TAKUKURU yaomba viongozi wa dini kufichua rushwa

TAKUKURU yaomba viongozi wa dini kufichua rushwa

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,096
Reaction score
7,125
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewaomba viongozi wa dini mkoani Morogoro kukataa, kukemea, na kufichua viashiria vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.

 
Tangu takukuru wajibu kuwa hawaingilii ccm sababu ccm wana namna yao kushughulikia rushwa baada ya jamaa kukamatwa waziwazi wakigawa rushwa wa wajumbe niliwadharau sana takukuru na kusema kweli since then naona ni ujinga tu unaendelea nchi hii
 
CAG anafichua wizi mkubwa wakachukue makarabrasha kwake wayafanyie kazi kama wanachoongea wanamaanisha.
 
Yaani mshahara wapokee wao , majukumu wakabidhishe kwa watu wengine.
We are doomed!
 
Taasisi zingine hazina hata maana ya kuwepo, moja wapo ni hii!
 
Back
Top Bottom