takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msaidizi wa mbunge mstaafu akamatwa na TAKUKURU Tarime

    Elisha Samo ambaye ni Katibu wa Mbunge mstaafu wa Jimbo la Tarime Mjini, Mhe. Michael Mwita Kembaki, anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Tarime kwa tuhuma za kuendesha mikutano ya kisiasa kinyume na taratibu za Chama Cha Mapinduzi @ccmtanzania Inadaiwa...
  2. Genius Man

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU bila upendeleo wanapaswa kumchukulia hatua na Samia kwa kugawa rushwa naona tu rushwa zinahesabiwa kwa wale wa ubunge na udiwani

    TAKUKURU bila upendeleo wanapaswa kumchukulia hatua na Samia kwa kugawa rushwa naona tu rushwa zinahesabiwa kwa wale wa ubunge na udiwani. Walichokifanya hao wa ubunge na udiwani ndio kile kile alichokifanya Samia, kama samia kwake sio rushwa basi hawa wengine nao sio rushwa. lakini kama kwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM Simiyu atoa tuhuma nzito za rushwa kwa Kamati za Siasa za Wilaya na Mkoa

    Kada wa CCM Mkoa Simiyu, Godfrey Sitta Sukari akizungumza na waandishi wa habari alieleza kupitia uzoefu wa kuwa mwanachama muda mrefu, alisema kumekuwepo mabadiliko ya hivi karibuni ya kanuni na vifungu kwenye katiba ya chama ambapo kama vijana lazima wakosoe na kupongeza kwa mema Pia ametoa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 TAKUKURU Kilimanjaro: Tunafanyia kazi malalamiko 11 ya rushwa dhidi ya watia nia Ubunge CCM

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Mkoa wa Kilimanjaro, imeeleza kuwa imepokea malalamiko 11 yanayohusu vitendo vya rushwa vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya watiania wa ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani humo. Taarifa hiyo imetolewa leo Jumanne Julai 15, 2025 na...
  5. mackj

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Musoma mjini tunaomba mrejesho sakata la kutoa rushwa kwa aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo mlipo kamata mamilioni ya pesa kwenye mkutano

    Katika hali ya kushangaza kabla hata ya mchakato wa uchukuaji na urejeshwaji fomu za kugombea nafasi za ubunge na udiwani jimbo la Musoma Mjini mbunge wa jimbo jimbo hilo anaemaliza Muda wake vedastus mathayo alifanya ziara ya kuwashukuru wananchi kwenye kata zote 16 za wilaya hiyo akiwa...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yamrejesha Madarakani Mwenyekiti wa Kijiji cha Mlanje baada ya Uchunguzi na kutokubaini hatia dhidi yake

    Mwenyekiti wa Kijiji cha Mlanje, Kata ya Matongoro, Wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, Elisha Mpanda, amerudishwa madarakani baada ya uchunguzi uliofanywa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Kongwa kutokubaini hatia dhidi yake. Mwenyekiti huyo alisimamishwa Februari...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yasema inafuatilia tuhuza za rushwa zinazotajwa kuhusisha Askari Polisi wa Kituo cha Polisi Kigwa - Tabora

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema inafahamu hoja kuhusu suala linalohusu tuhuma za rushwa kwa Mkazi wa Kijiji cha Izumba kilichopo Uyui Mkoani Tabora. Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa la Habari na Hoja mchanganyiko aliandika kuwa “TAKUKURU Uyui -...
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yawakumbusha DAWASA kusimamia haki utoaji huduma kwa Wananchi

    Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) wameaswa kuzingatia uadilifu na kujiepusha na vitendo vya rushwa mahali pa kazi ili kuboresha huduma kwa wateja na kuleta tija kwa Serikali. Hayo yamesemwa na Afisa Mchunguzi kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
  9. W

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU nawasihi Fikeni Wilaya ya Mpwapwa Dodoma

    Wilaya ya Mpwapwa ina Majimbo mawili, Mpwapwa Mjini na Kibakwe. Hamtakosa kuondoka na VICHWA kadhaa vya mtoaji na mpoleaji Sisi ngoja tuendelee kukusanya Ushahidi.
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU wameogopa kusema Babu Tale Kanga alikuwa anagawa za nini?

    Babu Tale anagawa Kanga za nini? Yaani wakupe miaka Mitano wewe uwape pea ya Kanga, TAKUKURU muwe mnatupa ripoti kama hizi tujue mlichukua hatua gani, au alisemaje. TAKUKURU msikalie Ripoti za namna hii. April April 10 mwaka huu 2022, Hamisi Shaban Taletale, maarufu kama Babu Tale, ambaye ni...
  11. Richard

    JamiiForums Tanzania JWTZ wafanye uchunguzi kubaini vijana ambao wamepewa nafasi za kujiunga na JWTZ kwa kutumia kikaratasi maarufu kama "Memo"

    Juzijuzi Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania lilitoa taarifa kwamba wanapitia majina ya vijana ambao wamechaguliwa kujiunga na jeshi hilo. Itakumbukwa kuwa mwezi April mwaka huu JWTZ walitoa tangazo la ajira kwa vijana wa kitanzania wenye elimu kuanzia sekondari hadi elimu ya juu. Moja ya...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU yaomba viongozi wa dini kufichua rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imewaomba viongozi wa dini mkoani Morogoro kukataa, kukemea, na kufichua viashiria vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu.
  13. P

    JamiiForums Tanzania TFF,bodi ya ligi na TAKUKURU kesho kuweni makini na upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma

    Kuna Kila dalili ya upangaji matokeo uwanja wa jamhuri Dodoma lengo likiwa kumwezesha mzize kufunga magoli 4. Ukweli ni kwamba yanga wanaumia sana kuona tuzo za kipa Bora na mfungaji Bora zikienda upande tofauti hivyo wamejipanga hapo kesho mzize afunge goli 4+. Msemaji wa Dodoma Jiji...
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane tu: Baada ya kukubali Wanasiasa wawe juu ya Utendaji wa Mifumo, TAKUKURU imejifia rasmi na Rushwa ndo kila kitu Tanzania

    Sasa ni rasmi, Tanzania imeanza kula matunda ya Wanasiasa kuwa juu ya Utendaji/mifumo na Siasa kuwa juu ya Utaalamu. Kwa sasa rushwa imekuwa jambo la kawaida nchini Tanzania na inafanywa waziwazi bila hofu yeyote. Kwa wasiojua, Mataifa yote yaliyofeli haikutokea kwa siku moja. Nigeria unayoiona...
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU wawaita Yanga na TFF ofsini

    Taasisi ya kupambana na rushwa imetuma barua ya wito Kwa Yanga na TFF Kwa makao mkuu Kwa mahojiano Sakata linapamba moto Source: Hans Rafael, mtangazaji crown media👑
  16. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TAKUKURU yataka uchaguzi ndani ya vyama uwe uhuru

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Njombe imetoa wito kwa vyama vya siasa nchini kuhakikisha michakato ya uchaguzi wa ndani inafanyika kwa uhuru na haki, ili kupata viongozi waadilifu na walioko tayari kujitolea kuleta maendeleo bila kushawishiwa na vitendo vya rushwa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Manispaa ya Mpanda imelipa Tsh. 220M kinyume na utaratibu, yakaletwa mabati yasiyo na kiwango

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Katavi, imebaini mabati yenye thamani ya fedha Sh Milioni 220 yaliyonunuliwa kwa ajili ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya wavulana Katavi na Sekondari Rungwa kuwa yako chini ya kiwango. Kaimu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Katavi...
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Salum Mwalimu katoa wapi hela ya kugawa Nchi Nzima? Kanipa laki tatu. TAKUKURU mpo wapi?

    Aliyekuwa naibu katibu Mkuu CHADEMA bara Salum Mwalim ana hela chafu. Ana hela hadi zinamwagika. Mimi kanipa laki tatu za kibongo. TAKUKURU mpo wapi? Nipo tayari kutoa Ishahidi. Mkoba wenye Hela za Salum Mwalimu ameushika Henry Kilewo. Hela zimetoka kwa Mama wa Zanzibar kupitia mwanaye mpendwa...
  19. Messier 31

    JamiiForums Tanzania Governor wa Kenya akamatwa na kukutwa na Tsh. 275M ikazua taharuki. Bongo mtumishi wa umma ananunua assests za 2B na TAKUKURU inamchekea

    Nimeafatilia hili sekeseke la watumishi wetu wa umma wakijumuishwa na wakuu wa mikoa kununua viwanja huko Arusha kwa billions of shillings nikakumbua mwezi uliopita Governor wa Kenya (Kiambu County) Kimani Wamatangi, alikamatwa na kamisheni ya kupambana na rushwa ya Kenya na kukutwa na Ksh...
  20. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania DOKEZO PreGE2025 TAKUKURU mulikeni na kwa Waziri Ndumbaro, anapenyeza michuzi kuhonga wajumbe Songea

    Wakuu, Mbunge na Waziri wa katiba na Sheria Damas Ndumbaro akiwa Songea ukumbi wa bombambili, alitoa 'posho' ya Tsh. 20,000/=kwa Kila mjumbe. Ambapo wajumbe hao ni wapiga kura za maoni ndani ya chama kwa uchaguzi ujao. Kwa kavideo hako ni mabalozi na wajumbe wa mabalozi ambao idadi yao ni...
Back
Top Bottom