takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 TAKUKURU Lindi yaboresha mikakati ya kupambana na Rushwa kabla ya Uchaguzi Mkuu Oktoba

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Lindi imeendesha kikao kazi kujadili na kuweka mikakati dhidi ya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu mwezi Oktoba. Kikao hiko kimefanyika leo Septemba 11,2025 katika ukumbi wa CWT na kuwakutanisha viongozi wa dini na wazee wa Wilaya ya...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Takukuru yabaini mapungufu katika miradi Rukwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Rukwa imetekeleza ufuatiliaji wa matumizi ya fedha za umma zenye thamani ya zaidi ya Shilingi bilioni 6.7 katika kipindi cha Aprili hadi Juni 2025. Kwa mujibu wa taarifa ya TAKUKURU, kiasi cha Shilingi 422,280,519 kilichotolewa kama...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu TAKUKURU hawatoi ajira?

    Wakuu mbona mwaka huu kimya TAKUKURU?
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tumeimarisha CAG na TAKUKURU, Hati Chafu zimepungua kutoka 10 mwaka 2021 hadi 1 kwa Miaka Minne

    Mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM, Samia Suluhu, amesema, "Kwa upande wa mapambano dhidi ya rushwa na ufisadi, Serikali imejitahidi kuimarisha taasisi za mdhibiti, Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) ili ziweze kufanya kazi zake...
  5. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania Siku tukipata Rais makini Taasisi ya kwanza kufuta na kusuka upya ni TAKUKURU

    Hii taasisi ni mzigo na hakuna inachofanya. Inatumia rasilimali hovyo kabisa za Watanzania. Mambo mengi ya hovyo na bila shaka Watanzania wenzangu mnajua yanayofanyika. Kwasasa kila kitu kila mahala ni rushwa na ufisadi wa kutisha. Taasisi hii inahitaji kufanyiwa reforms and restructuring...
  6. kibori nangai

    JamiiForums Tanzania Leo nataka kuwashauri TAKUKURU, maana mmekuwa wasumbufuu kazi kujitumisha meseji zenuu

    Salama wanajukwaaa. Leo nataka kuwashauri TAKUKURU.maana mmekuwa wasumbufuu kazi kujitumisha meseji zenuu. Unaangalia ukijua ni ujumbe wa maana kumbe ni wa akina TAKUKURU. KAMATENI Wana CCM wengi tuu wanagawana rushwaa ikianza na Mwenyekiti. Na ushauri wangu nii huuu Achane usumbufu...
  7. Traxtion

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU inafanya kazi gani kama mambo yanafanywa hadharani hivi?

    Hii video inaonesha Chama cha Mapinduzi kikiwapa wananchi wote elfu kumi kumi wakiwa wanatoka kwenye mkutano huo wa CCM Hii ni RUSHWA, TAKUKURU inafanya kazi gani sasa ikiwa haya mambo yanafanywa hadharani hivi?
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 TAKUKURU Geita yafuatilia tuhuma za Rushwa Kura za Maoni CCM

    aasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita imesema inaendelea kufuatilia kwa karibu vitendo vya rushwa vilivyodaiwa kutokea katika mchakato wa uchaguzi wa kura za maoni ya wabunge na madiwani ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza na waandishi wa habari, Mkuu wa...
  9. Mindyou

    JamiiForums Tanzania GE2025 TAKUKURU yakamata wajumbe wa UWT kwa madai ya rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita, imewakamata wajumbe wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Nyankumbu Jimbo la Geita mjini walionekana katika picha mjongeo wakigawana rushwa katika mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM huku taasisi hiyo ikiendelea na uchunguzi...
  10. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Majukumu ya TAKUKURU yahamihishiwe Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ)

    Wakuu asalaam ! Kwa mujibu wa sheria, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) iliundwa kwa lengo la kuchunguza, kuzuia na kupambana na vitendo vya rushwa nchini Tanzania. Inatakiwa iwe nguzo ya haki na mwanga wa matumaini kwa kila raia anayetafuta msaada dhidi ya dhuluma na...
  11. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania Hapa Tanzania kesi kama hizi zipo wazi, lakini je TAKUKURU wanafeli wapi?

    TAKUKURU wameirejea Habari iliyochapishwa na JF ya kukamatwa kwa mke wa aliyekuwa Rais wa Korea kwa tuhuma mbalimbali za Rushwa ikiwepo kupokea zawadi zenye Vito vya thamani kutoka kwa watu mashuhuri na waliokuwa na ushawishi kwa taifa. Kesi kama hizi zipo nyingi sana zikimuhusisha JK na hata...
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ukweli Mchungu: Sasa kila Mwananchi ajipambanie kivyake

    Uzi huu utajieleza kwa picha
  13. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Kama yupo anayejua sababu kwanini bado upo umuhimu wa kuwepo TAKUKURU aziweke hapa

    Hali ya kisiasa miaka hii ni ya utata sana, matumizi ya pesa kutoka kwa viongozi ni kufuru, siku hizi tunapewa majiko ya gesi bure bila kuomba, tunapewa matukutuku bure, mabaisikeli bure bila kuomba! Na maokoto bure japo tunaitwa chawa wakati sisi si wachafu huku wansotubeba ndio wachafu! Yote...
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wadaiwa kukutwa na fedha walizotaka kuzigawa kwa Wajumbe Jimbo la Ulanga - Morogoro, TAKUKURU yaingilia kati

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Wilayani Ulanga inawashikilia watu wanne wanaodaiwa kukutwa na mamilioni ya fedha zinazoaminika kuwa zililengwa kugawiwa kwa Wajumbe Wapigakura za maoni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Jimbo la Ulanga. Vyanzo vya habari vinaeleza kuwa...
  15. Just Pray

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makamu wa Rais asisitiza jeshi la polisi kushirikiana na TAKUKURU kudhibiti vitendo vya rushwa uchaguzi mkuu

    Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amelitaka jeshi la polisi kushirikiana na Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) ili kupambana dhidi ya vitendo vya rushwa wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Dkt.Mpango ametoa kauli hiyo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Rushwa aliitoa mbunge wa jimbo la Mbulu Mjini aliyemaliza muda wake Zakaria Isaay inatisha; wakati TAKUKURU wapo, vyombo vingine vipo; nchi imetekwa!

    Katika kura za maoni za CCM zilizopigwa hivi punde kama unataka kujua maana ya upatikanaji wa uongozi kwa njia ya rushwa nenda Mbulu, mkoa wa Manyara. Mbunge wa jimbo Mbulu mjini Zakaria Isaay rushwa alizotoa kuongoza kura za maoni inatisha. Mwenyekiti wa kitongoji moja alipewa mpaka Sh. Milioni...
  17. ngara23

    JamiiForums Tanzania Baraza la mitihani (NECTA) mnaangamiza Taifa, inafaa wapewe kesi ya uhaini

    Uadilifu wa NECTA toka alipoondolewa Professor Joyce Ndalichako umepotea kabisa Tiss na TAKUKURU pigeni kambi hapo mtupe majibu kwanini hii taasisi inahujumu elimu Kwasasa wizi na udanganyifu katika mitihani ya Taifa ni kawaida Kuna tetesi shule binafsi huwa wanapewa paper kabla ya miezi 6...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO GE2025 Kama TAKUKURU wameshindwa. basi CCM angalieni hili

    Ikiwa kama mustakhabali wa VITI MAALUMU Ndani ya Chama Utaamuliwa Kwa Rushwa tena Rushwa ya Wazi Wazi basi hadhi ya Uwakilishi wa kundi Hili maalumu hauna faida yeyote Ile kwetu sisi Wanawake. Hii ni Moja ya ripoti yenye Ukakasi na inayo vunja moyo Kwa Ustawi wa Wanawake Ndani ya Jamii zetu...
  19. figganigga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Video: Dar, Mgombea Diwani Rajabu Shabani Manyinya wa Kivule Akitoa Rushwa hadharani. TAKUKURU Kazi kwenu

    TAKUKURU, pokeeni kazi hii. Mshindi wa kura za udiwani Kata ya Kivule ndungu Rajabu Shabani Manyinya akitoa rushwa waziwazi siku moja kabla ya uchanguzi kufanyika. Kata ya Kivule ipo Jimbo jipya la Kivule Jijini Dar es Salaam. Nategemea kupoka majibu sahihi kutoka kwenuo Hii rushwa yeye...
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msaidizi wa mbunge mstaafu akamatwa na TAKUKURU Tarime

    Elisha Samo ambaye ni Katibu wa Mbunge mstaafu wa Jimbo la Tarime Mjini, Mhe. Michael Mwita Kembaki, anashikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Wilaya ya Tarime kwa tuhuma za kuendesha mikutano ya kisiasa kinyume na taratibu za Chama Cha Mapinduzi @ccmtanzania Inadaiwa...
Back
Top Bottom