takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CHIEF MGALULA

    Nitajuaje kama ni Afisa wa TAKUKURU au anataka kuniibia?

    Ndg, mimi ni mtumishi wa Umma kwenye taasisi nyeti hapa Dar, hata hivyo juzi nilipigiwa simu na mtu aliejitambulisha yupo Dodoma. Akinitaka nifike ofisini kwao kesho kutwa yake kwa ajili ya mahojiano, nikakubali ila baadae nikamwambia naomba anitumie barua ya wito kupitia kwa mwajiri wangu...
  2. Mmawia

    Taasisi ya kuzuia Rushwa Kenya inaonesha jinsi ya kupunguza rushwa ya matrafiki

    Waswahili wanasemaga kuwa iga kilicho bora. Takukuru ya nchini Kenya inaonyesha jinsi ya angalau kupunguza rushwa ya matraffic nchini humo. Hii style ingetufaa hapa kwetu maana haina haja ya upelelezi tena hapo.
  3. sky soldier

    Anuani (P.O. Box) za kutuma barua TRA & TAKUKURU hazipo, Je anuani ipi itumike

    Kuna barua lazima uiandike, kuisaini na kuiscan au kuipiga picha ilii utume maombi ya kazi, sasa naulizia ile sehemu ya kwenye barua ambayo unaandika adress ya shirika unaloomba ajira, je paandikwa adress ipi??
  4. Jerlamarel

    TAKUKURU Kilimanjaro: Uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomhusu Ole Sabaya unaendelea vizuri

    Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro Frida Wikes, amesema kuwa uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazo muhusu aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya unaendelea vizuri katika Mkoa wa Kilimanjaro. "Kesi za mshitakiwa huyu (Sabaya) zimekuwa zikienda mfululizo hivyo kesi nyingine...
  5. Analogia Malenga

    Fedha za CWT zilitumika kuangalia mpira Cape Verde

    Mchunguzi Mkuu kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), Mercy Manyalika ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu alivyochunguza na kubaini fedha za Chama cha Walimu Tanzania,(CWT) zilivyotumika kwenda kuangalia mpira wa kombe la dunia mwaka 2018. Manyalika alieleza hayo...
  6. Analogia Malenga

    Ummy Mwalimu: Atakayevurunda kwa fedha za Maendeleo ya Taifa, hatutamuhamisha kituo, tutamfikisha TAKUKURU

    Waziri wa Ofisi ya Rais, TAMISEMI Ummy Mwalimu amesema Mkurugenzi atakayefanya ubadhirifu kwa fedha ambazo serikali ilipokea na kutoa kwa ajili ya maendeleo ya taifa na kupambana #COVID19 hawatawahamisha vituo. Amesema hawatakuwa na mchezo katika fedha hizi, mtu akivurunda atafikishwa katika...
  7. waziri2020

    TAKUKURU Kilimanjaro chunguzeni tuhuma hizi

    Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na taarifa kwamba aliyekuwa mkurugenzi wa halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro, Ndaki Muhuli ambaye kwa sasa amehamishiwa wilayani Kakonko alianzisha miradi ya ufyatuaji matofali na uchanaji wa mbao kama miongoni mwa miradi ya halmashauri ya Siha. Taarifa...
  8. Capsicum

    TAKUKURU mulikeni mchakato wa ajira za TPDC uliosimamiwa na TAESA

    Straight to the point. TAKUKURU hebu kwa heshima na taadhima nawaomba mkafuatilie huu mchakato jinsi ulivyofanyika maana una viashiria vya RUSHWA ndani yake, kwanini nasema hivi:- 1) Hakukua na tangazo la ajira publicly watu waliitwa kwa kupigiwa simu kwenda kufanya usaili. 2) Baada ya usaili...
  9. incredible terminator

    Maofisa wa Polisi wilayani Bahi-Dodoma, wanawanyang'anya raia pesa zao

    Habari za leo wakuu, tusiende mbali ningeomba mamlaka kama humu JF zinapata pita basi zipitie hili, maana hata pakulalamikia hatuna nilishaenda TAKUKURU zaidi ya mara moja ila ninaambiwa niende polisi hukohuko Wilayani BAHI sasa swali langu ni je tangu lini mtuhumiwa akapewa nafasi ya kujitolea...
  10. Pulchra Animo

    Waziri Mkuu hana mamlaka juu ya shughuli za Ofisi ya DPP

    Katika gazeti la Raia Mwema la leo, Jumatano, August 18, 2021, kuna habari kwamba Waziri Mkuu, Majaliwa, amewapa TAKUKURU na DPP siku nne kuwafikisha mahakamani watuhumiwa fulani wa ufisadi. Haya maagizo sio tu ni ya kushangaza, lakini pia ni ushahidi kwamba nchi yetu ina viongozi ambao hawajui...
  11. N

    TAKUKURU Tunaomba msiwaonee haya viongozi wote waliopokea hongo ili chanjo ije Tanzania kama ilivyodaiwa na Askofu Gwajima

    Kwa madai ya askofu Gwajima ni kwamba kuna viongozi walipokea hongo ili chanjo ije, na akauliza walihongwa kiasi gani hicho mpaka kuwauza watanzania? Askofu alidai pia viongozi hao wamechanjwa chanjo feki ili kuwahadaa wananchi. Sasa basi kwakuwa Tayari Waziri kaelekeza TAKUKURU mumkamate na...
  12. J

    Waziri Mkuu Majaliwa, aagiza Lusubilo Mwakibibi kufikishwa Mahakamani

    Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim ametoa siku 4 kwa Ofisi ya TAKUKURU Temeke kumfikisha Mahakamani aliyekuwa Mkurugenzi wa zamani wa Wilaya hiyo, Lusubilo Mwakabibi na wenzake kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha katika ujenzi wa barabara ya Kijichi Mwanamtoti yenye urefu wa Kilomita 1.8...
  13. Roving Journalist

    Achukua rushwa ili Mwanafunzi asiende Shule

    DODOMA - JULAI 19, 2021 TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO VYA HABARI ACHUKUA RUSHWA ILI MWANAFUNZI ASIENDE SHULE Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma leo Julai 19, 2021 inatarajia kumfikisha katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma Bw. Maliselo Kapampa Saveli (29) na...
  14. Shujaa Mwendazake

    TAKUKURU Je, ni sahihi aichofanya Mkurugenzi wa Kasulu?

    Mkurugenzi wa Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma Fatna Laay amekataa kutumia fedha zote shilingi milioni 210 alizopewa kwa ajili ya kujinunulia gari lake la kazi na badala yake amenunua gari la Milioni 162 na fedha iliyobaki amewanunulia pikipiki Watendaji wa Kata 12. Swali: Je, alichofanya ni sahihi...
  15. M

    Nani wa kuwasemea TAKUKURU?

    TAKUKURU wana majukumu makubwa ya kusimamia mamlaka nyingine kuona haki ikitendeka. Wamekuwa mstari wa mbele kusimamia haki za wengine ilihali wao hawana chombo cha kusimamia maslahi yao. Serikali imetangaza kupandisha madaraja kwa watumishi wa umma, kila idara watumishi wamepandishwa...
  16. Suley2019

    TAKUKURU yawaonya matapeli wanaojifanya maofisa wake

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) mkoani Kagera inawachunguza matapeli wanaojifanya ni maofisa wa taasisi hiyo kwa kuwapigia simu za vitisho wananchi kisha kuwaomba fedha. Hayo yamebainishwa na mkuu wa Takukuru mkoa, John Joseph alipotoa taarifa ya utendaji ya miezi mitatu...
  17. Cannabis

    Mahakama Kuu yasitisha uchaguzi mkuu TFF, Wallace Karia aitwa Mahakamani

    Mahakama Kuu ya Tanzania imesitisha Uchaguzi Mkuu wa Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) na kuwaita Rais wa TFF, Wallace Karia, Bodi ya Wadhamini & Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, kujibu hoja kwa nini uchaguzi huo usisimamishwe. Wanatakiwa kufika mahakamani hapo kesho asubuhi.
  18. S

    TAKUKURU Tanga, vipi kesi inapomaliza zaidi ya mwaka?

    Ipo kesi moja mkuu wa shule alichukua fedha, vifaa na alishirikiana na mkurugenzi wa Jiji na afisa elimu katika wizi huo. Mkuu wa shule alianzia wizi kwenye utangazaji wa zabuni na anamiliki mihuri feki na TAKUKURU wanajua. Walioshiriki kubeba vifaa vya serikali wametoa ushahidi. Wizi...
  19. Idugunde

    TAKUKURU mnatumika vibaya ipo siku ukweli utajulikana. Mlitumiwa na wanasiasa wa CCM 'kum-harass' Deusdeth Kakoko ili mhalalishe mradi wa kifisadi

    Watanzania sio wajinga hata kidogo japokuwa wengi wao ni elimu ya kawaida tu maana hata mimi ni Std 7. Mungu ametubaliki uwezo wa kujua kusoma na kuandika pamoja na uwezo wa kudadavua mambo mengi. Deusdedith Kakoko alikuwa smart akaeleza ukweli kuwa taifa la Tanzania halina manufaa na mkataba...
  20. P

    Hoja ilikuwa nini kwa Wabunge wa CHADEMA kuhojiwa na TAKUKURU?

    Mwaka 2020 TAKUKURU ilifanya kazi yakuwahoji wa bunge wote wa CHADEMA mmoja baada ya mwingine. Lengo lilikuwa ni mini? Wananchi na vyama vya upinzani tulijifunza nini? Je, mwaka huu hakuna wa Bunge wa CHADEMA wanaostahili kuhojiwa?
Back
Top Bottom