Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Bw. Crispin Chalamila, Januari 19, 2026, ametoa taarifa kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria kuhusu majukumu, mamlaka na muundo wa Taasisi hiyo, kwa niaba ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetangaza kuwatafuta washtakiwa Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh wanaokabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi ikiwemo kuongoza genge la uhalifu, kughushi, kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu pamoja na utakatishaji fedha kupitia shauri...
Machawa wa Serikali ya CCM kumbe ni mijitu mibaya kiasi hiki! Msama ukimuona kama mtu mwema ila ni jizi la hatari mtapeli viwanja vya watu!
==============
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imetangaza kuwatafuta washtakiwa Alex Msama Mwita na Benny Mwita Sammoh wanaokabiliwa na...
Nilikuwa katika kijiwe flani cha Wasomo wakati tukijadiliana suala la rushwa, kuna hoja ilianzishwa kwamba moja ya jambo ambalo watu wanalichukuliwa poa ni kwamba linaweza kuwa linachan
gia matukio ya rushwa kuendelea kuwa ngumu kudhibitiwa hasa yale makubwa ni mtu anayeshika nafasi ya...
Shule ya Secondary Nyampulukano iliyopo Wilaya ya Sengerema Mkoa wa Mwanza ili kupata nafasi ya kuhamia pale au kwa Wanafunzi wanaoanza kidato cha kwanza wanatozwa Tsh. 320,000 au unapeleka mifuko 10 ya saruji pamoja na Nondo nne, kitu ambacho ni kinyume kabisa na utaratibu wa elimu bila malipo...
Anonymous (6198)
Thread
elimu
elimu bure
kazi
nyampulukano
sengerema
shule
takukuru
Clemence Mwandambo ameendelea kuwasha moto, hajapoa hata kidogo
Leo kupitia ukurasa wake wa Instagram amehoji TAKUKURU wanayatambua kweli majukumu yao, maana wao wamekuwa ni watu wa kupokea oda kutoka kwa wanasiasa wakati kuna wala rushwa kibao na mafisadi.
Sielewi hii TAKUKURU ipo kwaajili ya...
Kwani TAKUKURU wamemaliza jukumu lao la kupambana na Rushwa? hadi kuhamia kwenye jukumu la kumasisha watu kupiga kura
-------------
Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 wa kuwachagua Madiwani, Wabunge na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
Familia ya Katibu wa Chama cha ACT Wazalendo mkoa wa Kigoma ambaye pia ni mgombea udiwani wa kata ya Kibirizi, Yunus Ruhomvya, imedai kuvamiwa na watu wanaodaiwa kuwa askari polisi usiku wa kuamkia Oktoba 9, 2025, katika makazi yao yaliyopo eneo la Kibirizi mkoani Kigoma.
Kwa mujibu wa mke wa...
Wakuu,
Kama ilivyo kawaida ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kutumia wananchi ujumbe kuhusiana na masuala ya kupokea, kutoa na kukataa rushwa lakini pia kuziripoti, leo na mimi nilitumiwa huu ujumbe ila nikacheka sana maana wanahangaika na wananchi huku wahusika wanatoa...
Hivi karibuni Takukuru wamekuwa wakitoa onyo au maonyo Kwa wagombea wasitoe Rushwa , pamoja na ahadi zinazoelekea kuwa ni Rushwa. Hivyo kuharibu uchaguzi na kupitia nchi hasara kubwa, na kuwanyima wananchi nafasi ya kufanya uchaguzi wa haki, na demokrasia.
Lakini kuna matokeo yanayoonyesha Kwa...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Iringa imekutana na Baraza la Mila na Desturi la Wazee wa mkoa huo kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kutambua na kufichua vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao.
Lengo kuu ni kuwawezesha wazee hao kuwa walinzi wa maadili ya...
Acheni hizi ghasia kwa sisi raia tunayoipenda nchi yetu kuliko viongozi. Tunalipa kodi kila siku na tungependa kuona hizi pesa zinamnufaisha kila mTanzania, sio wale wanajipendekeza na wanasiasa , bali kila mtu anufaike na hizi pesa zetu.
Taarifa mnaletewa kila siku ila mnaleta maigizo hapa...
Yaani simu yangu inashindwa kupokea sms mpya kwasababu ya kujaa kwa hizo messages zenu. Hivi nyie mnafikiri sisi wagombania mwendokasi tunaweza kuiba hizo billions, sisi wahangaika na maji ya mtoni tunaweza iba na kufanya ufisadi wa namna hiyo.
Achani mara moja hii kitu, naongea tena FANYENI...
Najua lengo lenu. Mnataka niseme mtoa rushwa mkubwa kisha mnifuatilie mnikamate. Nyie mnamfahamu vizuri ambaye alitoa rushwa kwa wananchi na ameendelea kutoa.
Mnafahamu wananchi wanapewa mpaka boflo na maji, wanapewa bike,tshirts,kofia, khanga,vitenge na pesa. Mnajua sana. Ila mnataka mimi...
Najiuliza sana tena kwa uchungu mkubwa.
Ni kweli tuhuma alizotoa Polepole ni nzito na zina viashiria vya jinai per se
Mfano tuhuma kuwa CCM mtandao wanahusika na kifo cha hayati JPM
Mfano wa pili Angela Kiziga kukwapua zaidi ya bil 60 bila kusuply sare za polisi. Huku akiwa karibu na wakuu wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.