TAKUKURU yasimamisha uchunguzi dhidi ya Livingstone Lusinde ( Kibajaj) baada ya kukosa ushahidi wa rushwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,872
1594812861090.png


TAKUKURU mkoani Dodoma imesimamisha uchunguzi uliokuwa unaendelea dhidi ya aliyekuwa mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde aka Kibajaj baada ya kukosekana ushahidi wa rushwa.

Source Azam tv!


Livingstone Lusinde (Kibajaji) adakwa live na TAKUKURU nyumbani kwake akigawa rushwa kwa wajumbe wa CCM
 
TAKUKURU eti nayo inaongozwa na meja General wa jeshi. Kama siyo uhuni ni nini? Chadema ambako walikosa ushahidi awamu ya kwanza wameanzisha uchunguzi mwingine ila kwa maccm hakunaga ushahidi hata siku moja na hawajawahi kukutwa na rushwa!
 
Isingekuwa rahisi kuendelea na uchunguzi ilhali majuzi tu tulikuwa kwenye msiba wa baba na Mkuu wa kaya katika kutoa mkono wa pole akamsifia Marehemu enzi za uhai wake lakn pía akaahidi kuyaenzi mazuri ya mzee na 'kuilinda' familia yake
 
Hao takukuru ni wahuni kama wahuni wengine. Huyo boss was takukuru huwa anavaa sare za jeshi, akidhani ndio ataogopeka, kumbe wala rushwa wanamchora tu.
 
Back
Top Bottom