dubu
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 3,496
- 3,461
Ndani ya Kampuni inayotengeza Vinywaji baridi vya Pepsi(SBC LTD). Kumekuwa na Ubaguzi, Unyanyasaji na Uonevu wa kila aina kutoka kwa Wenzetu wa India.
Hivyo tunaomba TAKUKURU, Uhamiaji na Wizara ya Kazi ilifnayie kazi.
Wafanyakazi Walishawahi kumuandikia Barua Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU lakini hakuna hatua zozote zilizochukuliwa.
Jitendra Shechwat Sign ndo analalamikiwa sana sababu anajihisi kwamba ana uwezo wa kifedha wa kufanya chochote na ni rafiki Mkubwa wa Watendaji Serikali.
Jitendra alifukuzwa nchini na Serikali mwaka jana 2021 baada ya vibali vyake vya kufanya kazi/kuishi kumalizika. Lakini baada ya Kifo Magufuli, Wakabadilisha mafile kiujanjaujanja ili asionekane muda wa kibali cha kazi uliiaha, akarudi mwaka huo huo na kupata kibali kingine kilichosainiwa na Waziri mwenye dhamana(Hii ndo ichunguzwe pia).
Nawashauri TAKUKURU waanze kumhoji Alex Ngwebe Foti Nyirenda sababu ndo mwenye ukaribu na Watendaji wa Serikali. Hata hawa Wageni wakiitwa wanamtuma yeye kesi inaisha.
Bwana Jitendra kama akifanikiwa kumaliza kibali chake cha kazi kwa sasa atakuwa amefanya kazi miaka 11 katika kazi ya procurement lakini anajiita general manager Planning.
Tangu amerudi amekuwa mnyanyasasi mkubwa kwa Wazawa hasa wafanyakazi wa Kitanzania kwa kushirikiana na mhindi mwenye asili ya Tanzania aitwae Sachin.
Pia amehamisha kazi zilizokuwa zikifanywa na kampuni za wazawa na kuzipeleka kwa kampuni ya kihindi (Ralcot)
Kampuni zilizonyang'anywa kazi ni MC Juro, Isumba Maritime, PMM ICD, DICD zote za Watanzania ambazo zilikuwa zinamikataba ya kazi.
Kazi zote wamepewa ICD moja tu ya HESU investment kwa kushirikiana na Ralcot.
Swali ni;
Kwanini Wageni wapewe kazi zinazoweza kifanywa na Watanzania?
Mtaani watu hawana ajira lakini Wageni kutoka India Wamejazana Viwandani kufanya kazi ambazo Watanzania wanaweza fanya.
Mwaka jana Gazeti la The Guardian walimhoji imekuaje yupo Nchini akadai yeye si Msemaji.
Pia hii ni Barua Wafanyakazi Waliandikia TAKUKURU ambayo haikujibiwa wala kufanyiwa kazi
Pia unaweza soma kwa kina wanaolalamikiwa hapa. Japo imeandikwa SIRI, hakuna Siri yoyote kwenye jambo Ovu, inatakiwa iwe wazi kila mtu aone.
Tunaomba Vyombo vya Serikali mfanyie kazi.
Ikibidi pitisheni Sensa kwenye haya Makampuni ya Kigeni tujue wapo wangapi na wanafanya nini.
Uhamiaji fanyeni kama Mlivyofanya CI GROUP.
Soma;
1). Serikali Yaombwa Kuingilia Kati Unyanyasaji Kiwanda cha SBC Tanzania, Uongozi Wagoma Kufafanua
2). Bomu la Kampuni ya Wahindi yaanikwa
3). Wafanyakazi CI-Group walipa faini ya Sh 52 milioni