319957.jpg
 
Kalio imeshakula kwake, hapa yeye na genge lake lazima kiwalambe.
 
Back
Top Bottom