takukuru

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Simiyu: Ajiua baada ya kudaiwa kushindwa kuizima kesi ya ubadhirifu iliyochonguzwa na TAKUKURU

    Karani wa Chama cha Msingi cha Ushirika amedaiwa kujinyonga kwa kinachoelezwa ni kukosa msaada wa kuzimwa kwa kesi yake ya ubadhirifu wa fedha za wakulima wa pamba licha ya kuhonga rushwa mara kwa mara. Kamanda wa Mkoa wa Simiyu, Blasius Chatanda amesema: “Alikuwa na kesi TAKUKURU, ameacha...
  2. J

    RC Kafulila: TAKUKURU chunguzeni mkataba wa ujenzi wa ofisini yangu

    Huyu RC binafsi anaukonga moyo wangu kwa namna anavyodhibiti mapato na matumizi ya fedha za Umma, Mkoani kwake. Hebu Msikilize mpaka mwisho hapa.
  3. C

    TAKUKURU chunguzeni wanaopanga watu ajira za afya kuna rushwa inaendelea

    Ninaomba suala la hizi nafasi liangaliwe vizuri. Nilishangaa nafasi zilishajaa mapema lakini waliongeza siku ili watu waombe. Kwa sasa watu wanajitahidi kupeleka pesa ili wapate upendeleo. Na hata ucheleweshaji wa kutoa majina ya waliopata nafasi unafanyika ili ipatikane mianya ya watu...
  4. beth

    Malalamiko ya Rushwa yamekithiri Mkoani Mwanza. Tatizo nini?

    Taarifa 132 zimepokelewa na TAKUKURU Mkoani Mwanza kati ya Januari - Machi 2022, na 89 zinahusu vitendo vya Rushwa huku 43 zikiwa hazihusiani na Rushwa Kwa taarifa 89 za Rushwa, Majalada ya uchunguzi yalifunguliwa ambapo Uchunguzi wa Majalada 22 uchunguzi wake umekamilika, na 67 uchunguzi bado...
  5. Roving Journalist

    Manyara: TAKUKURU yapokea malalamiko 64 ya rushwa, kuna kesi 26 Mahakamani

    Taasisi Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Manyara imetoa ripoti yake kwa muda wa miezi mitatu, Januari hadi Machi 2022. TAKUKURU imetoa elimuya rushwa na athari zake katika jamii, kwa askari wa Jeshi la Polisi eneo la Tengefu la Mirerani. Pia imefanya semina 31, mikutano ya...
  6. Roving Journalist

    Shinyanga: TAKUKURU yabaini dosari miradi minne ya Maendeleo inayoendelea

    Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoani Shinyanga imeelezea kubaini dosari miradi minne ya Maendeleo inayoendelea.
  7. Roving Journalist

    Morogoro: TAKUKURU yapokea taarifa 52 za rushwa, yabainisha TAMISEMI imelalamikiwa zaidi

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Morogoro imetoa ripoti yake ya miezi mitatu kuanzia Januari hadi Machi 2022 ambapo imepokea taarifa 101, kati ya hizo 52 zilihusu rushwa.
  8. Roving Journalist

    Iringa: TAKUKURU INAYOTEMBEA yapokelewa vizuri, yazuia rushwa katika minada

    Iringa: TAKUKURU INAYOTEMBEA yapokelewa vizuri, yazuia rushwa katika minada
  9. Bususwa

    DOKEZO TRA, TAKUKURU na Uhamiaji mko wapi?

    Nimekuwa mfanyakazi wa kampuni moja kubwa sana hapa Dsm kwa zaidi ya miaka Saba sasa, baadae nilipelekwa mkoani kwaajili ya kazi yangu hiyo hiyo,hapa sitataja Mkoa kwa sababu ya kuficha uhusika wangu kamili. Hii kampuni imekuwa na mambo ya ajabu sana, tumeajiriwa kwa jina la kampuni x, lakini...
  10. Suley2019

    Viongozi wengi wa Serikali za Mitaa wapiga dili. TAKUKURU wamulikeni

    Salaam Wakuu, Leo kijana wenu nimeona niseme kidogo kuhusu kero ya rushwa na kutaka chochote kitu kwa Viongozi wengi wa serikali za Mitaa wakiwemo Wenyeviti, Wajumbe, Watendaji na wengineo wa ngazi hiyo. Kumekuwa na muendelezo wa tabia ya viongozi hawa kutaka pesa kidogo (rushwa) kila...
  11. GENTAMYCINE

    Wewe ukifanya Kazi ya Polisi na TAKUKURU na Wao wafanye Kazi gani? Hebu tutafuteni Umaarufu kwa kufanya Mambo yenye Tija Kimantiki Kitaifa

    RAIS Samia Suluhu Hassan ameagiza mfanyabiashara (hakutaja jina) aliyechukua tumbaku za wakulima bila kuzilipia arejee Tabora mara moja kwa ajili ya kulipia tumbaku alizochukua kufuatia malalamiko kuwa wakulima hawajalipwa tangu mfanyabiashara huyo achukue tumbaku hiyo. Chanzo: habarileo_tz...
  12. alaksh natena

    Kwanini TAKUKURU na ZAECA zisiunganishwe kuwa chombo kimoja?

    Habarini za jioni wakuu. Naomba kutambua kwanini TAKUKURU na ZAECA zisiunganike na kufanya kazi moja chini ya Sheria moja inayofanana. Nashangaa hili sababu vyombo vyote vya kiulinzi na usalama ni vya Muungano na vinafanya kazi zao pamoja shida ipo PCCB na ZAECA Kwanini? Kwanini kisiwe...
  13. Suley2019

    Simiyu: TAKUKURU yaeleza sababu ya matukio ya rushwa ya ngono kuwa siri

    Taasisi ya Kuzua na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani Simiyu imesema watu wengi hawaripoti matukio ya rushwa ya ngono katika ofisi zao au mamlaka nyingine kwa ajili ya kuchukuliwa hatua. Mkuu wa TAKUKURU mkoani humo, Janeth Machulya ambapo ameeleza kuwa licha ya ofisi yake kutopokea taarifa...
  14. Roving Journalist

    Lindi: TAKUKURU yabaini kasoro miradi ya Tsh 928,340,557

    LINDI: TAKUKURU YABAINI KASORO MIRADI YA TSH 928,340,557 Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Lindi imebaini kasoro katika miradi miwili yenye thamani ya shilingi 928,340,557 wakati wa mchakato wa kufuatilia miradi mkoani hapo kwa kipindi cha Januari hadi Machi 2022. Mkuu...
  15. JanguKamaJangu

    Waziri Mkuu aelezea ubadhirifu wa mamilioni uliofanywa Bohari ya Dawa (MSD), asema ataenda akiongozana na Polisi na TAKUKURU

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wataalamu wa Ununuzi na Ugavi (PSPTB), Godfred Mbanyi amkute katika ofisi za Bohari ya Dawa (MSD) Jumatatu saa nne asubuhi, baada ya kubaini madudu katika ununuzi wa vifaa vya matibabu. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo katika...
  16. Lady Whistledown

    TAKUKURU yabaini rushwa ya ngono kutawala katika upangaji wa vituo vya kazi vya walimu

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Dodoma imebaini kughubikwa na vitendo vya rushwa ya ngono katika upangaji wa vituo vya kazi kwa waajiriwa wa idara ya elimu. Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Dodoma, Sosthness Kibwengo akitoa taarifa kuhusu utendaji wa taasisi hiyo, amesema...
  17. Roving Journalist

    SONGWE: TAKUKURU yatoa mafunzo kwa Walimu na Walezi wa Skauti

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoani Songwe imetoa elimu kwa walimu na walezi wa Skauti wa shule za msingi na sekondari ikiwa ni mkakati wa kupambana na rushwa kuanzia ngazi ya chini.
  18. Roving Journalist

    Geita: TAKUKURU yabaini ‘upigaji’ miradi ya Tsh bilioni 18

    Miradi 15 yenye thamani ya Tsh. Bilioni 18.3 Mkoani Geita imebainika kuwa na upungufu wa kutozingatiwa kwa vigezo na masharti ya mikataba, hiyo imesababishwa na kukosekana kwa usimamizi wa wataalamu wa Halmashauri. Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imebainisha na kueleza hayo...
  19. MTAKA HABARI

    Takukuru Iringa, Fuatilieni kesi hii ya ndoa iliyokuwa Mahakama ya Mwanzo Bomani kwa Hakimu Rajabu muone aliyoyafanya

    Naomba kwa dhati vyombo vyetu vya ulinzi na usalama fanyeni uchunguzi juu ya kesi hii,Mh Rajabu maamuzi uliyo yafanya katika shauri ulilolifanyia maamuzi tarehe 20/04/2022 linalo mhusu mtu anayefahamika kwa jina la Agatha kuhaga na Mumewe anayefahamika kwa jina moja la Nyenza ni kuinajisi sheria...
  20. JanguKamaJangu

    Kilimanjaro: TAKUKURU yaingilia sakata la Meya aliyeng’olewa Moshi

    Juma Raibu Taasisi ya Kuzia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imethibitisha kuwa inamchunguza aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu ambaye alivuliwa wadhifa huo Aprili 11, 2022, kwa tuhuma mbalimbali. Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Kilimanjaro, Frida Wikes alisema walipokea taarifa na...
Back
Top Bottom